Ebu tupe ushuhudaNacheka kama mazuli vile,
Mnawasifia wazungu lakini kuna baadhi ni wajinga hujapata ona,
😂😂😂😂Usimwambie mtu...😋View attachment 3638107
Usifanye hiki usifanye kile, hiki kinafanywa hivi,.........Utamaduni wetu unatukataza au kutuzuia kufanya uvumbuzi ki vipi?
Biashara Kwanza, then problems zitakazotokea mzunguko wa hela utaleta vumbuzi.Nini kifanyike ili nasi tuwe wavumbuzi
Yote hapo majibu. Pia ongeza ubinafsi na roho mbaya ni moja pia ya sababu. Ndio maana mzazi anashindwa kujenga nyumba halafu anazaa anataka watoto ndio wamjengee.. hatuna utaratibu wa kua na dira.Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Ni asili.. NilikoseaImebidi nilitafute hilo neno asiki
Sababu itakuwa ni nini?Hata mimi najiuliza kwa nini hamna mtu mweusi apa
View attachment 3638156
Kweli kabisa, shida kubwa ni mitaji ya kuchezea hadi kitu kije kukubalika na jamiiKuna kitu jamii za kimaskini tunashindwa kuelewa sio kwamba sisi hatuwezi kuvumbua mimi tu binafsi katika makuzi nilikua mvumbuzi sana tu
Lakini ukweli ni kwamba vumbuzi ni gharama sana unahitaji muda material mbalimbali,utahitaji rasilimali watu una hitaji garage au maabara kwa ajiri ya majaribio mbalimbali na huwa inachukua hata miaka
Swali ni familia ngapi zenye uwezo wa kufadhili mchakato ghali kama huo hapa afrika.
mkuu ata mm nashindwa kuelewaSababu itakuwa ni nini?
Kati ya point zoote 13 ulizo orodhesha hapo umesahau ile ya kunyimwa kwa makusudi FURSA. Kwa mfano wapo wataalam wa UDOM majuzi kati hapo walidai kugundua dawa ya kuponyesha na Kutokomeza kabisa UKIMWI lakini walikosa kuungwa mkono na Serikali; pia wapo wengine huko Arumeru na Sngida lakini ufuatiliaji/ kuwaendeleza imekuwa ni shida.Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Serikali yenyewe inaongozwa na wadumavu wa ubongo, huo msaada unaotaka ni wa namna gani.Hapa serikali inabidi itusaidie 😜
Kwa nini hawawezeshwi, tatizo ni nini?Kati ya point zoote 13 ulizo orodhesha hapo umesahau ile ya kunyimwa kwa makusudi FURSA. Kwa mfano wapo wataalam wa UDOM majuzi kati hapo walidai kugundua dawa ya kuponyesha na Kutokomeza kabisa UKIMWI lakini walikosa kuungwa mkono na Serikali; pia wapo wengine huko Arumeru na Sngida lakini ufuatiliaji/ kuwaendeleza imekuwa ni shida.
Wapo Watz wengi wenye vipaji tofauti-tofauti lakini wanakwama kwenye uwezeshwaji
Mpemba effect haikuwa wazo jipya. Aristotle hata kabla ya Yesu alieleza kuhusu kitu kinaitwa "antiperistasis" ambacho ni ufafanuzi wa kitaalam wa Mpemba Effect.Gugo kitu kinaitwa mpemba effect
Mkuu; Ni majanga tupu. Hebu fikiria/Tafakari wakiwezeshwa na ikathibitika ni kweli inaponyesha kabisa; vile viwanda vya kutengeneza ERVs si vitafungwa? Ni hasara kubwa sana kwa matajiri-wamiliki wa viwanda hivyo. Kwa mantiki hiyo wale Big Pharma companies hawatakuacha salama. Wataweza kuwanunua wakubwa ili wakukwamishe. Ukizingua zaidi watakupoteza mazima.Kwa nini hawawezeshwi, tatizo ni nini?