Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,685
Umri sio kumaliza zamani mkuu.
Sahihi, ila kwa mantiki ya kawaida kabisa, Mtu aliyegraduate mwaka 2014 unatarajia awe na umri gani kwa sasa? anaweza kuwa na miaka 24 kwa sasa ?.
Ndio maana nilisema, kama mtu kamaliza chuo zamani(mfano mwaka 2014 aliousema mdau) lazima atakuwa na umri mkubwa( let say 30+).
Hata hivyo hoja yako(niliyoiquote) siipingi ila nakazia hoja yangu(kama umemaliza 2014 lazima utakuwa na umri mkubwa)