Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Watu weusi ni laana

Kutwa kusema mlitawaliwa mbona Marekani ilitawaliwa, Japan , India na Korea zilitawaliwa.

Mwaka 2024 china wamefanya gunduzi zaidi ya milion 1 na Marekani gunduzi zaidi ya laki 5 na zikapewa patents. Huu ni mwaka 2024.

Hakuna hata nchi Moja ya Africa kwenye top 10.

Watu weusi ni incomplete human being.

Naunga mkono hoja

Wazungu wanatuita subhumans.

Inauma ila tutafanya nini sasa. Ndio hali halisi ilivyo.
 
Watu weusi ni laana

Kutwa kusema mlitawaliwa mbona Marekani ilitawaliwa, Japan , India na Korea zilitawaliwa.

Mwaka 2024 china wamefanya gunduzi zaidi ya milion 1 na Marekani gunduzi zaidi ya laki 5 na zikapewa patents. Huu ni mwaka 2024.

Hakuna hata nchi Moja ya Africa kwenye top 10.

Watu weusi ni incomplete human being.
Afrika na uvumbuzi wa tone tone, hawatoboi
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Watu weusi wapi, mbona kuna watu weusi huko kwa wenzetu wamefanya makubwa. Na kuna mnaowaita weupe huku kwetu hawajafanya lolote pia. We sema tu Afrika.

Afrika inasota kutokana na ujinga wa mababu zetu walioingizwa kingi na wakoloni, wahuni waliobeba mataifa ya Afrika baada ya uhuru bandia, na ukoloni mambo leo. Mambo ni yaleyale, ipo wazi mbona.
 
Ni topic gani katika masomo ya science ambayo humuandaa mwanafunzi kuwa roboti? Ninachojua elimu tunayosoma ni universal ndio maana unaweza maliza udsm ukaenda kujiendeleza cambridge au oxford kwa maana contents ni zile zile zinazofundishwa katika mataifa mengine utofauti ni miundombinu tu

Huwezi kufundishwa kugundua kitu unafundishwa kuendeleza kilichogunduliwa, kama ndivyo niambie aliegundua ndege amesoma chuo gani? Ndio maana kuna watu wanaitwa ma-genius kwa maana wana extra knowledge ukiacha ya darasani

Hata ukasome wapi dunia hii huwezi kuwa mvumbuzi eti kwasababu umesoma huo ni uwongo, uvumbuzi hauhitaji elimu ya darasani unaweza kuwa hujui hata kusoma wala kuandika na ukagundua kitu chenye manufaa kwa jamii ndio maana nikasema elimu ya darasani haina uhusiano wa moja kwa moja na uvumbuzi
Tatizo lako unadhani ugunduzi umekoma. Kuna zaidi ya topics za darasani katika kuiandaa akili ya Mwanadamu kuweza kufanya ugunduzi(ubunifu)
 
Lete jina lako hapa tuone kama Lina asili ya Africa!?

Kama umeshindwa kubuni jina la kiafrica imekubidi uli import unaweza kubuni nini wewe maiti inayotembea.

Dini zako umeacha umekuwa mkristo au Muislam.
Sasa mimi nahusikaje na jina langu. Just like 90%+ of the world nimepewa jina na wazazi. Pia unajidanganya kama unadhani mimi nina dini.
Kingine umetoka nje ya mada. Uwezo wako wa kufikiri unatia mashaka
 
Uwezo wangu wa kufikri ndio kiashiria kuwa waafrica hatuna uwezo wa kufikri.

To wond up muafrica ni incomplete human being.

Miaka 60+ ya Uhuru huna lolote umefanya.

Duniani nchi nyingi zilitawaliwa hata nchi za ulaya zilitawaliwa. Eastern Europe ilitawaliwa na Russia ila hawakubadiri dini, majina hata culture Yao. Ila waafrica kutawaliwa mlibadiri dini, culture Hadi vyakula.

India ilitawaliwa na Uingereza ila hawakuwa wakristo au wakakataa lugha Yao.

Korea ilitawaliwa na Japan ila hawakuwa Buddhist na kuongea kijapani.

Ila muafrica kama mkenya alitawaliwa na Muingereza akaacha na lugha yake Leo anaongea kiingereza. Na dini tukazitupa.

Unakuja hapa kujiliza Kwa wanaume bila kujua.
 
Upumbavu: Huwezi kupigana nao kwa mantiki au hoja. Mtu mpumbavu anapokabiliwa na ukweli, huukataa, kuupuuza, au kuuona kama kitu kisicho na maana. Kwa kuwa anaamini yuko sahihi kabisa, anakuwa hatari zaidi.
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Majukwaaa yakuonesha innovation ndo yanaanza na mengine bado machanga kabisa
 
Kwani mkuu

1. Timu 1 kwenda kunya kwenye jengo/uwanja wa timu nyingine nani amegundua?
2. Tume ya uchaguzi kupendelea waziwazi chama fulani nani kagundua?
3. Chips yai zege nani kagundua
4. Uchawi wa kumuua mtu aliyekuzidi mali nani kagundua?
Hivi chips yai zege ni Tanzania tu kumbe?
 
Tatizo lako unadhani ugunduzi umekoma. Kuna zaidi ya topics za darasani katika kuiandaa akili ya Mwanadamu kuweza kufanya ugunduzi(ubunifu)
Mfano wa topic gani ambayo kwenye mtaala wetu haipo,

Sijasema ugunduzi umekoma ila ninachosema hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu ya darasani kule tunafundishwa ujuzi au ufahamu wa vitu vilivyokwisha kugunduliwa ila sasa ukishaelewa unaweza endeleza (innovation) hata vitu vingi tunavyovisoma ni ugunduzi wa watu waliofanya research wakajua mambo mbalimbali kuhusu dunia na vilivyomo je hao wenyewe walikuwa na elimu gani kabla ya kuandika?
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Jamii ambayo mtoto akizaliwa anapelekwa shule ili baadae aje Aajiriwe Aoe/aolewe Azae watoto azeeke halafu afe
Haiwezi kufanya ugunduzi wowote
 
Mfano wa topic gani ambayo kwenye mtaala wetu haipo,

Sijasema ugunduzi umekoma ila ninachosema hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu ya darasani kule tunafundishwa ujuzi au ufahamu wa vitu vilivyokwisha kugunduliwa ila sasa ukishaelewa unaweza endeleza (innovation) hata vitu vingi tunavyovisoma ni ugunduzi wa watu waliofanya research wakajua mambo mbalimbali kuhusu dunia na vilivyomo je hao wenyewe walikuwa na elimu gani kabla ya kuandika?
Sir Isaac Newton alisoma University of Cambridge's Trinity College

Albert Einstein alisoma ETH Zurich (then the Swiss Federal Polytechnic School), the Aarau high school in Switzerland, and the Luitpold Gymnasium in Germany.

Pia gunduzi nyingi zimefanywa na wasomi kuliko ambazo hazijafanywa na wasomi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom