HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mm naweza kuwa nimemuelewa mama tofaut hajamanisha PSRS wasisimamie ajira ila kwa baadhi ya mashirika yanayo kuwa tayar na fedha za kulipa mishahara wajiriwa wapya wapewe vibali vya haraka vya kuajir ( sikiliza hapo mwishoni) mwa io video, na kupunguza mlolongo wa ajira.
Ndio ivyo mkuu nilivyo maanisha, tuko pamoja 🤝
 
Back
Top Bottom