Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,348
- 9,404
Huyu ni wewe kabisa ukitoka kazini 😂I'm single because settling is more expensive than being alone.View attachment 3607654
Huyu ni wewe kabisa ukitoka kazini 😂I'm single because settling is more expensive than being alone.View attachment 3607654
Kuambiwa ukweli sio masimango mjukuu!Heh punguza masimango babu🤣
Umasikini ni kishikizo kikubwa cha mahusiano mengi. Ukishatatua tatizo la umasikini wa kipato watu wengi wanagundua kumbe wanaweza kuwa ‘single and happy.’Kuishi single ni kazi hatari
Huhuhuhu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama upo single Chica wewe ni mlemavu tu kama wengine😅🙆♀️😂😂 we mzee
Kwamba 😅?
🤣🤣🤣🤣 simple life et dahI'm single because settling is more expensive than being alone.View attachment 3607654
😅😅 jamani hapana huko nitoeKama upo single Chica wewe ni mlemavu tu kama wengine😅
Ukweli mchungu kama nini😆Kuambiwa ukweli sio masimango mjukuu!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Umasikini ni kishikizo kikubwa cha mahusiano mengi. Ukishatatua tatizo la umasikini wa kipato watu wengi wanagundua kumbe wanaweza kuwa ‘single and happy.’
Hakikisha haupo single, ikiwezekana bandika bandua, hakun kukaa single hata kwa usiku mmoja😀😅😅 jamani hapana huko nitoe
Kulala mwenyewe ni kujikosea, kuikosea nafsi na kukikosea kipapa😅Ukweli mchungu kama nini😆
Anhaa we mzee unataka nichakae 😅😅?Hakikisha haupo single, ikiwezekana bandika bandua, hakun kukaa single hata kwa usiku mmoja😀
Jesus babu upo ya ngap saiv?Hakikisha haupo single, ikiwezekana bandika bandua, hakun kukaa single hata kwa usiku mmoja😀
Leo hurembi mwandiko et🤣🤣Kulala mwenyewe ni kujikosea, kuikosea nafsi na kukikosea kipapa😅
Alikuambia nani unachakaa we binti, nakuhakikishia ukiwa single akili inalemaa, na kiungo kinakufa..😅😅Anhaa we mzee unataka nichakae 😅😅?
Si unajua leo siku ya kipaimara/komunio, sisi wengine hatukatai mialiko😀😀Jesus babu upo ya ngap saiv?
Safiiii enjoySiwezi kukaa mwenyewe huwa mara nyingi nahitaji kampani.
Anhaa bora kife tu 😄😄, mambo yasiwe mengiAlikuambia nani unachakaa we binti, nakuhakikishia ukiwa single akili inalemaa, na kiungo kinakufa..😅😅