Unatumia mbinu gani Kuishi na mwanamke na huna hela?? Nataka Nianze kuishi na mchumba wangu wa muda mrefu ila sina hela

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
504
874
Wakuu,,
Habari
Swali hapo juu lahusika,,!!

Mwaka 2020 nilikua sina kazi, Nilikua naishi na mwanamke kisela,,, Tuliishi wote kama miaka miwili hili hivi. Ilipoisha kazi nikawa tu niko nyumbani.

Ila kikubwa ni Mwanamke na Hela… kwakua sikua na kazi bas kuna matumizi fulani nikapunguza na vitu flan flan ambavyo sikuona na msingi nikavitema.

Aisee sikua na hela ebu niwe mkweli.

Lakini Karaha niliyoipata ,,Hadi tukaja tukashindwana.Vitu hivi nili note

1.Mwanamke huwa haelewi Neno sina hela
Yaan ataomba hela ya hiki hiki hiki ,, na anajua sina kazi mi nanunua vitu tu vya msingi lakini kutwa kutaka hela,,,, makelele hayaishi naomba hela ya mboga ,,,, yaan kila siku ye hela ya mboga wakat bajet ya mboga majani ilikuepo!!

Yaan nataman niwe narudi kulala tu

2.Mwanamke kila siku anataka kutumia hela hata vitu vidogo vidogo vya kusolve anaomba hela.

3.Ukitembea nae umejichochea kila akikiona ktu ,wapite wanauza vitu
Anataka pesa aisee.

4.Makelele hayaishi ndani kisa tuvitu tudogo tudogo.
Aisee kati ya kipindi sikua na raha na nilichukia kuishi na hawa viumbe ndo hiki.
5.Dharau na kutotulia
Kuzurula kunaongezeka
Huwa najiuliza sasa nikioa uchumi ukayumba itakuaje had sasa bado naogopa,,,,,, aisee hawa
Lakini najiuliza kuna familia masikini zaidi yangu wanaishije !! Hakuna makelele au ndo siri ya kambi!!

Ebu shusha mbinu moja hapa unayotumia kudumu na mke wako kipindi cha mporomoko
 
Mbinu moja kubwa ni kumruhusu ''akatafute fedha hukooooo''.... halafu azilete mtumie. Trust me.
 
Ulitaka kumiliki Ferari huku huna fedha za mafuta na spea? Nenda kanunue vi-Toyota Vitz used huko, ndivyo havina mahitaji makubwa.
 
Kama una mpango wa kuwa naye kama mke, Share kile kidogo unachopata na muweke wazi kuwa bajeti yenu kwasasa itakuwa haizidi kiasi fulani kutegemeana na hali yako.

Kubaliana na hali halisi ya uchumi wako kwasasa.

Kama mwanamke wako ni kundi la wale wajinga wafuata mkumbo na maisha ya kuigiza, achana naye na focus kujijenga kama mwanaume.

Wakati wa kujitafuta usiendekeze matatizo ya wengine.

JIANGALIE WEWE KWANZA NA PUNGUZA HURUMA NA USAMARIA.

Ishi na mtu mwenye uelewa wa hali yako na yupo tayari kupita na wewe kwenye nyakati zote.
 
Kama huna hela unachopaswa kufanya ni kumrhusu awe anadanga.

Halafu hela inayopatikana kupitia udangaji ndiyo itumike kuendesha maisha.

Huo ndiyo ujanja unaofanyika hapa mjini

heeeh sidhan kama mpenzi wako unamruhusu hayo!!
ooh we huna jinsia
 
Yani ukisikia jinsi wanaume wanalalamika kuhusu wanawake utasema wanaonewa, na kwamba wao ni innocent na wana mapenzi ya dhati kwa wanawake, wakati hapo hata akisema akuvumilie ukizipata hakuna rangi ataacha kuiona

Tuvumiliane bana….acheni roho mbaya
 
Wakuu,,
Habari
Swali hapo juu lahusika,,!!

Mwaka 2020 nilikua sina kazi, Nilikua naishi na mwanamke kisela,,, Tuliishi wote kama miaka miwili hili hivi. Ilipoisha kazi nikawa tu niko nyumbani.

Ila kikubwa ni Mwanamke na Hela… kwakua sikua na kazi bas kuna matumizi fulani nikapunguza na vitu flan flan ambavyo sikuona na msingi nikavitema.

Aisee sikua na hela ebu niwe mkweli.

Lakini Karaha niliyoipata ,,Hadi tukaja tukashindwana.Vitu hivi nili note

1.Mwanamke huwa haelewi Neno sina hela
Yaan ataomba hela ya hiki hiki hiki ,, na anajua sina kazi mi nanunua vitu tu vya msingi lakini kutwa kutaka hela,,,, makelele hayaishi naomba hela ya mboga ,,,, yaan kila siku ye hela ya mboga wakat bajet ya mboga majani ilikuepo!!

Yaan nataman niwe narudi kulala tu

2.Mwanamke kila siku anataka kutumia hela hata vitu vidogo vidogo vya kusolve anaomba hela.

3.Ukitembea nae umejichochea kila akikiona ktu ,wapite wanauza vitu
Anataka pesa aisee.

4.Makelele hayaishi ndani kisa tuvitu tudogo tudogo.
Aisee kati ya kipindi sikua na raha na nilichukia kuishi na hawa viumbe ndo hiki.
5.Dharau na kutotulia
Kuzurula kunaongezeka
Huwa najiuliza sasa nikioa uchumi ukayumba itakuaje had sasa bado naogopa,,,,,, aisee hawa
Lakini najiuliza kuna familia masikini zaidi yangu wanaishije !! Hakuna makelele au ndo siri ya kambi!!

Ebu shusha mbinu moja hapa unayotumia kudumu na mke wako kipindi cha mporomoko
Ishi nae kama ambavyo ungeishi na ndugu au mdogo wako tu,
Muhimu zaidi kuwepo na msosi tu wa uhakika ndani,

Akileta habar za pesa ndio maisha ya songe, bas ujue huyo ni mfanyabiashara hamuwez dumu.....
 
Mwambie mbinu unayotumia wewe kumvumilia naniliu ambae mapene hana Ila bado unakomaa nae hivyo hivyo huu Mwaka wa 5 bado unamvumilia na wallet yake kitunguu akifungua chozi linatoka unafanyafanyaje mtemee hicho kidesa akopi akapesti kwa mamsapu wake
Hahaha 😂😂, me sio mvumilivu kiasi hicho mkuu... Mwambie atafute hela hakuna mbinu nyingine
 
Back
Top Bottom