jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Sijawahi sikia flagship ya samsung ikiuza chini ya unit milioni 10
Kwasababu ni affordable
Sijawahi sikia flagship ya samsung ikiuza chini ya unit milioni 10
Sijawahi sikia flagship ya samsung ikiuza chini ya unit milioni 10
Mkuu sidhani kama ni jibu sahihi saana. Hivi unajua sababu kubwa ya Android OS kuwa na market share kubwa kwenye OSs duniani ni nini?Kwasababu ni affordable
S9 ama note 9 ni affordable? Si ndo simu zinauzwa zaidi ya milioni 2?Kwasababu ni affordable
Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.
Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.



Mwenye uwezo wa kununua iphone ana uwezo wa kununua android yoyote ila wengi wa wenye uwezo wa android hawawezi afford iphone, siyo kwamba watu hawazipendi iphone, sema uchumi unabana
iPhone sio simu za vilaza
Kwanza iPhone ukishaiweka loak ndio basi Tena hakina mtu wa kuifanya lolote yaani ukiiba au ukiokota iPhone ww mpe mwanao wa miezi mitatu aigeuze toy hawa jamaaa wapo sicurity kinoma saiv OS12 hata screen used huwezi kuuza yaani haitokubali kwenye iPhone nyengine nazani umenisoma
Wee Baki na Samsung yako ikiibiwa mtu anatoa loack anatumia
So iPhone wapo juu
Ni simu za kishuaa🤪🤪🤪🤪🤪
Kwasababu ni affordable
Then explain thisHamna kampuni ya simu au tablet inayoweza kusimama na Apple Kwa sasa, haipo , na ndo maana hapa kwenye huu mjadala ni all Android Phone’s against iPhone. Ila ukisimamisha kampuni moja inaonekana kama mtoto anayetambaa mbele ya apple.
Apple washindanishe na all other phones combined ila siyo one one
Tuendelee kubishania ram , speed na megapixels lakini suala la experience na ufanyaji kazi wa Apple devices ni habari nyingine
Na juzi imetoka IPad Pro ambayo inaendeleza mauaji ya tablets sokoni zikiwemo Microsoft surface, Samsung tabs, dell n.k
Niwaambie tu tunapoongelea Apple tunaongelea success story , weka ushabiki pembeni Apple ni mfano wa kuigwa kuanzia ubora wa bidhaa, care , supply chain, ushirikiano wake na makampuni mengine kuhakikisha mteja anapata bidhaa bora, privacy and pirate protection just to mention few.
Sijui ametoa wapi hiyo info! Emb alete source ya hiyo claim yake ya kioo hakitaweza fanya kazi kwenye simu nyingine.Loak=lock
Sicurity=security
Saiv=sasa hivi
Halafu acha uongo,screen gani ambayo haifanyi kazi kwenye simu nyingine???unazungumzia flat screen???
Mwalimu wa kiswahili upo vizuri angiza soda.Loak=lock
Sicurity=security
Saiv=sasa hivi
Halafu acha uongo,screen gani ambayo haifanyi kazi kwenye simu nyingine???unazungumzia flat screen???
Mwalimu wa kiswahili upo vizuri angiza soda.
Umesoma vizuri lakini?Hawa ni analysts na mawazo Yao hatuwezi kukataa au kukubali na hayaondoi ukweli kwamba hamna kampuni inasimama mbele ya Apple , lakini tukija real figures bila ku guess guess kama article yako inavyo guess Kwa kujaribu kumlisha maneno Tim Cook . Hamna smartphone zinazouza kama Iphones na hii ni Kwa miaka mingi tu including mwaka huu na mwaka jana. Units sold iPhones ziko juu sana
View attachment 919218
View attachment 919219