Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanza sijaona sim, iPad au pc au device yoyote inayotunza moto kama ya apple
 
iOS is defining Security, Quality and status. If you care so much abt You ..Tumia iOS devices.
 
Hujatumia huwez kuijua pia uktumia mda mfup huwez kuijua kwanza ni sm ya wasom coz kuna sehem inakupa mwongozo wa kuitumia sasa lazma ujue kusoma
 
Fuata mshale wa back syo lzma button ata simu nyng hazna button hyo
 
Compare na watu kama Sony, Samsung, LG, Google/Htc vitu vingi Apple anapitwa.

Ila hawa wachina wetu kina Huawei, Xiaomi, Oppo etc wao simu zao hazikamiliki bila kumuiga Apple, hivyo wanampa umaarufu na kutengeneza ile hype kila kitu cha Apple ni bora.
Anapitwa na Nini mzee kuweka Application za Maswa yetu blog, Global Publishers

Chief Mkwawa acheni ku exagrate issues yaani unavyosema anapitwa kama iPhone hazina Uwezo wa Kushika Internet yaani.

Mimi nina iPhone hapa nimepitwa na Nini?
 
Pia kuna apps hazpatkan apps store Ila wawezazpata kuptia browser
 
interaction ni muhimu,mimi hututumia redio yenye bluetooth kuongelea ndani ya gari sasa kwa iphone siwezi fanya mambo haya.
 
Kurushiana vitu ni uzaman pia lazma uwe unique syo unachokpata android upate na iOS, itakuwa haina haja ya kuwa na wngi wa simu
Huuu ni upotofu. Et file sharing ni uzamani??? Acha izo broo. Mbona nyimbo mnazotumiwa mnazisikilizia wutsup tuuu
 
Swala la dual sims ni mawazo local kabsa kwanza bnafs cpend
 
Hujatumia huwez kuijua pia uktumia mda mfup huwez kuijua kwanza ni sm ya wasom coz kuna sehem inakupa mwongozo wa kuitumia sasa lazma ujue kusoma
Kuna page zaidi ya 360 za User guide za Simu yangu ya iPhone 8 Plus Kilaza atapataje mda wa kusoma kuna mambo ya 3D touch achana na Watu waliokosa kazi mkuu na kuanza kufananisha Apple device na Vitu vya kipuuzi
 
Jiulize kwann marekan wanatumia sana iphone na sio android phones? Iphone ni highly secured phone achilia mbali performance yake...
 
Simu huweza kuandkwa space au mp kubwa kumbe kiini macho mf ukchukua tecno mp 13 afu Samsung mp 5,mkpga pcha mp 13 tecno atakaa chin.Pia camera za sim hazjarbiw mchana au kweny mwanga.Hivo bac kuweka nafac au uwezo mkubwa kwa mandshi ni kivutio tuu Ila ving havifany kaz kama ilvobainishwa
 
Back
Top Bottom