Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Kuna staili ya kuchamba kwa kusota chini waweza kuitumia
Kule kwa akina ngalelefijo, Watu8 na masopakyindi wanaita KWIKEREMUSYA
Last edited by a moderator:
Kuna staili ya kuchamba kwa kusota chini waweza kuitumia
Kuna staili za kukata gogo ambazo ukimaliza wala huhitaji kuchamba, kama ambavyo huwa nafanya mimi, wala huhitaji kuchamba
Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
Maji ya moto ya kunawia hayauwi vijidudu, sabuni does. Kwa hiyo hata ukinawa na maji ya moto usipotumia sabuni ni bure.
unaogopa kula kinyesi chako mwenyewe na unanyonya nanihii? Tuondolee uchizi hapa!
Kingasti nadhani wewe ni mtu wa pwani. Pwani ndio wanatumia maji kuchamba. Na huu utaratibu wa waarabu wakiongozwa ka Kuruani!
Wanaotumia mikono kuchambia hawana utaalamu wa kutengeneza gloves, naHabari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
Rafiki, pwani ama bara mie naongelea kunawa mikono baada ya kutoka chooni (hata wewe ukimaliza kutoa haja ndogo uwe unanawa mikono tafdhali) na pia kunawa mikono na sabuni kabla ya kula. Hebu google research za hygiene
.ha ha ha we mzito kabwela tangu umehamia ACT sikuelewi
kama unauonea huruma mkono wako waweza tumia gunzi MKUU.
au ukimaliza unasota kwenye pembe ya mlango kwenye kile kijiufito cha frem ya mlango
kwanini tunachambia mikono? ulitaka tuchambie miguu?
ukitaka kinyesi kisishike pakunyea ili usihangaike kuchamba! Wewe kabla ya kwenda haja paka lotion ya kutosha kwenye eneo husika, am sure hakuna hata chembe ya kinyesi itakayo baki kwenye anus yako.
Km hiyo ngumu basi jisaidie km kawaida halafu ukimaliza nena kwenye kona ya ukuta yaan ile ncha, halafu pachika makalio yako kwenye ile ncha ya kona ya ukuta, kalio moja kushoto lingine kulia hakikisha ile ncha inakuwa katikati ya makalio. Halafu fanya kam unapanda juu na kushuka taratibu, huku tunaita KUSENYENTA wala huna haja ya kushika kinyesi kwa mikono.
Zipo style nyingi km hujazipenda hizo utaniambia nikupe zingine.