Kwanini tunachambia mikono?

Kwanini tunachambia mikono?

ha ha haaaa nicheke niongeze uhai mie... ninune unahuuuu.... JF juuuuu
 
Anza na msasa wa chuma halafu malizia na maji ya limao yaliyochanganywa na chumvi na pilipili ili kuua vijidudu.
 
brother Yesu anakujaje hapa? kama umechoka kuchangia ni heri ukae kimya otherwise unachokitafuta they will grant your wish.

Na mimi ndo nashangaa Yesu kaingiaje hapa kwenye hii mada watu wengine bwana.........
 
Siku nyingine inavyoonekana utakuja na swali la 'style gani nzuri ya kukata gogo?
 
Maji ya moto ya kunawia hayauwi vijidudu, sabuni does. Kwa hiyo hata ukinawa na maji ya moto usipotumia sabuni ni bure.

unaogopa kula kinyesi chako mwenyewe na unanyonya nanihii? Tuondolee uchizi hapa!

Ngoja niulize schoolboy qstn
Hao wadudu si walikuwa tumboni, sasa wakirudi kuna shida ghani
 
Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza

Ndiyo maana wanajeshi walikupiga!

Huwa ni wastaarabu sana usipoleta ubishi................ sasa kama unahoji mkono kuchamba, utashindwaje kuhoji kwa nini sikio lisiwe njia ya mkojo.
 
sasa mweshimiwa ili uepuke hivyo vijidudu ishi bila kula inaoneshaka unazingatia sana afya yako vizuri,
 
Kama mkono umekushinda chambia mguu ama uchambishwe na wenzako...tumechoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom