Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kama wazungu walituwahi na hawakutaka sisi tujulikane kwenye vumbuzi, kwa nini sisi tusingewawahi wao kuwafanyia hizo fitina?
Hapo swali lako lina jibu complex kidogo. Jibu lake ni sawa na jibu la swali "Kwa nini ni Ulaya ndio ilivamia maeneo ya watu wengine, na sio vinginevyo.

Ulaya ina ardhi ndogo na watu walikuwa wengi. Wameanza kuvamiana na kuuanza vibaya karne nyingi sana zilizopita, wamepigana vita nyingi sana, wamefanyana watumwa wenyewe kwa wenyewe. As a result jamii zao zilipaswa kujilinda dhidi ya unexpected invasions. Hii ilisababisha wazungu waanze kufanya gunduzi mbalimbali na silaha ambazo ni advanced ili tu waweze kuexist na kujilinda dhidi ya invasion. Ukifuatilia history ya wazungu imejaa ukatili, damu na mauaji.

Africa on the other hand, ilikuwa na watu wachache na ardhi kubwa. Hakukuwa na haja ya kujiandaa kivita dhidi ya invasions. Pia tribal invasions zilikuwa katika small scale, zisingeweza kupush more advancement
So siku wazungu walipogundua wanagombania resources chache Ulaya wakati Africa imejaa resources na watu wachache kuliko ardhi ilivyo ikabidi wajiorganise waje kuvamia huku.
Usisahau pia ramani ya Ulaya imejaa mito mingi na licha ya kuwa bara dogo lina coastline kubwa sana. So wazungu walikuwa na experience kubwa juu ya sailing na navigation, walishakuwa strong kwa sababu continent yao iliwashape kuwa hivyo that's why waliweza kuvamia Africa na kum dehumanize mtu mweusi vile ambavyo wanajisikia..

Africa ilikuwa na big land, abundant resources na less conflicts so Africna hawakuwa na uvumbuzi wa silaha wala hawakuwa na experience ya kujihami
That's why we were colonized
 
Mfumo wa Elimu
Elimu haina uhusiano wa moja kwa moja na uvumbuzi

At first mtu au taasisi wanagundua kitu wanakiendeleza halafu wanakiundia mtaala kufundisha matumizi yake au namna walivyofanya kukiunda na hiyo ndio elimu yenyewe

Watu hawafundishwi kuvumbua bali hufundishwa kutumia vilivyo gunduliwa au kuendeleza vilivyokwisha gunduliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom