SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,387
- 10,301
View: https://youtu.be/KttTL5iQi5o?si=mU_e9-6tFHvDf-_M
JAmani ndoa ni nzuri ila kuipata kuna changamoto sana hamjui tu .
Ukiona umeolewa na hujapata changamoto Mshukuru Mungu sana.
Hii post yaleo ninawaasa watu waache ngono zembe ni mbaya .
Ukiacha ngono zembe ukasubiri wa sahihi wako . Mungu atakipa ndoa nzuri sana .
Nausiendekeze ngono zembe hasara zipo nyingi .
Kama kuibiwa nyota yako kupokea nuksi . Kupoteza kilicho cha dhamani.
KUharibu riziki zako na bahati .
Kila unaporudia kufanya mapenzi na huyo mtu ndio anachukua kile kizuri chako unabaki huna lolote zuri . Bali una mabaya yake tu .
Haijalishi jinsia ACHA NGONO ZEMBE inafungua mlango wa giza na unaruhusu magonjwa , wachawi , majini waje kwenye mwili wako wakutawale . Badala ya mazuri unashangaa mabaya ndio mengi.
Si kila mtu anayelala nawewe kaja na malengo mazuri wengine wanakuja kukuzima kabisa hata kwa kidogo ulicho nacho.
Ukimwi upo umejaa tofauti na zamani imekuwa kama dar es salaam ya zamani au south afrika .
Unalala leo . Tayari unaumwa
Ambaye atasikia na asikie oa , tulia olewa tulia pigania uzeeke kwenye boma lako sio kwako ambako huna kizazi chenye chanzo cha heshima ambacho ni ndoa takatifu haijalishi dini ila kila ndoa inaheshima .
Sio uwe mke wapili au watatu hapana uolewe uanze wewe wakija wengine watajua wenyewe .
Acha wanaume za watu wanakutumia ndio maana hujielewi huendelei.
Huna hela . Akili huna wanakutumia na mke wake ulijipeleka .
Acha wanawake za watu ndio maana hujitambui , hujielewi huna msimamo , huna hela , akili yako ni ngono tu unawaza starehe kunukia na ujinga ujinga tu.
Kengele wewe acha kunyapia wanawake za wenzako .
Kenge wewe unayepiga punyeto na wanawake wakuoa wapo.
WAliotulia wacha Mungu .
Mwanaume anayejibaka acha kuangalia picha za ngono ndio ulalale acha . Wake wapo niwewe tu na woga wako .
ACha kuhongwa na wanaume wenzako acha ushoga oa . Tulia katafute pesa
Wanawake acheni kusagana iwe kishirikina au kwa starehe zenu olewa tulia , acha ushoga na utulie acha kujibaka wanaume wapo wakuoa acha uchaguzi . Zaa ukae ndani ya boma .
MKIAMBIWA KENGE NYIE MUACHE TAMAA HAMTAKI . ACHENI TAMAA YA NGONO TULIENI
