Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Vimevumbuliwa vitu vingi tu , ila wewe mvivu kutafuta.
Hujui kuwa hata GPS ilivumbuliwa mna mmarekani mweusi , tena mama.
Friji ilivumbuliwa na mtu mweusi.
View attachment 3638624

View attachment 3638628
Weka hapa invention kutoka Tanzania kutokana na changamoto zetu kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji n.k


Kwa mfano Jiji la dar linapoteza billions of Tsh Kwa siku kwasababu ya foleni. Taja uvumbuzi wa watanzania kupunguza hizo foleni na harasa.
 
Kwa mantiki hiyo hiyo, New York, Tokyo, na London zina foleni kubwa na za kutisha kila siku—je, hiyo inamaanisha Wamarekani au Wajapani hawana uwezo wa kuvumbua vitu? Hii ni logical fallacy (kosa la kimantiki).
Japan walivumbua huu mfumo wa kupunguza Road traffic mwaka 1996


Nyie misukule niambie ni mfumo Gani mmeuvumbua kupunguza foleni Dar. Hadi Waziri wa Ujenzi alizindua shindano la watu waje na solution ya kupunguza foleni Dar Hadi Leo kimya.


Ndio, London na Washington folen zipo ila wana vumbuzi nyingi wamefanya kupunguza foleni. Otherwise foleni ingekuwa worse Zaid ya hapo.


Nyie misukule Hadi mwaka huu 2026 maembe yanaozea mashambani mnashindwa nini kuvumbua kitu cha kutunza maembe mashambani yasioze.
 

Attachments

  • Screenshot_20260728-194429.png
    Screenshot_20260728-194429.png
    770 KB · Views: 6

Attachments

  • Screenshot_20260728-195811.png
    Screenshot_20260728-195811.png
    677.1 KB · Views: 6
Mpemba Effect = maji ya moto wakati mwingine huganda kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji ya baridi 😱

Inaitwa hivyo baada ya mwanafunzi wa Tanzania Erasto Mpemba 1963. Alikuwa akitengeneza ice cream shuleni Morogoro na kugundua hili.

Inafanyaje kazi? Hakuna jibu 1 kamili, ni mchanganyiko wa vitu 5:

1. KUPOZA KWA KASI "Evaporation"

Maji ya moto yana mvuke mwingi. Yanapowaka yanapoteza maji mengi hewani.
Mfano: lita 1 ya moto inaweza kubaki lita 0.9. Ni maji kidogo sasa ya kugandisha, hivyo inachukua muda mfupi.

2. TOFAUTI KUBWA YA JOTO "Convection"
Maji ya moto na friza ni tofauti kubwa sana. Hii inafanya maji yatembee ndani kwa ndani kwa nguvu.
Maji ya moto chini yanapanda juu, ya baridi yanashuka. Hii inasambaza joto haraka sana.

3. GESI ZILIZOYEYUKA ZINATOKA
Maji ya baridi yana hewa nyingi ndani yake. Hewa hiyo inafanya iwe "insulator" - inazuia kupoza.
Maji ya moto yakichemka, hewa hiyo yote inatoka. Sasa maji yanapata mawasiliano moja kwa moja na friza na kupoza haraka.

4. SUPERCOOLING - "Kusita kuganda"
Maji ya baridi wakati mwingine "yanasita" kuganda hata chini ya 0°C. Yanangoja chembe ndogo ya vumbi ili kuanza kuganda.
Maji ya moto hayana uchafu huo, hivyo yanaanza kuganda moja kwa moja.

5. FRIZA INAFANYA KAZI NGUVU ZAIDI
Ukiweka bakuli la moto kwenye friza, friza inasikia joto na compressor yake inaanza kufanya kazi nguvu.
Hii inabaridisha sehemu yote ya friza haraka, na hivyo inabaridisha na yale maji ya moto haraka pia.

Muhimu kujua:
Mpemba Effect HAITOKI KILA MUDA. Inategemea na:
1. Chombo unachotumia - chuma au plastiki
2. Kiasi cha maji
3. Joto la friza yako
4. Kama maji yana klorini au la

Wanasayansi bado wanapigana kuhusu ni sababu ipi ndio kubwa zaidi.

Jaribio rahisi nyumbani:
Chukua vikombe 2 sawa. Weka kikombe 1 maji ya moto ∼80°C. Kikombe 2 maji ya bomba ∼25°C. Weka kwenye friza pamoja. Angalia ni ipi inaganda kwanza. Mara nyingi ya moto inashinda.

Unataka nikupe video fupi ya jaribio hili au tujaribu kuelezea kwa mlinganyo?
Sasa hapa ndio amegundua kipi tunataka mtu agundue nyenzo yamaisha
 
Africa hakuna mazingira Bora yatakayokufanya ufikirie mambo makubwa, hakuna support za uhakika kuendeleza potential za watu. Ila naamini watu weusi Wana akili nyingi. Ndio maana unaona black people waliozaliwa America au Europe wanafanya mambo makubwa kuliko hata wazungu.
Makubwa yap mkuu ukiondoa michezo hakuna sekta yakutumia akil ambayo tumewin wazungu
 
Huna akili wewe

Unamjua Bradford Parkinson kwenye GPS? hebu ingia hata Google hapo sio unakuja hapa kuongea uongo wako mbele ya wanaume wazima wenye akili timamu kama sisi.
Pambaf!
Na pambaf zaidi kwa kujidharsu mwenyewe

Google Gladys West, akili yako ipate ufahamu.

The Black woman whose mathematical calculations of the shape of the Earth laid the foundation for the Global Positioning System (GPS) is Gladys West.
 
Pambaf!
Na pambaf zaidi kwa kujidharsu mwenyewe

Google Gladys West, akili yako ipate ufahamu.

The Black woman whose mathematical calculations of the shape of the Earth laid the foundation for the Global Positioning System (GPS) is Gladys West.
Matacore yako


Unakuja kuongea upumbavu hapa


Kwanza GPs haikugunduliwa na mtu mmoja jinga wewe


Unalazimisha ionekane nyani nao wamewahi kutoa mchango wowote kwenye Gunduzi Kwa lazima.


Nimekupa challenge Moja, nitajie ugunduzi Ambao watanzania wameufanya kutokomeza kama sio kupunguza foleni ya Dar.


Kama Kupunguza malori mjini kumewashinda mtaweza complicated inventions kweli nyie.


Shwain wewe
 

Attachments

  • Screenshot_20260728-230827.png
    Screenshot_20260728-230827.png
    308.2 KB · Views: 6
Mfano wa topic gani ambayo kwenye mtaala wetu haipo,

Sijasema ugunduzi umekoma ila ninachosema hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu ya darasani kule tunafundishwa ujuzi au ufahamu wa vitu vilivyokwisha kugunduliwa ila sasa ukishaelewa unaweza endeleza (innovation) hata vitu vingi tunavyovisoma ni ugunduzi wa watu waliofanya research wakajua mambo mbalimbali kuhusu dunia na vilivyomo je hao wenyewe walikuwa na elimu gani kabla ya kuandika?
Huyo kijana anajiita mwalimu mwanafunzi.
Muulize kwanini zile educational philosophies wanazofundishwa vyuoni, nyingi ni za kutoka ughaibuni?
 
Matacore yako


Unakuja kuongea upumbavu hapa


Kwanza GPs haikugunduliwa na mtu mmoja jinga wewe


Unalazimisha ionekane nyani nao wamewahi kutoa mchango wowote kwenye Gunduzi Kwa lazima.


Nimekupa challenge Moja, nitajie ugunduzi Ambao watanzania wameufanya kutokomeza kama sio kupunguza foleni ya Dar.


Kama Kupunguza malori mjini kumewashinda mtaweza complicated inventions kweli nyie.


Shwain wewe
Huna akili huna skili tu mk.ndu wako.
 
Kwa mfano?
Matatizo ya Afrika yanasababishwa na sababu kuu tatu.

1. Viongozi wa Afrika

2. Influence ya mataifa ya Ulaya, Asia, na USA (Hawa huwezi kuwaona moja kwa moja ila deep side ndio wamesuk mfumo unaoyafanya mataifa ya Afrika yanapata wakati mgumu sana kusonga mbele au kufanya chochote.

3. Waafrika wenyewe sasa (uwajibikaji zero, ujinga, unafiki, fitina n mjungu, uadilifu zero, ushirikina, uchawa, miyeyusho).
 
Matacore yako


Unakuja kuongea upumbavu hapa


Kwanza GPs haikugunduliwa na mtu mmoja jinga wewe


Unalazimisha ionekane nyani nao wamewahi kutoa mchango wowote kwenye Gunduzi Kwa lazima.


Nimekupa challenge Moja, nitajie ugunduzi Ambao watanzania wameufanya kutokomeza kama sio kupunguza foleni ya Dar.


Kama Kupunguza malori mjini kumewashinda mtaweza complicated inventions kweli nyie.


Shwain wewe
Huku Singida mjini kuna mdada wa Kingoni
Amevumbua kinywaji kinachotokana na Tende, maziwa ya mgando na tangawizi ambayo mnywaji akitumia anaongezeka nguvu za kiume.


Afrika msingi ni kiuno.
 
Hii inathibitisha kinachotukwamisha sisi, inawezekana ni mazingira; unasemaje kuhusu hilo?
Hatujitangazi na kujulikana.
Mwafrika anafanya ugunduzi lakini hajitangazi, anatokea mjanja kama Bill Gates, rika la watu wezi kupindukia kwa Intellectual Property na anampa mweusi pesa kidogo halafu yeye anachukua patent.
 
Pambaf!
Na pambaf zaidi kwa kujidharsu mwenyewe

Google Gladys West, akili yako ipate ufahamu.

The Black woman whose mathematical calculations of the shape of the Earth laid the foundation for the Global Positioning System (GPS) is Gladys West.
Kwa nini yule nyoka walimuita black mamba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom