ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,382
- 38,706
- Thread starter
- #161
🔥🔥Natulia boss
🔥🔥Natulia boss
😊😊😊Umejuaje silali bila kusikiliza hii yooo♥️
Leo siku yangu ipo 🔥🔥♥️♥️💋💋💋
Ahaa OK ila Namkubali sana hizo old rnb,Mzee nina Library yangu to home, ina ngoma kibao mkuu
Humu JF kuna mdada alikuwa anajiita Being single. Unaweza kuwa unafahamu id yake ya sasa?Umeanza mashairi sasa🤣
Ila Mkuu, unazunguka sana aisee😊😊😊
View attachment 3607645
Tonight, I'm gonna make it up to you
Tonight, I'm gonna make love to you
Tonight, you're gonna know how much I missed you, baby
Tonight, I dedicate my heart to you
Tonight, I'm gonna be a part of you
Tonight, you're gonna know how much I miss you
And I miss you so
Oh yeah
Hivi duniani kuna taifa ambalo linafuata sheria kwa 100%?Ningekuwa naishi nchi inayofuata sheria, ningekuwa nae
Angalau ingekuwa 30% sasa hata hzo chache hakunaHivi duniani kuna taifa ambalo linafuata sheria kwa 100%?
😊😊😊😊😊😊
View attachment 3607645
Tonight, I'm gonna make it up to you
Tonight, I'm gonna make love to you
Tonight, you're gonna know how much I missed you, baby
Tonight, I dedicate my heart to you
Tonight, I'm gonna be a part of you
Tonight, you're gonna know how much I miss you
And I miss you so
Oh yeah
😅😅 Haya mu enjoy sasa vizuri kabisa, mie niendelee kusikiliza hapa na weekend saafi
Hapana siifahamuHumu JF kuna mdada alikuwa anajiita Being single. Unaweza kuwa unafahamu id yake ya sasa?
Ngoja tuone mda ndio msema kweli
Only when am in your presence, we huoni.Umeanza mashairi sasa🤣
Natafuta wa kumalizana naeNoma sana aisee
Thank you 😊😅😅 Haya mu enjoy sasa vizuri kabisa, mie niendelee kusikiliza hapa na weekend saafi
SioniOnly when am in your presence, we huoni.
Hapa Afrika social and economic status yako ndiyo inayoamua upate haki kiasi gani.Angalau ingekuwa 30% sasa hata hzo chache hakuna
Kila la kheri mkuuNatafuta wa kumalizana nae
Nilivyoona jina la uzi wakoHapana siifahamu
hiyo I'd ana nini huyo dada?