Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,792
- 10,887
Ndio hivyo Mzee tumepiga uturn.Sasa hivi mnaipinga Psrs mnataka kurudi enzi za Jk
Watoto wetu wanazeekea nyumban
Ndio hivyo Mzee tumepiga uturn.Sasa hivi mnaipinga Psrs mnataka kurudi enzi za Jk
Umechoka na Pepa zilizopinda. Watoto wa wakulima watapata tabu sana.Ndio hivyo Mzee tumepiga uturn.
Watoto wetu wanazeekea nyumban
Selected for practical interview... nami nimepatastatus kwenye app ilikuaje ?
Hongera, Raisi anatupa matumaini baada ya maumivi Ya muda mrefu 🙏Mama katisha. Nishalamba asali
Hongera sanaSelected for practical interview... nami nimepata
Amen Amen tajiriAsante mkuu kwa kunitia moyo. God bless you.
Asante mkuu, Mama katisha.Hongera, Raisi anatupa matumaini baada ya maumivi Ya muda mrefu 🙏
And thats the spirit man[emoji123],aluta continuaKiukweli nimekandwa na namshukuru Mungu nafsi ina Amani japo sikupambana kukosa naamini bado nina nafasi wapambanaji tusikate tamaa bado nafasi tunayo one day yes.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu mm nataka unitumie status yako ilivyo.. au nipe Scnerio zote za status yako ilivyopitiaMama katisha. Nishalamba asali
Hongera mkuu.God is Good. Selected for practical nami nimepata
Ila kuna rafiki yangu nae alikuwa selected for practical hajapata
Wapo lunchwatu wametoweka ghafla
Acheni fikra za kimasikini , taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk, Kila MTU nchi hii atafurahia maishaUmechoka na Pepa zilizopinda. Watoto wa wakulima watapata tabu sana.
Hongera sana bossSelected for practical interview... nami nimepata
Jaman hongera sana dear,sana sana.God is Good. Selected for practical nami nimepata
Ila kuna rafiki yangu nae alikuwa selected for practical hajapata
Selected for oral kote kwenye app na kwenye web under placement kwenye app hakuna kitu. Me nilifanya practicalstatus kwenye app ilikuaje ?
Akupe wewe kama nani mkuu , au wewe ni mkandaji😁Mkuu mm nataka unitumie status yako ilivyo.. au nipe Scnerio zote za status yako ilivyopitia