Windows 10 ipo optimised for both touch na keyboard na mouse, na continuum inachange kutokana na matumizi yako.
Swali nililokuuliza ni software zipi hizo? Ambazo ipad inafanya surface haifanyi?
Yani kupewa office version mbili ni mbaya? Sababu ipad ina version ya mobile tu basi surface kuwa na version ya mobile na full version ni mbaya? Its called choice man,
Hebu nikuilize office ya ipad unafanya nini zaidi ya task nyepesi nyepesi za kusoma na kuedit document ndogo? Can you even edit complex formula na documents kubwa za excel?
Hebu nikutajie app za youtube za windows then fananisha na ipad.
1. Videorder
Haihitaji maelezo mengi best app ya youtube kwenye android ipo pia kwenye windows, uwezo wake ni kama huu
-kuangalia video kwa quality unayotaka
-kudownload video kwa quality unayotaka
-kudownload video kama mziki tu
-comments
-uwezo pia wa kuangalia na kudownload toka site nyengine za videos kama dailymotion, openload, vimeo, etc
2. Mytube
App nyengine nzuri ya youtube ambayo ipo muda mrefu toka enzi za wp, kama ilivyo videorder ina features kibao za kuangalia, kudownload, na vitu vyengine nilivyokutajia hapo juu, apart from that pia ina
-casting features unaweza cast video zako za youtube kwenye tv.
-picture in picture mode ambayo video ina pop up kidogo wakati unaendelea kufanya kazi zako
-play youtube playlist kwa background bila kuona video unasikiliza kwa sauti tu.
-ni app ya store hivyo inamatch na theme ya pc yako.
Hebu nitajie app moja tu ya youtube ya ipad hata official one ambayo ina features kushinda hizo app mbili za surface na windows kwa ujumla.
Hapa umetaja feature ambayo ipad haina (umenisaidia) na sio features ambayo ipad inayo.
Mbona unataja mambo ya 2011? Na kipindi surface rt ipo surface pro pia ilikuwepo mkuu zilitoka pamoja, kipindi kile hakukuwa na processor za bei rahisi za intel surface zilikuwa zinauzwa bei ghali hivyo surface rt ikawa inatumia arm processor. Siku hizi hata surface za bei rahisi zinatumia intel soc hakuna tena RT. Na windows RT tayari ipo integrated kwenye full windows.
Sijaona kitu kwenye hizo attachment.
Na bado hujanijibu swali langu la msingi ni vitu gani hivyo ipad inafanya kwa ufanisi na surface haifanyi? Kuchora? Kuchukua document? Kuangalia video?kufanya nini?