Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Unao uhakika kwamba hatuvumbui?

Na hizi ni hoja siyo suluhu ya uvumbuzi kama upo /tunavumbua ama hatuvumbui,

Kujua nini cha kutenda ni rahisi,kwenye kutenda kuna ugumu wake, kama ingekuwa Rahisi basi Madanguro yangekuwa Makanisa/mahekalu na Nyumba za maskini makasri ya kifalme,

Hivi siyo hoja au msemo wa utetezi , Gunduzi zipo fanya utafiti wako kwa kina/vizuri
Foleni ya dar es salaam imewashindwa kuimaliza mtaweza kugundua nini tena
 
Vipaumbele vyetu havina utekelezaji, zipo talents nyingi Sana mitaani lakini hazipati mazingira wezeshi ya kuendeleza, mambo ya msingi Sana kama Sayansi na teknolojia tumeachia wachina watufanyie....
 
Unao uhakika kwamba hatuvumbui?

Na hizi ni hoja siyo suluhu ya uvumbuzi kama upo /tunavumbua ama hatuvumbui,

Kujua nini cha kutenda ni rahisi,kwenye kutenda kuna ugumu wake, kama ingekuwa Rahisi basi Madanguro yangekuwa Makanisa/mahekalu na Nyumba za maskini makasri ya kifalme,

Hivi siyo hoja au msemo wa utetezi , Gunduzi zipo fanya utafiti wako kwa kina/vizuri
Halafu sisi weusi tunaongoza kwa ubishi
 
Vipaumbele vyetu havina utekelezaji, zipo talents nyingi Sana mitaani lakini hazipati mazingira wezeshi ya kuendeleza, mambo ya msingi Sana kama Sayansi na teknolojia tumeachia wachina watufanyie....
Tatizo ni nini, mpaka sisi tushindwe na kutegemea wachina?
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Vimevumbuliwa vitu vingi tu , ila wewe mvivu kutafuta.
Hujui kuwa hata GPS ilivumbuliwa mna mmarekani mweusi , tena mama.
Friji ilivumbuliwa na mtu mweusi.
1785245832680.png

1785245989837.png
 
Utekelezaji na uthubutu hatuna...tuna mawazo mazuri kwenye makaratasi, soma hata Ilani za CCM ukiziangalia ni nzuri Tu malengo Yake but utekelezaji haupo.
Tunashindwa kutekeleza kwa sababu ya rasilimali fedha au ni mioyo yetu ndio haitaki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom