Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,732
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Mfumo wa Elimu
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Ila makebo hata yanapokuwa gizani wanayaona 😜
 
Kwani mkuu

1. Timu 1 kwenda kunya kwenye jengo/uwanja wa timu nyingine nani amegundua?
2. Tume ya uchaguzi kupendelea waziwazi chama fulani nani kagundua?
3. Chips yai zege nani kagundua
4. Uchawi wa kumuua mtu aliyekuzidi mali nani kagundua?
 
Research and Development. Nchi inatakiwa kuwezesha mazingira ya mtoto kuendeleza kile alichojifunza shuleni. Tunasomesha watoto shule za sayansi lakini akimaliza shule, ni wapi ataweza ku apply kile alichosoma? Ilitakiwa kuwe na labs, karakana, mashamba darasa nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom