Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
Huo ukuta wa nani anaoenda kuufanyia hivyoo
.ha ha ha we mzito kabwela tangu umehamia ACT sikuelewi
.unawaonaje jinsi walivyo?magome yanawahusu.wasaliti wa demokrasia waleACT wanatumia magome ya miti?
Wandugu, mwachambia mkono au mwachamba na mkono, mie nyote siajawaelewa.
Mhhhh!! mswafi O!!! ahahahahaaa atakoma kuulizaKama utahitaji mtu wa kumswafi nambie kaka mi ntafanya hiyo kwa moyo mkunjufu!!!!!
Ndimi wako mtiifu OLESAIDIMU
mimi siwezi kushika mavi hata siku moja,,, toka nizaliwe sijawai jitawaza kwa mikono!!
Mchunguzi huru umesahau kuweka id yako kuwa una Phd ila kuna mtu kanitonya umekuwa associate proffessor
mimi siwezi kushika mavi hata siku moja,,, toka nizaliwe sijawai jitawaza kwa mikono!!
mimi siwezi kushika mavi hata siku moja,,, toka nizaliwe sijawai jitawaza kwa mikono!!