Kinyaa balaa, lolz!
Uvunguni nitaenda, ila huko....aaaaah!!!
Mkuu unaweza vile vile kuchambia gunzi la mahindi, uamuzi ni wako!Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
ha ha haaa! Nimeishia kucheka sana. My mind can't stop silly imaginations, anyway...short & clear..hapana!!!teeh!!
Mkuu unaweza vile vile kuchambia gunzi la mahindi, uamuzi ni wako!
kwani yesu alikua anachambia nini mkuu?,au tayari walikua na viwanda vya tissue huko?Yaani hata ukitumia tissue ndo ukatumia maji bado ni dhambi? Khaa
Picha ya kuchamba umeiweka vizuri na kuhalalisha wasiwasi wako juu ya afya. Ila sasa hizo gloves zitatengenezwa na nani?Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
Karibu mchamba wima sie huku twachambia kokoto
Mkeo kavunjika mkono wa kulia au wa kushoto pale UDBS?????
Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
halafu usikute boya kama hili ndio mtaalam wa kwenda chumvini.Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
kwani yesu alikua anachambia nini mkuu?,au tayari walikua na viwanda vya tissue huko?