Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
kama unauonea huruma mkono wako waweza tumia gunzi MKUU.
au ukimaliza unasota kwenye pembe ya mlango kwenye kile kijiufito cha frem ya mlango
Kkkkkkkkkkkkkk akomeeee
kama unauonea huruma mkono wako waweza tumia gunzi MKUU.
au ukimaliza unasota kwenye pembe ya mlango kwenye kile kijiufito cha frem ya mlango
Nimekumbuka enzi za primary, kule shuleni kwetu Murutirima P/S, Nansio; wanafunzi walikuwa wakichamba kwa kutumia angle ya ukuta, te te te teh! Nawewe waweza jaribu method hii.
Ngoja niulize schoolboy qstn
Hao wadudu si walikuwa tumboni, sasa wakirudi kuna shida ghani
..Maji yanakufanya utoke ukiwa msafi. Asilimia kubwa ya wanaotumia tissue pekee wanatembea na uchafu. Imagine mtu yuko hairy alafu anatumia tisuue tu, ni full kunuka barabarani.
Wet tissue zipo mkuu huna haja ya kutumia mkono.
Habari zenu marafiki?
Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh
Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.
Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza
Yaani hata ukitumia tissue ndo ukatumia maji bado ni dhambi? Khaa
kulambwa nini Heaven on Earth?:shock: