Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

Mkuu hapo sielewi, najitahidi kuwatongoza mimi sio domo zege
Mkuu! Ukiwa na maokoto, pandisha level ya kutafuta msichana wa kudate nao! Lenga familia fulani au anga za wasichana fulani! Kwa mfano mimi naendaga UDSM maeneo ya Library, cafeteria, graduation! Napitishapitisha macho! Pisi kali zinakuwa nyingi mno mpaka unapigwa wenge uchague yupi? Baada ya hapo! Nitamfuatilia! Au unamuita freelancer unamlipa anakutafutia full details! Ukishazipata kilichobaki ni kuweka mitego kupitia marafiki! Anakoishi! Anakoabudu! Kama unajiweza njooo pm unipe kazi hiyo!
 
Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.
Nimefika hapo 👆 na nilichokigundua ni kwamba bado unaishi nyumbani kwenu,, kingine kama nitakuwa sahihi wewe bado ni mwanafunzi lakini nisiku judge sana...

Jaribu kubadili life style yako ya sasa,, angalia ni wapi unapofeli mpaka nyashi zina kuruka, kingine badili perception yako kwamba ukiwa na pesa basi ni rahisi kupata mwanamke yeyote wa kuoa.
 
Kwema wakuu,

Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.

Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
Tatizo unahisi kila mwanamke anataka pesa zako mkuu jaribu kuoffer vitu vingine kwenye mapenzi labda utafanikiwa usisahau kumuomba Mungu.
 
Kwema wakuu,

Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.

Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?

Hauna mkuu acha mambo yako wanawake wa bongo uwe na hela alafu hupati wakuoa uko serious kweli mkuu?
 
Sababu una akili ya kumsoma mtu.

Kama pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesi hazipatikani kijinga

Ukiwa na akili utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High valie men ngumu sana kukutana na high value woman.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Thread closed

Nilijifanyia utafiti mimi mwenyewe nikagundua hiki unacho kiandika

Inshort tutapata tabu sana.
 
Mkuu! Ukiwa na maokoto, pandisha level ya kutafuta msichana wa kudate nao! Lenga familia fulani au anga za wasichana fulani! Kwa mfano mimi naendaga UDSM maeneo ya Library, cafeteria, graduation! Napitishapitisha macho! Pisi kali zunakuwa nyingi mno mpaka unapigwa wenge uchague yupi? Baada ya hapo! Nitamfuatilia! Au unamuhita freelancer unamlipa anakutafutia full details! Ukishazipata kilichobaki ni kuweka mitego kupitia marafiki! Anakoishi! Anakoabudu! Kama unajiweza njooo pm unipe kazi hiyo!
Mimi kwa upande wangu naona miyeyusho sana ku-date na hawa wanafunzi maana mara nyingi wanakuwa na boyfriend pale chuo.
 
Kwema wakuu,

Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.

Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
Wewe huna hela. Ungekuwa nazo ungepata mfanyakazi wa benki au TRA kwasababu hayo ndo maeneo wenye hela huenda mara kwa mara.
 
Kwema wakuu,

Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.

Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
HIi mbinu ya kutafuta Mademu ya kizamani. Ila unaweza wapata vilaza. Wewe mlalahoi una ota ndoto za alinacha. Mwandiko wako tu unaonesha wewe maskini.
 
Back
Top Bottom