Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Mi simu ikishakua ya line moja inaniboa mengine naweza vumilia
 
iPhone ukinunua sawa na kusema Apple wamekuazima, maana huwezi kutumia nje ya mipaka yao.
Android ni wewe tu na utundu wako, fanya utakavyo hakuna wa kukuingilia.
Vipi kwa wale ambao hata android hawatumii nje ya mipaka yao?
 
Officially ios 13 ni kuanzia iphone 6s.

Kwa wale wenzangu na mimi, iphone 6+,6,5s mkapambane na hali zenu.
 
As far as specification Apple wapo pande mbili kuna vitu wapo vizuri zaidi ya competition na kuna vitu wapo ovyo. Mfano.

1. Soc yao kwa sasa ndio best sokoni hakuna simu yenye processor yenye nguvu kushinda iphone japo kwenye gpu bado qualcomm yupo juu na mambo mengine kama modem na wifi anapitwa na simu za android.

2. Usiangalie tu ukubwa wa ram nipo radhi nitumie simu ya 2gb ram yenye dual chanell na ddr4 memory zenye speed kuliko simu ya 4gb ama 8gb ram ambayo ni single chanell na ram za ddr2 ama ddr3 zenye speed ndogo. Zipo simu zenye ram nzuri zaidi ila iphone zake pia sio mbaya zinapita hizi ram kimeo za kichina. Ukumbuke simu gpu yake inatumia ram ya simu hivyo jinsi ram ya simu ilivyo fasta na ndio apps na games zitarun smoothly.

3. Pia megapixel kwenye camera humaanisha ukubwa wa picha na sio quality. Dslr camera kali unaweza kuta ni 8mp tu. Kifupi kuchukua content za 4k inahitajika mp 8 tu. Ambayo kwa sasa ndio vifaa vya kisasa kama tv na pc vinaitumia. Quality ya picha sana inasababishwa na sensor iliotumika pia kuna vitu kama software, ois, aperture, lens etc vinachangia.

Kuhusu mambo mengine nakubaliana na wewe Apple innovation yao ni ndogo sana na ukikuta kitu chao kizuri basi utakuta kina mkono wa kampuni nyengine mfano display za samsung, memory za smasung etc. Kifupi ana asemble vitu best toka makampuni mengine na sio mvumbuzi kama baadhi ya kampuni nyengine.

Kuhusu software na Ecosystem zao zimetengenezwa kwa watu ambao hawataki mambo mengi kwenye simu, upige simu utumie whatsapp na insta etc.

Ila ukitaka mambo makubwa zaidi vitu kama VR, casting, file management, etc ios si yako.
Umemaliza mkuu! Thread ifungwe tu...
 
Nimewai Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuq kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja. Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iphone 8 plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu. As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalam sana wa kuchambua jinsi iphone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo samsung, huawei na tecno ambazo nilishawai kutumia.
Kutoka kwenye note 4 to iphone 8+ lazima uone utofauti mkubwa.... hama kutoka kwenye Samaung kama s7 edge, S8, S9 then nenda kwenye Iphone 8 yako

Iphone 8 imetoka 2017 kuilinganisha na Samsung iliyotoka mwaka 2014 ni kama unaionea.
 
Mtoa mada umenena ukweli mtupu. Nilichogundua watu wananunua jina na sio ladha ya simu, mtu kaaminishwa IPhone simu bora yeye bila kufanta uchunguzi wowote anajilipua tu ili mbele ya jamii waonekane wamo.
Kiukweli hiyo simu imeanza kuadimika mikononi mwa watu na baada ya muda itakufa kifo cha NOKIA tuipe muda kudogo.
 
Tatizo iPhone hawatengenezi matoleo ya bei ndogo. Ndo maana watu wengi wanamiliki iphone 6, ukigusa 7 tu uwe na million
 
Wakuu habarini.
Naomba kujua kwann Iphones zina specifications ndogo ukilinganisha na Simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.

Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo

Maximum RAM 3gb
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Maximum Battery size </ = 3000 mAh

Hawa jamaa Inovation yao ipo katika mlengo upi???.

Hizi simu sijawahi kuzitumia na nahisi sizipendi japo ninapesa ya kununua Iphone niitakayo. Lakini naona simu kama ya waganga wa kienyeji. Maana Masharti ni mengi kuliko Enjoyments.

Yani kumiliki hizi simu ni kama Mkinga mfanya biashara anaelala chooni ilihali ana majumba ya kifahari

1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu

Naomba ushirikiano
Papuchi kubwa na ndogo wewe utachagua kubwa?
 
Hahahaha sio shabiki sana wa selfies maana sura yenyewe hairuhusu.. Natumia sana camera ya nyuma kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Kupiga selfie cyo lazima uwe na sura flan amazing..hivyhvy unafaa, shida wengi hamjikubali
 
Wakuu habarini.
Naomba kujua kwann Iphones zina specifications ndogo ukilinganisha na Simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.

Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo

Maximum RAM 3gb
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Maximum Battery size </ = 3000 mAh

Hawa jamaa Inovation yao ipo katika mlengo upi???.

Hizi simu sijawahi kuzitumia na nahisi sizipendi japo ninapesa ya kununua Iphone niitakayo. Lakini naona simu kama ya waganga wa kienyeji. Maana Masharti ni mengi kuliko Enjoyments.

Yani kumiliki hizi simu ni kama Mkinga mfanya biashara anaelala chooni ilihali ana majumba ya kifahari

1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu

Naomba ushirikiano
Umekosea hapo pa mkinga Mkuu

Wengine watakwazika
 
Mbali na hayo yote kwa mm sifikirii kuja kumiliki
Simu ya bei ya kiasi hicho
 
Watu wengi tuna matumizi ya kawaida sana.
Unakuta mtu ananunua simu milioni mbili lakini matumizi yake ni whatsapp, jf, facebook, instagram, kupiga picha...
Anatamani aonekane naye anamiliki simu kubwa
 
Watu wengi tuna matumizi ya kawaida sana.
Unakuta mtu ananunua simu milioni mbili lakini matumizi yake ni whatsapp, jf, facebook, instagram, kupiga picha...
Kila mtu na ulevi wake..nikikamata milion 2 saiv ni simu nanunua ila siyo Iphone. Kwann? Kwasababu napenda simu nzuri ila isiwe Iphone.
Ongeza kamba ule pakubwa zaidi
 
Back
Top Bottom