Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Inategemea na storage 16gb mpya ni 400k,32gb mpya ni 450.

Used inategemea na condition,unaweza pata kwa 250k mpaka 200k.
Nadhani nitanunua tu 16gb laki nne siyo mbaya...vipi hazipo fake nikakamatwa masikio!
 
Kila siku nafatilia fragship, we ndo fatilia, hakuna cm zinazotoka wakauza juu ya iphones, labda kwa special edition, ukiuza juu ya iphone, its simple, hupati wateja
Samsung mwenyewe kashindwa
Frag nini??na leo umefuatilia???
 
Chief-Mkwawa simu yangu ya I Phone 5s inazimika na kuwaka yenyewe alafu betri linaonesha mara limejaa mara limeisha. Tatizo laweza kuwa nini? Msaada pls!
 
"*yaani simu za apple yaani hiiiii we acha tu" swali tuambie una enjoy nini kwenye Iphone? Yaaani iphone yaaaani ni nzuri"
Upuuzi kabisa NILIKUWA NAJIPA GA KUNUNUA Iphone nimeacha hakuna aliye jibu hoja wala kutaja nini ki amfurahisha
Simu hupati Local app wala haina compatibility na device zi gine huo ni utumwa.
Simu za kichawi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku nafatilia fragship, we ndo fatilia, hakuna cm zinazotoka wakauza juu ya iphones, labda kwa special edition, ukiuza juu ya iphone, its simple, hupati wateja
Samsung mwenyewe kashindwa
Unaonaje bei ya samsung S10+yenye gb 512 ?

Sent using Samsung Galaxy
 
Unaonaje bei ya samsung S10+yenye gb 512 ?

Sent using Samsung Galaxy

Ni sim nzr
Siku zote nairespect samsung kwakuwa ni kampuni kubwa yenye kujitaidi kufrahisha wateja wake
Though bei ziko juu kidogo ila najua baada yamiezi 9 zitashuka sana nami ntanunua
Nilkuwa na mpango na s9 au oneplus lkn ngoja ningoje
 
IPhone kusema ukweli ina mapungufu mengi mno, nliitumia iPhone nikarudi fasta sana android...IPhone jina tu ila android ndo baba lao...just imagine mtu huwezi hata kuprint document ukienda stationary wakati mwenzako wa android akipachika tu waya kwenye pc anaperuzi document fasta then anaprint we unahenya tu, Mwenzako ana uwezo wa kudownload nyimbo za kibongo kwenye blogs we unahenya tu, umeenda kijijini babu yako anataka umrushie picha ya ukumbusho kwenye sim yake yenye Bluetooth unabaki kuhenya, simu haina slot ya kusomea memori kadi hivyo inakubidi uhenye ununue mabando kwajili ya online backups na usiombee net iwe slow utahenya sana, simu haina laini 2 hapo inakulazimu ununue simu ya pili iwapo una line 2 au zaidi so unahenya bado, app developers wengi wanatengeneza app zao kwa android hata apps kibao za bongo ni mwendo wa android tu na wenzako wanafaidi apps za local developers while we unahenya tu, mwenzako no stress full time internet na mziki kwa juu hakuna stress za chaji kuisha we unabaki kuhenya na stress za chaji, ngoja niishie hapa ila mapungufu mengi mnooooo.....

Android phones ndo zina thamani halisi ya pesa unayolipa mana inatimiza sifa za kuwa economic, efficient na effective.....hizi bei Kali za iPhone naona ni pricing strategy zilizobase prestige ili kufanikisha price skimming, Simu ya android hata ya laki 6 tu ina uwezo wa kuipiga bao hata iPhone X. Kazi kwenu team iPhones
😂😂😂😂😂😂😂
aiseee nimecheka kifala kudadeki!!
 
interaction ni muhimu,mimi hututumia redio yenye bluetooth kuongelea ndani ya gari sasa kwa iphone siwezi fanya mambo haya.

Nani ka kwambia huwezi tumie bluetooth ya i phone kusikiliza radio mbona me nafanya
 
Mimi tangu nilipoanza kutumia apple devices sijawahi kujutia mwanzoni nlikuwa nawashangaa watu wanaozisifia nawaona hawajui kitu lkn nlipoingia nmeelewa vzr
Labda mkuu naomba kujua kuhusu hizo simu za iphone app ya JAMIIFORUM inakubali?
Kama inakubali hiyo mengine hayo kwangu mimi ni ziada!
 
Tunaomba list ya enjoyments za apple.
Sisi tumekuja na drawbacks hizi hapa
1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu
Labda mkuu app ya jamiiforum vipi nayo haikubali?
 
Inakubali mkuu
Mkuu hapa nilipo natumia android ya kampuni ya xiaomi model redmi 4a.

Simu nzuri kwangu inayoniwezesha kuperuzi kwa urahisi na kwa muda mrefu.

Maana mimi sio mpenzi wa ku dowload mara kwa mara na wala sio mpenzi kusikiliza muziki kwa sana.
 
Back
Top Bottom