Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Maneno mengine ni utani tu ukifuatilia nlichokua najaribu kuelezea. Don't take everything seriously.
Kupiga selfie cyo lazima uwe na sura flan amazing..hivyhvy unafaa, shida wengi hamjikubali
 
Bas hujui kuitumia mbona mimi nafanya hiki kitu toka 2014 with iphone 5s
interaction ni muhimu,mimi hututumia redio yenye bluetooth kuongelea ndani ya gari sasa kwa iphone siwezi fanya mambo haya.
 
Back
Top Bottom