Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 61,999
- Thread starter
- #21
Tatizo ni nini?Kwani mkuu
1. Timu 1 kwenda kunya kwenye jengo/uwanja wa timu nyingine nani amegundua?
2. Tume ya uchaguzi kupendelea waziwazi chama fulani nani kugundua?
3. Chips yai zege nani kugundua
4. Uchawi wa kumuua mtu aliyekuzidi mali nani kugundua?