Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

.
Screenshot_20260731-165552_Lite.png
 
Inabidi tujiulize, ndege inaeleaje angani huku ikiwa imebeba mzigo wa tani 10? haya ya kujenga pyramid hayana mashiko wala tija.
Kile kile kinachofanya kunguru aelee angani ndio kilifanya ndege ielee na tani zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom