HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naamini kama upo selected ni selected tu haijalishi ni selected for prac, selected for null au selected for oral. ilimradi imendikwa selected basi naamini umefulu usaili.

kama ni not selected basi ulifeli usaili

cha msingi ni kusubiri pdf wale wote wenye selected.
kumbe kuna watu walifanya oral ila ikaandika not selected?
 
Sorry guys;

Kuna swali la Tell us about education background.

Je hili swali ukilijibu kwa kuanzia chuo/ level ya juu kwenda ya primary/level ya chini how una link chuo, advanced, ordinary and primary in a good way. mfwende na Mwifwa kama Kuna mchango wowote msaada.
mfano mkuu wangu unaweza anza hvi badaa ya kusalimu na kujitambulisha mbele ya panel,i have graduated Bsc in home economics from udsm 2019,coming to advanced level utafloo utamaliza utaenda,coming to ordinary level education utafloo utamaliza mpaka primary. then uta associate skills zako na job description mfano i have exposed with competency and professional approach and strategies to execute utafloo duties zako mkuu wangu ambazo unaziweza kulingana na ujuzi uliokua nao kutokana na elimu yako.
 
kwaiyo kumbe wale wote hawapo database[emoji134]
Ucheck Hilo tangazo kazi nyingi zinahitaji watu wa Astashahada na diploma ambao wengi wao hawapatikani database kozi hizo level hazitangazwi sana,, mfano hyo diploma ya Sheria siku nyingi hawajafanya Usaili, then Astashahada ya kilimo pia Vivyohivyo.
Hizi ingelibidi zitangazwe pamoja na hizi za mda $ lga ambazo zinaenda kufanyika oral kuanzia kesho
 
sawa nmeelewa. hongera kwa mheshimiwa raisi mama samia kwa kuendelea kufungua fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
 
mfano mkuu wangu unaweza anza hvi badaa ya kusalimu na kujitambulisha mbele ya panel,i have graduated Bsc in home economics from udsm 2019,coming to advanced level utafloo utamaliza utaenda,coming to ordinary level education utafloo utamaliza mpaka primary. then uta associate skills zako na job description mfano i have exposed with competency and professional approach and strategies to execute utafloo duties zako mkuu wangu ambazo unaziweza kulingana na ujuzi uliokua nao kutokana na elimu yako.
Ubarikiwe sana kaka kwa muongozo
 
Mkuu, nimefuatilia sana michango yako humu JamiiForums, unajitambua sana. Natamani vyombo vya ulinzi na usalama vikunyakue hata kabla ya utumishi.

Huko kihistoria kumejaa watu wasio na elimu na wanaowekana, wengi wanatumia nguvu kuliko akili.
 
Thank you champ, na ndio matamanio yangu kutumikia vyombo vya ulinzi hapa nchini.
 
Back
Top Bottom