Kwanini tunachambia mikono?

Kwanini tunachambia mikono?

Kuna staili za kukata gogo ambazo ukimaliza wala huhitaji kuchamba, kama ambavyo huwa nafanya mimi, wala huhitaji kuchamba
 
we si unajitawaza mwenyewe,unaogopa nini kuigusa haja yako,kama vipi nipe kazi ya kukutawaza,mimi siogopi kugusa mzigo wowote.
 
Ukimaliza kujisaidia usichambe
habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? Kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? Mmmh

wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
 
Kuna baadhi ya watu wa imani fulani mimi sisalimiani nao kwa kushikana mikono kwa kuwa mikono yao ni dampo la maradhi. Unless baada ya salamu ninawe na maji safi na salama pamoja na sabuni. Sasa huwezi jua this time umepata mayai ya ascaris, amoeba, nk. Hii ni kutokana na dhana kwamba vyooni hamna sabuni ni maji peke yake. Kwa waliosoma utaweza kukuta sabuni BUT kwenye choo cha kukaa kwa mfano utatumiaje sabuni? Unless a full shower after service is acceptable

Kwa umasikini wetu tunaiga kila jambo na tunapokea kila jambo. Vyoo vya kisasa kuna kitu wanaita douche basin au bidet ambalo linakaa vyooni na linakuwa na maji yenye pressure kali kwa kujisafi baada ya kujisaidia pasipo kushika kwa mikono kinyesi au mikojo. Wekeni hivi na tumieni ni healthy zaidi ya kushika kwa mikono mitupu.

Ama kwa hakika tufike mahala tuelimike na tustaarabike. Hawa jamaa wametufundisha tule mavi na twala, siye si wakosa uelewa. Mabadiliko katika kila sekta ni muhimu sana. With time everything changes, BUT hatutaki kubadili baadhi ya mambo fulani.

Kushika mavi kwa kujipaka maji bila sabuni ni uchafu na uzembe - HAUKUBALIKI!

Huyo anayewaambia kushika na bila sabuni - think twice.

Kuna hata magonjwa mangine yanahitaji staili hii ya kujisafi ili life cycle iendelee - tafuta na soma kuhusu Autoinfection

Tena ni mida ya lunch na hii topic nimeisoma muda mbaya kweli.
 
watu wanamajibu kiasi ukisoma tuuuu unacheka mpaka aliye pembeni yako anakushangaa !! kuchamba kwingi...................
 
hahaga, sasa post ni ya Mchunguzi huru ama supu ya mawe mbna sielewi? au ni mtu mmoja ID Mbili?
 
Anauliza swali mwenyewe:

Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza

Anajijibu mwenyewe:

kwanini tunachambia mikono? ulitaka tuchambie miguu?

JF is never boring - The Boss
 
Last edited by a moderator:
We nae tutolee vitu vya ajabu kula nigharamikie hata kunya oia niingie gharama za gloves... Uliniona wap mtu lodge analipia wakat anatoka, gharama mara ya kwanza tu unapoenda kukata mauno na mwali inside.... Nmekujb kimtaan zaidi.. Ukihitaji, kiiman na kibiolojia nisake mkuu..

Lakini wewe costant (k) si unanyonya wewe, uvinza c unaenda, Ile ouput port c unalamba wewe... Basi km we hutumii wenzio twanyonya maridan.. Twafyonza raha mustareh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom