Mkuu hii ni reply yangu ya mwisho sidhani kama nitakujibu tena kwenye huu uzi maana umeshapoteza muelekeo. naiweka tena video yangu ya mwanzo baina ya iphone x na s9 mjadala wangu wote ulianzia hapa na wewe ulikuwa unaijibu hii video. kama unataka benchmark na optimization za A12 tafadhali fungua uzi mpya nitakuja
Mkuu, hakuna haja ya kufungua nyuzi mpya, kwenye posts zetu tumezungumzia devices za miaka tofauti, unachonishangaza wewe ni kwamba unajiona you are the only who has the right to choose which device and when to talk about.
Nili[pozungumzia devices za nyuma za Samsung, ulianza kuuliza huku kwetu ni tarehe ngapi, lakini ulipozungumzia N9 hukutaka kuulize kwako ni tarehe ngapi. una double standards ila huu mjadala unazungumzia in general, as long as by the time tunaongea the device is already in the market.
Nimekuletea video kutoka kwa android authority mwenyewe akikiri kuwa Apple processors are powerful and faster, this is un deniable fact. just kuwa imepitwa kwenye kitu kimoja, how can you conclude it is faster daily? Be realistic bro. Unanishangaza sana kuwa eti kisa imeweza kuprocess 4k video haraka manake kuwa ndio faster, wakati umeona kabisa kwenye App launch ilikuwa ipo nyuma despite having 8 cores na 6Gb of rams.
kama kitu hujui uliza usikurupuke kujibu, mtu akisema 4k video hamaanishi size ya display za simu bali anamaanisha ukubwa wa video, zote samsung galaxies na iphone hakuna hata moja yenye kioo cha 4k, bali camera zake zinachukua video za 4k,
hivyo mtu akisema anaconvert 4k video anamaanisha anaconvert video yenye 4096x2160 pixels, unless hio video ipo compressed kwa codecs fulani tunategemea hata size iwe sawa kwa mazingira na muda mmoja.
Bro, kuna sehemu nimesema size ya display ya simu? unaweza kunionesha nliposema? kabla hujaongea unavofikiri ungeuliza niliposema screen size nimemaanisha nini? sio kuongea kuwa eti nimemaanisha screen size ya simu. Nimekutajia screen size kusudi ili ujue kama sizungumzii screen size naongelea storage size. Halafu, kumbuka kwenye post yako moja ivi ulokuwa ukituelezea kuhusu 4k video, unaweza kutwambia uliposema UPANA wa video ulimaanisha UPANA upi huo? wa display au ni upi?
kati ya hiyo iphone na samsung ipi yenye 1gb ram?
Ungenijibu swali nlokuuliza ningekuona upo wise. Usijaribu ku divert, mi nataka utwambie, je ram hazina msaada kwenye kuspeed up process? hii ndio my main point na unajua vyema. Ila umeepuka kujibu kwa sababu unaogopa kukiri kuwa, Samsung/Android needed more of that to atleast reach the level of efficiency of ios. Usiogope.
ndio samsung kakuchagulia option 2 uchague moja ila Apple anakupa option moja tu.
kipindi cha iphone 5s mulitumabia mtu hahitaji zaidi ya 1gb ya ram, leo hii iphone 5s si kichaka tu cha lags?
why ios 11.1 make my iphone 5s become lag… - Apple Community
Heating/Lagging issue in iPhone 5S after … - Apple Community
ios 11 update lags iphone 5s - Apple Community
ingekuwa na ram 2gb ama 3gb kama simu za kipindi hicho then leo ingekuwa atleast usable,
sasa hivi jipe moyo na 4gb yako ios 16 ikitoka linakuwa kopo,
Kwanini samsung asikupe free choice ya ku add au kupunguza ram? hio ndo kumpa user a choice. Still i need a better explaination, why the same phone has 6GB of rams and the other 8GB of rams, if it was up to to the tech development at the period?
in your dreams ndio ios ni more optimised, ila kwenye hio video ya ushahidi niliyoleta ambayo inatoka kwa fans mwenzako wa Apple s9 ipo more optimized kuliko ios.
May be in your dreamland android beat ios when it comes in optimization
😀 😀 Mi najua wewe you hate apple, because it was the missile that stroke SS Nokia Mobile phones Ship. Tulikuwa tunaipenda sana Nokia, ila jamaa zako were ignorant to move with the times. Wao wanakwambia ""aaah we will get to that""".
By the way, video uloileta sio ushahidi kuwa S9 iko more opmtimized, dont force something which is not.
IOS 12 ime improve hizo old devices na watu wamekiri kama kweli wameona imporvements. So what else do you want to say?
Iphone 5s ambayo ina 1GB of ram, still runs on the latest IOS after 5 years ivi au sio?
Well that doesnt age well with android devices with 3Gb of rams does it?... Samsung S7 was updated mpaka android 8 tu? na simu ndo kwanza ina miaka miwili tangu kuwa released! 4GB of ram! and with Exynos Octa core processor, samsung aint releasing a new update for their 2 years old? and there comes a hater complaining iphone 5s getting an update of the latest devices and crying after 6 years you wont be able to use your iphone X!1
😀 😀 You are a joke Chief, samahani kama this will offend you, lakini with your point, its soooo nonsense bro.
Sasa una 4Gb of rams kampuni ilokutengezea simu imekupotezea mwenzako ana 1GB ana pata latest releases? Something is better than nothing. Hapa umewacompliment Apple bila kujijua, umewasifia kuwa wanazijali simu zao za zamani kwa kuzipa new update, huku competitors wakizipotezea.
At the end, you will realize the only way android to Convince people to use it, is with specs that you dont need, or you need becaus of the inefficiency of the OS. Mifano ipo ya android mingi tu, Simu with higher specs than iPhones, lakini you cant upgrade to latest OS.
iphone 4 inarun nini? safari? maana whatsapp, insta, fb na app karibia zote ninazozijua hazifanyi kazi kwenye iphone 4
Ina run different apps, last time i read Whatsapp wataacha kusupport ios 7 kuja chini in 2020/21 kama ivi. Not bad, miaka mingapi hio? you should update your phone by then.
mkuu nimeshakupa definition ya isheep, unabisha nini sasa? sijatunga mimi hio definition wala hujatunga wewe ni neno lipo duniani unachobisha sijui ni nini
A follower of the Apple cult regardless of the usefulness or real worth of the product. Believes with without question the cult propaganda which installs the almost mythological belief that what they have just bought is the fastest or most user friendly product ever, only to be re-sold the same product, with a few minor tweaks, a few months later with the same rhetoric and complete disregard for reality. Easily mislead by their own egos and think they are being unique and innovative. Often wrong but convinced they are correct.
hio ndio definition ya isheep, unahitaji tu kuwa follower, huhitaji kumiliki. kuna wahindi maskini kibao nenda gsmarena kule utawakuta hawajawahi hata kumiliki hizo iphone ila huwaambii kitu kuhusu Apple.
Well, hio definition sio kwamba ndio official definition, umeitoa kwenye dictionary la kisela and by the way, huwezi kuwa mfuasi wa waislam ikiwa unaamini Yesu ni Mungu na wala huwezi kuwa mfuasi wa wakiristo ukiwa unasali sala tano. Use your logic basi atleast.
ushahidi huu hapa hii ni part ya article toka bloomberg
Sewell, who spoke to Bloomberg Businessweek in August, two weeks before the big iPhone launch, was able to lay out the company’s thinking. As Apple sees it, a cell phone modem is one of many components—and of no special significance. Sewell points out that if your cellular network is down, it’s possible to get online using Wi-Fi, which uses a different chip. Moreover, phones aren’t just phones anymore; they’re also navigational tools, digital wallets, health monitors, cameras, and more. All of those functions work with or without cell service. “Cellular connectivity is important,” he says, “but it’s not as important as it used to be.” On another table behind Sewell, an Apple representative has laid out two versions of the iPhone 7: One model, which has 128 gigabytes of memory was sold by Apple for $750. The other, which has 256 GB, sold for $100 more. How is it fair, Apple asks, for Qualcomm to charge as much as $5 more for the technology in the more expensive phone, given that the two devices are otherwise identical?
Starting in 2015, Apple argued that it should pay patent royalties to Qualcomm based on the price of the modem rather than the price of the phone, which would imply a much lower figure. Sewell says Apple believes it shouldn’t have to pay more than $4 or so per device, 60 percent less than what it was paying Qualcomm after rebates, according to analyst estimates. Qualcomm, not surprisingly, refused.
soma full article hapa
Bloomberg - Are you a robot?
huyo ni mfanyakazi wa Apple anawaambia bloomberg, endelea kubishana na kulitukuza jina lako la isheep
Can you read what you posted lakini? Kwaio tatizo sio kwamba hizo modem ni expensive, tatizo ni how they priced it. Mkuu, please rudia tena ulichoandika, nahisi kama hujaelewa hapo.
Ngoja basi kidogo nikufafanulie nini hapo kimetokea basi maana umeshindwa kuelewa. Apple analalamika kuwa, kwanini Chip A ambayo kwenye iphone 5 auziwe dola 5 lakini Chip hio hio auziwe dola 10 kwenye iphone 5 ambayo ameongeza bei kwa sababu storage size imezidi. Chief, ukireply usiwe emotional, vitu kama hivi logic vinakupita ivi ivi kwa sababu ya chuki zako za bure. kama umeamua kutoa education itoe kihaki sio kuficha ficha. Sasa kwenye mfano wangu hapo juu, wewe ndio umeona sawa Chip hio hio iuzwe bei tofauti kisa simu imeongezwa bei kwa kuweka more storage? Hivi wewe unaona kati ya hio chip na hio flash storage, nani alitakiwa aengeze bei?
Nawaachia wasomaji waamue wenyewe kipi kinastahiki kuongezwa bei. Umethibitsha mwenyewe kuwa tatizo sio kwamba Qualcomm chip ni expensive but the way they priced it ndio Apple haku agree. Apple anataka fixed price kwenye hilo swala.
Niongezee nyama basi, Apple kwenye X ametumia Qualcomm chip na intel chip, kama kaona bora atumia cheap na low quality, si angehamia mazima tu uko Intel? Sasa basi nikwambie the real fight, Qualcomm amekataa kumpa Apple testing software ya chip zake, na ndio Apple ame mind. Apple amekuwa akizislow down chip za qualcomm ili kuperform sawa sawa na za intel kitu ambacho Qualcomm amechukia na kusema kuwa Apple anamharibia sifa zake. Hii ndio vita yenyewe.
display? hicho ni kitu ambacho mteja wa kawaida anakiona kwa macho hata Ntundufye kule mbeya anajua display hii nzuri na hii sio nzuri akiangalia kwa macho, what about modem? very few wanajua modem, wachache watatofautisha lte advance na gigabit lte etc. unajua kama Apple anazifungia kampuni zinazotaja specs zake za ndani? mfano ifixit
Apple ameifungia ifixit isitaje specs zake? Ndio nakusikia wewe, nnachojua mie ni kwamba apple amejaribu kumzuia iFixit ku offer tools na tutorials za kufundisha watu how to fix the phone. Asitaje specs? hii ni new mkuu labda uniletee link niisome hio habari, isije kuwa ume intepret vibaya tu.
How can you even start to hide your specs? hizo chips ni invisible kwani?
you dont get the point, kumiliki feature phone ni kwamba huna uwezo wa kumiliki smartphone? mimi nina Nokia 8110 banana phone na smartphone kibao, ila still hio ni simu yangu almost kila sehemu ninayo
- matumizi yote ya kitochi nafanya humo kama kupiga simu, sms etc chaji siku kadhaa inakaa tofauti na smartphone
-ndio router yangu maana in 4g
-hot swapable sim, muda wote, sina haja kuweka line hadi nitafute pini.
-durable, sina haja ya kuogopa kioo kuvunjika ama kudondoka etc
watu wengi wanamiliki smartphone na feature phone kwa pembeni
Again, unajaribu kupotosha maana, Nimesema kuwa "WENGI WANAWEZA KUMILIKI SIMU YA ELFU 70 LAKINI WENGI HAWAWEZI KUMILIKI SIMU YA MILIONI...."
Au kuna mahala nimesema wanaomiliki feature phone hawawezi kumiliki smartphone?
You buy 1 feature phone, and then you buy 5 smartphones and you say feature phones are eating the market share of smart phone. Asante Chief 1:5
its not about faida ama simu ya elfu 30, hio ni mifano tu, hebu fikiria hivi,
kati ya Apple, Nokia na Samsung nani ana hela zaidi? si Apple na Samsung? kwanini kila siku wana licence technology za Nokia? utaona hawa ni mabepari tu they only care about profit na hawana passion ya kitu wanachofanya nitakupa mifano kadhaa
So if every big tech decides to manufacture their own compononents from top to bottom, who is going to buy Nokia tech? Ulikuwa unanambia mie nitumi atleast 1% of your brain, naona your brain at full capacity inashindwa kuchambua mambo na kuyaelewa vizuri.
Why reinvent the wheel? tayari fulani anatengeza antenna, tena na wewe kwa vile unakampuni ya simu uanze from zero kutengeza antenna hio hio?
Kwani mi nkuulize, Nokia na wao si walikuwa na hela na ni big company? Simu zao ilikuwa kila kitu kinatoka kwao? au walikuwa wana source pia?
Kwaio, kipindi chote icho alichokuwa anatumia Cobalt alikuwa hajui kama ni ya dhulma uko Congo? na kwamba mpaka kaandamwa ndio kaacha, asingeandamwa asingeacha kumbe.... there are different breed of dogs, but they are all dogs!
-hot swapable sim, muda wote, sina haja kuweka line hadi nitafute pini.
Samahani, hii ni worst excuse to use feature phone
😀
-mfano wa pili NFC, kipindi Kina Nokia wanahangaika kutafuta alternative ya bluetooth kwa technology isiyohitaji kupair wao walikuwa pembeni tu ila baada ya technology kukamilika wao ni vimbele mbele wa kutangaza Apple pay na samsung pay
- same kwa technology kama HEVC
-kwenye wireless charging walikuwa wanamuwekea mizengwe ya kila aina Nokia hadi lumia zilizokuwa zinauzwa AT&T ziliambuiwa siziwe na wireless charging kupunguza umaarufu wake sababu Apple alikuwa na mpango na yeye kuanzisha standard yake
Sijui niite conspiracy theories ama vipi? Apple ameanzisha standard ipi kwenye wireless charging kwani ata wamzuie Nokia au wamuekee mizngwe? Nokia ni Finnish company na simu zake wanauza world wide, kwanini hakuekewa vikwazo Sam ambae ndio the only threat to Apple?
kwanini zitumie os moja? na kila moja imelenga soko lake?
Umeona kuwa kumbe smartphone na feature phone zimelenga market tofauti eee au?
si maneno yangu ni ya judge koh mahakamani unajua hio kesi ilienda mahakama kibao na zote Nokia alimshinda Apple? so kama mahakama za ulaya na marekani zote ziliona kwamba Apple alimcopy Nokia na akaambiwa alipe $8 kwa kila iphone pamoja na 1 time payment ya zaidi ya trilioni moja, na Apple wenyewe wakakubali wewe ni nani kukataa uamuzi wa mahakama?
ili nisikuite tena isheep, naomba upeleke huo ushahidi mahakamani kamwambie judge Koh hajui kitu wewe unafahamu zaidi Apple haku copy.
Mi nataka nkuulize, Nokia ndo alovumbua touch screen?
again data zako outdated, huna source ya 2018? ngoja nikusaidie
2017 mwaka jana unasema data zipo outdated??? kama kawaida yako
😀....
Mbona link uloileta tangu march? lete data mpya za November mana ata izo uloleta zipo out dated.
yani kampuni inajua kabisa simu zetu zinajikunja na kuharibika badala ya kuzifix wanazitoa hivyo hivyo unawatetea na kusema ni design flaw kweli? na inafanana vipi na dstv? mfano wake ni kama dstv watengeneze madishi katika kiungio waweke material laini ukifunga dishi linakatika, pamoja na dstv kujua hilo ila still wanatengeneza hayo madishi na kuyauza. iphone 6 kwenye mfuko wa suruali ilikuwa inapinda
Nokia ilijua kabisa kama hizi N9 tuna discountinue lakini wameenda kuwauzia watu
Wakati mwenzngu yeye ameleta video ya EAPpro ambayo ndio anayotumia kuthibitisha kuwa Android is efficient and well optimized kuliko IOS kwa kuwa tu ameona S9 imeprocess 4k video faster, japokuwa ame ignore app launches na mengine basi, kwa kumalizia tu, niwaweke hapa tech reviewers ambao wamekiri kuwa IOS iko efficient and well optimized than Android. Jioneeni wenyewe mujifunze yale yalokuwa ya kweli na sio kulishwa na upupu....
Also, nimeona mwanzo umesema hutoreply, whether you do or not, i am posting all these for people to research themselves before being fed lies and hatred, wala am not expecting you to agree with me in anything, kwa sababu wewe una intepret everything using your hatred rather than for the love for Tech world. Just wanted to clear things out for others... and my work is done here.... Asanteni