








For the case of the notch ;
Kitu watu wengi hawaelewagi ni kwamba kwenye smartphone industry right now imekua 2 horse race sana.. Kwa ssa ivi big smartphone players ni either IPhone or Samsung.. Hao wengine woooote and I mean wote ni wanao iga the big players tu..
IPhone siku zote wanapendaga kuwa wa kwanza kufanya vitu na pale tu wanapochelewa kufanya kitu (wireless charging is a good example) watakaa paka miaka hadi mitano badae watasingizia they wanted to be the best at that thing.
Kwa kawaida innovation nyingi za iPhone uwaga zinajenga the smartphone industry na ndo maana makampuni mengi wanapenda kuiga wanachofanya iPhone (mf kutoa earphone jack ).
Mimi mwenyewe uwaga mara nyingi naonaga iPhone zipo very innovative siku zote ila kwenye hili la notch sikubaliani nalo kabisa.. Ni kukosa innovation.. The truth is that the iPhone X notches are ugly.. Even the Vivo Nex and Oppo Find X have done better innovation.. Yani unaweza google simu ya Essential phone ukaangalia notch ilivyopendeza, huwezi kabisa kukubali kutumia notch city ya iPhone X.
Mimi naamini ipo sababu kwanini Samsung (wanatengeneza screens for both the iPhone and now the Google pixel) hawajaweka notch hadi leo hii. Na kiukweli.. If Jobs was around he wouldn't approve of a notch city on top of his greatest invention.
Wanaoisifia iPhone kwenye huu uzi sijui wataficha wapi nyuso zao Samsung Galaxy s10 ikitoka..
I will still use 0.4% of my brain.Kama site za fans wa apple zimekuwa bias against apple wenyewe tutumie site gani sasa.
Tumia hata 1% ya akili yako
simu yenye processor yenye nguvu zaidi duniani impitwa speed na isio na na nguvu je ipi imekuwa optimised zaidi?
Na jamaa anaonesha kabisa hadi mfano wa kurender 4k ameeka jinsi exynos ilivyokuwa blazing fast,
Ahahahaha sasa video za wana youtube wote ni newbies, ivi hao akina EverythingApple pro na Android authority na kina Linus hawapigi hela Youtube? kwaio wewe unatwambia kuwa Samsung ilikuwa in max settings na iphone ilikuwa on low settings 😀Umekazania tu gb za ram, as if ndio most specs inayotumika kurun games vitu muhimu wala huna haja navyo.
Na videos kadhaa nilizoziona youtube zote ni newbie au wapiga hela ndio wamezieka mtu anafungua tu game na ku compare. Huwezi ukachukua simu ya QHD na kucompare na FHD it will never works until utweak games zote mbili zirun at same setting. Nimekuambia hapo juu na nakwambia hapa tena. Unless mtu aoneshe hiki kitu kwenye setting hakuna comparison.
Sasa ivi imekuwa choice sio tena uwezo wa technology wa kueka more rams? Mi sijasema kuwa Iphone hakuweka big screens before kwa sababu hakukuwa na io tech, wewe unasema kuwa S9 haikuwa na 8gb of rams kwa sababu miezi sita ilopita kabla note 9 kutoka tech ya kuweka 8gb rams ilikuwa haipo. So according to what you say, that means, whenever the tech is there, just put it in the phone even if its not going to be used. Which Apple doesnt. They give you what you want with your device to run smoothly and EFFICIENTLY!Serious mkuu? Kwanini iphone asitumie tu kioo kimoja simu zote? Kwanini kaeka ukubwa tofauti? Kama unataka simu ya 8gb nunua ya 8gb kama 6gb inakutosha nunua 6GB, kuna watu wanatumia tu whatsapp simu zao,
Sijakuuliza nini maana ya iSheep, nimetaka kujua kwanini unaniita isheep. Nina 2 android phones, the shitty techno spark 8 na Samsung A7, how am i an isheep? isheep dont use androids..... i am just realist something which you are not.Hapa naendelea kukuelezea maana ya isheep.
Fikiria mkuu mwenyewe, unatumia modem ya gigabit lte inakupa speed ya maana unatoka sababu ya utofauti wa few dollar unaipa tenda kampuni isio na experience ya modem inakutengenezea modems kimeo. Simu zako zinatoka zinakuwa na speed kidogo kushinda flagship za kampuni zote.
Halafu fans zako wanaanza kushangilia ujinga wao uliofanya. Kondoo pekee ndio wana ujinga huu kila wanaposwagwa wanaenda. Jina la isheep wamepewa fans wa Apple sababu hii.
Kukazania kwenye modems nakupa tena source nyengine.
Qualcomm: Snapdragon 845 phones destroy Intel modem rivals in speed tests
Hapo sd845 ni hadi 53% faster zaidi ya intel.
Na mkuu usifananishe biashara ya modem na processor ni vitu viwili tofauti. Tunanunua laptop zenye processor za intel na sio laptop zenye modem za intel. Ukikuta laptop ina line ile modem sio ya intel itakuwa ni Qualcomm,Ericson,broadcom etc.
Sababu kampuni fulani ni bora kutengeneza bidhaa A haimaanishi ni bora pia kutengeneza Bidhaa B.
Lakini wewe ndio uliesema kuwa mi nimekariri kuwa ukilipa kiasi fulani basi nategemea kitu fulani, nimelielekeza kwako unasema ni kujielewa?Kuwa na expectation na kutegemea tech fulani iwe kwenye flagship si kukariri bali ni kujielewa.
Serious mkuu? Unajua ni simu ngapi za note 7 zililipuka? Marekani walikuwa na incident kama 92 tu na worldwide hazifiki hata 1000 compare na mamilioni ya simu zilizouzwa hio haifiki hata asilimia 1, ila still simu zote zilirudishwa.
Asilimia 1.7 ni kubwa sana. Na job alikuwa akidanganya mwanzo mwisho kwenye hio issue.
Na pia mkuu Aplle hakufix hio antenna mwisho wa siku walitoa tu macover ya bure ili watu wasishike lile eneo la antenna. Hakukuwa na sofware wala firmware iliosolve. Na mpaka leo iphone ni moja kati ya simu mbovu zaidi linapokuja suala la kushika network. Mjini tu unaweza usipate full bar ya network. Namaanisha hadi hizi mpya.
Kuna uzi mzuri huu wa forbes unaelezea mambo yote ya antenna
Apple Didn't Learn From The iPhone Antennagate Scandal
To them, they thought it was ready, but then it turned out it wasnt. Its simple, they didnt know how to do it. Au kuna shemu nimetetea kama walichofanya ni sawa kuwapoteza watu?Does it matter wameitoa wapi? Kama bidhaa haipo tayari ilitakiwa isiletwe sokoni simple and clear. Ninunue simu ya milioni kisha ikanitupe msituni?unaanza vipi kutetea hapa?
If symbian was to be succesful, there was no reason to discontinue it. Symbian ilikuwa ina miaka mingapi mpaka ilipokuja ios na Android? Hivi ulitegemea OS mpya kuanza tu ianze na market share kubwa? Hio market share ya Symbian imeanza kuliwa na Android na ios mpaka imekweisha, tena unataka kusema nini? Kabla ya iphone Nokia alikuwa anategeza simu na Apple walikuwa hawana simu? maana naona unasifia nonsense. Hivi unafikiri Android ilikuwa adopted na kila mtu kwenye market in a snap of a finger? kila kitu kinaanza from zero kwanza afu ndo kinapanda. Sasa wakati huo ofcourse market share ya Symbian ilikuwa kubwa kwa sababu ios na android walikuwa wachanga, lakini mwishowe? ELOP KAUWA SYMBIAN 😀 😀 😀 Kubali matokeo tu, Symbian couldnt survive with the change and they were too late to adopt.Problem moja haijustify ila kukiwa na multiple problems inajustify.
Na tena na tena narudia symbian ilikuwa discontinued ikiwa na marketshare kubwa kushinda ios na android. It was never a failure. Symbian haikushindwa sokoni ilishindwa kwenye vichwa vya kina Elop.
Si umetaka kujua what iPhone made better? Huujui ule msemo unaosema "It doesnt matter who does it first, its who does it better" and you wanted to know what Apple made better na nimekupa mifano 🙂lmao you mean copying them?
So kucopy innovations za watu na kuzimodify ni ufahari nao?
Sijui unakuwa unasahau nini unachoandika. Wewe una brag mauzo ya simu ya elfu 30 over simu ya milioni 2, unasema simu zimeuza sana. Halafu wewe mwenyeo Chief, umekuja na mfano wa dagaa na samaki wakubwa, kwamba dagaa wanaweza kuwa wanauza sana lakini si kwamba ni wazuri kuliko samaki wakubwa, naona unajicontradict mwenyewe. iPhones na samsung s series na note series ndio masamaki wakubwa, Nokia tochi, jio phone na other nokia phones ndio vidagaa, everyone can afford them but not everyone can afford papa.So akiuza Nokia ni dagaa ila mukiuza nyie ni kuku? Mbona sasa munakimbilia kwa dagaa kila siku ku licence technology?
Sasa bro, mi nimekutolea mfano wa tecno spark 8 au sio, wewe una mfano wako wa simu ya elfu 70, feature phone. Ivi ni kweli hasa, tecno, simu ya laki 2 inajaribu kumuiba mtu wa feature phone ya elfu 70? apa nashindwa kukuelewa how. Halafu kitu kingine, who is making these lowend phones?Simu za lowend smartphone lengo lake mojawapo ni kutransform user wa feature phone wanunue smartphone, ili baadae waje wanunue model kubwa.
Mfano mtu anaenda dukani kuna tecno ya button ya 70,000 na anakuta tecno ya touch ya smartphone ya 80,000 anakuwa tempted na kununua touch. Akianza kuingia ulimwengu wa fb na insta simu inakuwa slow, jinsi matumizi yanavyoongezeka na yeye anajichanga kutafuta simu nzuri zaidi.
Hata google mwenyewe ametengeneza android mpya inaitwa android go kwa ajili ya kazi hii tu.
Si akohowe tena basi. hio user interface sijui kamuibia vipi Nokia, mana sijaona similarities kabisaaa! Kwaio Apple anategemea zaid? Kwa mfano hebu tupe kidogo tuone hio ziada ya Apple anayotegemea...Ndio kuna kutegemeana ila wengine ni wategemezi zaidi. Na usifananishe kununua kifaa kama soc kwa kampuni nyengine na kudakwa wizi na kulazimishwa umlipe uliemuibia.
Apple alidakwa anaiba technologya nyingi za Nokia ikiwemo touch screen user interface na related technologies ndio maana Nokia analipwa kwa kila iphone inayotengenezwa.
Na Apple hajamlipa Nokia matrilioni mara moja,do your homework.
Ebu nambie kilichokuwa copied kwenye Symbian ili nikijue namie nikitizame.... Symbian sijui nini kimekopiwa.Unapokandia operating systems ambazo kila siku unaendelea kuzicopy its so fun. Kama ni ourdated, hazifai, etc kwanini kila siku mpo busy kucopy feature zake na kuweka kwenye version mpya za os zenu?
Kwani kati ya matajiri na masikini wapi wanaongezeka kwa kasi?Miaka yote hiyo wakati mauzo yanaongezeka hazikuwa ghali? Sasa hivi yamepungua zimekuwa ghali? Na kwanini miaka yote mauzo ua feature phone yasiongezeke? Mpaka hizo factor mbili zilipotokea?
Earphones zipo ila ni implementation tofauti.. We are in the era of wireless charging kaka. Why have an earphone jack when we can go wireless? Ndo innovation io mzee.Kutoa earphone ni innovation?

Wireless sio better kushinda wired bali ni alternative tu. Kuna vitu vingi tu unamissEarphones zipo ila ni implementation tofauti.. We are in the era of wireless charging kaka. Why have an earphone jack when we can go wireless? Ndo innovation io mzee.
Ata zamani simu zilikua na buttons skuizi ni touch screen phones tu.. Its all innovation. Same goes no bezels.. Its time for them to go.. Ila iPhone wameforce sana.. #NotchCity![]()
![]()
![]()
Wireless sio better kushinda wired bali ni alternative tu. Kuna vitu vingi tu unamiss
1. Bandwidth ya bluetooth ni ndogo sana hata kusikiliza lossless audio ni tabu,bluetooth 5 inajitahidi ila still haifikii waya. Wewe kwako mziki ni mp3 ila kwa watu wanaopenda miziki wanatumia format zenye studio quality aka lossless audio, nyimbo moja ya dakika 3 ina mamia ya mb.
2. Kunapokuwa na muingiliano wa signal wireless reliability yake inashuka. Mfano upo bandari unasubiria boti ya kwenda zanzibar na mpo watu 50 wote mna bluetooth headphone ujue haitafanya kazi kama inavyotarajiwa
3. Wireless siku zote bei ghali.
Sikandii wireless isiwepo ila wireless iende sambamba na wired, kama wanataka simu nyembamba watumie earphone zenye pin ndogo, mfano kipindi cha zamani nokia walitumia hizi earphone.
Pia usb type c ni better kuhandle audio ila nayo port hio hio inatumika kuchajia hivyo nayo ina mapungufu yake.
I will still use 0.4% of my brain.
So A12 chip, which is Hexacore, supported with 4Gb of rams vs Exynose chip which is Octa core and suppoerted with 6GB of rams 😀 Chief unasema kuwa Exynos is more optimized than A12. So hii Exynos ambayo unasema ipo Optimized than A12 was slower in Launching apps, but was quick in 4k video rendering, which hujatwambia how long that video was, what size is that video. Wakati wewe ulikuwa unalilia uoneshwe settings za fortnite, atleats kwenye video rendering ungenionesha basi the size of the video file before it was rendered. Lakini tusiishie hapo tu, wakati Exynose imeamliza kufanya hio rendering, EAPro akaendelea ku relaunch apps, the exynose was ahead beacuse A12 was late to render the phone, lakini when it was done, cha kushangaza A12 almost imemfikia Exynos on relaunching the apps!!! an then Chief unasifia kuwa Exynose is well optimized. Nafikiri unashindwa kutofaitisha between well optimized and well improved hapa.
as i told you before, soc ya apple ina nguvu sana tena sana kushinda exynos, ndio maana ukaona hata huyo fan wa Apple alikuwa suprised sana kuona simu yenye nguvu ndogo ikiishinda yenye nguvu kubwa, kwenye kurender hio video ni custom chip ndio zinasaidi, ram inakuja kusaidia kwenye multitasking na mambo mengine kama emulation.Tukiacha ivo, kwanini tusifanye fair comparison. Kwanini tusiweke A12 with 4gb of rams and Exynose with 4Gb of rams and lets imagine both are hexacore halafu tuone. Wewe unafikiria what will happen? Samsung cant do with less, they need more then you are telling us it beat apple 😀
Anyways, lets hear what Android Authority have to say about This OPTIMIZATION thingy; we endelea kuwa Apple Hater!
wapi nimesema watu hawapigi hela youtube ama chanell zote za youtube ni ndogo? nitakuelezea mara ya mwisho kiurefu, pengine sitazungumzia tena suala la games maana unaonekana hujikiti kwenye technical badala yake unataka tubishane kwenye vitu visivyo na maana.Ahahahaha sasa video za wana youtube wote ni newbies, ivi hao akina EverythingApple pro na Android authority na kina Linus hawapigi hela Youtube? kwaio wewe unatwambia kuwa Samsung ilikuwa in max settings na iphone ilikuwa on low settings
choice kwa maana amepewa mteja, sokoni, unaamua mwenyewe ununue ya 8gb ama 6gb, as long as ipo ya 8gb mtu akinunua ya 6gb ametaka mwenyewe.Sasa ivi imekuwa choice sio tena uwezo wa technology wa kueka more rams? Mi sijasema kuwa Iphone hakuweka big screens before kwa sababu hakukuwa na io tech, wewe unasema kuwa S9 haikuwa na 8gb of rams kwa sababu miezi sita ilopita kabla note 9 kutoka tech ya kuweka 8gb rams ilikuwa haipo. So according to what you say, that means, whenever the tech is there, just put it in the phone even if its not going to be used. Which Apple doesnt. They give you what you want with your device to run smoothly and EFFICIENTLY!
Sasa nashangaa leo unasema kuwa its a matter of choice 8 or 6 GB rams... Wow Chief!
i sheep haina mahusiano yoyote na simu unazomiliki, kuna isheep hata uwezo wa kumiliki simu hawana, isheep ni ile hali ya kuamini kila anachofanya Apple ni sahihi kiwe kibaya ama kizuri, kifupi watu wanaoswagwa.Sijakuuliza nini maana ya iSheep, nimetaka kujua kwanini unaniita isheep. Nina 2 android phones, the shitty techno spark 8 na Samsung A7, how am i an isheep? isheep dont use androids..... i am just realist something which you are not.
hapo unadandia katikati chanzo cha ugomvi ni nini? Apple alisema Qualcomm anamcharge hela nyingi, hapo ndio walipokosana, hivyo kusave dola 1 ama 2 akaachana na Qualcomm na kwenda intel, na effect yake ndio hio simu za Iphone kupitwa vibaya vibaya na Android kwenye speed.And let me touch a bit on this issue regarding Qulcomm and Intel in reality and not like how you lied to the people reading in here.
Unasema kuwa Apple Ditched Qualcomm kwa sababu tu wanatafuta kitu cheap and low Quality - HUU NI UONGO!
Apple na Qualcomm hivi sasa wamekuwa wanaugomvi, na ndio maana Apple ameamua kutafuta alternative, na ameona kuwa aende kwa intel na pia kufikiri Samsung chips. Nafikiri hio statement yako ya chuki ungebaki nayo tu.
ulikuwa wapi kipindi hicho? huwezi ona tatizo la Antena mjini, tatizo linakuja pale unapokuwa mahala bar za netwrok ni chache,Sijasema kuwa asilimia 1.7 ni simu 2 au tatu, lakini wewe kwa vile umesema kuwa i4 ni mbovu na kwa ujumla, nakuuliza, 1.7% ndio useme asilimia 98 zote mbovu? Kiasi kwamba unawaambia watu eti waende aggrey wakanunue waone. Nilikuwa nina work Colleague anatumia hio iphone 4 sijawahi kumsikia hata siku moja akilalamika tatizo la antenna, na nishawahi kutumia simu yake kwa mawasiliano na sijapata hio hitilafu. Kwaio dont generalize things!
issue hapa ni kuwa cheap, samsung alikubali na fidia akalipa ila Apple mpaka leo hajakubali jibu lao siku zote ni moja you are using it wrongThen huwezi kufananisha tatizo la antenna na battery, Atleast antenna unaweza ukaweka phone case ukaendelea kutumia simu, how are you going to stop a ticking time bomb? Samsung couldnt figure out mpaka wameamua waifute kabisa.
so unakiri ni mjini? ukiwa katikati ya mji kila simu ni kiboko ya kushika network, ila unapopata challenge za uswahilini, nje ya mji, ukisafiri, mahala penye msongamano etc ndio unafahamu uwezo wa simu kuhandle signalMbona kuna watu wana full signal mjini kwenye iphones zao? Halafu isitoshe, signal nayo inategemea na mtandao wenyewe na location ulipo na pia how the software output it in represantation. Kuna some networks unapata good connectivitiy in some area na nyengine una struggle.
ingekuwa ni kitu kimoja mistake happens ila wana historia hio, niambie mkuu mfano bendgate unafikiri hawakufahamu? Apple walipelekwa mahakamani na Judge Koh akawaforce Apple wapeleke testing za iphone 6 kwenye kubend, zikapelekwa na zilionyesha iphone 6 ni mara 7.2 laini zaidi ya iphone 5s na ni likely kubend na kuvunjika, pamoja na Apple kulijua hili ila still wakaingiza sokoni hii simu.Halafu Chief, unajua maana ya kitu kibovu?
To them, they thought it was ready, but then it turned out it wasnt. Its simple, they didnt know how to do it. Au kuna shemu nimetetea kama walichofanya ni sawa kuwapoteza watu?
Unapoeleweshwa unasema mtu isheep.
mkuu mbona ushahidi nimeshakupa? kai os imekuja exactly purpose yake ni kama symbian na tayari imeshauzika sana Android si ipo? Ios si ipo inakuwaje still kai os inauzika? wote Jio na Nokia wameshaingia kwenye top 10 ya kampuni zinazouza simu nyingi zaidi.If symbian was to be succesful, there was no reason to discontinue it. Symbian ilikuwa ina miaka mingapi mpaka ilipokuja ios na Android? Hivi ulitegemea OS mpya kuanza tu ianze na market share kubwa? Hio market share ya Symbian imeanza kuliwa na Android na ios mpaka imekweisha, tena unataka kusema nini? Kabla ya iphone Nokia alikuwa anategeza simu na Apple walikuwa hawana simu? maana naona unasifia nonsense. Hivi unafikiri Android ilikuwa adopted na kila mtu kwenye market in a snap of a finger? kila kitu kinaanza from zero kwanza afu ndo kinapanda. Sasa wakati huo ofcourse market share ya Symbian ilikuwa kubwa kwa sababu ios na android walikuwa wachanga, lakini mwishowe? ELOP KAUWA SYMBIAN 😀😀😀 Kubali matokeo tu, Symbian couldnt survive with the change and they were too late to adopt.
na ndio exactly purpose ya Nokia, wanachofikiria wa Finland si wanachofikiria Mabepari, Nokia alijikita kutengeneza simu kwa next billions people ambao hawana hata uwezo wa ku afford simu, watu wengi sana duniani simu zao za kwanza ni Nokia Tochi,Si umetaka kujua what iPhone made better? Huujui ule msemo unaosema "It doesnt matter who does it first, its who does it better" and you wanted to know what Apple made better na nimekupa mifano 🙂
Sijui unakuwa unasahau nini unachoandika. Wewe una brag mauzo ya simu ya elfu 30 over simu ya milioni 2, unasema simu zimeuza sana. Halafu wewe mwenyeo Chief, umekuja na mfano wa dagaa na samaki wakubwa, kwamba dagaa wanaweza kuwa wanauza sana lakini si kwamba ni wazuri kuliko samaki wakubwa, naona unajicontradict mwenyewe. iPhones na samsung s series na note series ndio masamaki wakubwa, Nokia tochi, jio phone na other nokia phones ndio vidagaa, everyone can afford them but not everyone can afford papa.
samsung bado ni big player kwenye feature phone, kila kukicha anatoa simu mpya na samsung guru ni maarufu sanaSasa bro, mi nimekutolea mfano wa tecno spark 8 au sio, wewe una mfano wako wa simu ya elfu 70, feature phone. Ivi ni kweli hasa, tecno, simu ya laki 2 inajaribu kumuiba mtu wa feature phone ya elfu 70? apa nashindwa kukuelewa how. Halafu kitu kingine, who is making these lowend phones?
Not iphone, not samsung, not motorola that i know, nor sony katika big brands ambazo zinashughulika na lowend smartphones ambazo unaweza kuuza laki mpaka laki unusu.
Wanatengeza kina itel na tecno na wengine just to get money out of your pocket with worst experience.
touch screen technology Apple ameikuta kwenye simu, vitu kama kuscroll, multitouch etc nokia alishavigundua kabla na Apple kuja kucopy, Nokia ana simu za touch miaka kibao kabla ya hapo soma zaidi hapa kuhusu hio kesi.Si akohowe tena basi. hio user interface sijui kamuibia vipi Nokia, mana sijaona similarities kabisaaa! Kwaio Apple anategemea zaid? Kwa mfano hebu tupe kidogo tuone hio ziada ya Apple anayotegemea...
os za zamani za nokia zote tatu meego, maemo na Symbian zimeanzsiha vitu kama hiviEbu nambie kilichokuwa copied kwenye Symbian ili nikijue namie nikitizame.... Symbian sijui nini kimekopiwa.
Kwani kati ya matajiri na masikini wapi wanaongezeka kwa kasi?
Halafu mbona statistics zinaonesha otherwise na unachotwambia hapa? Yaani inaonekana kuwa Smartphones zinaendelea kununuliwa na zitaendelea kuwa juu tu.... By the way nikumbushe how we got into Feature phone vs smartphone part wakati the main topic is why Apple put low specs in their phone?
View attachment 911605
True chief.. Yani umetoa point hadi nmefurahi..Wireless sio better kushinda wired bali ni alternative tu. Kuna vitu vingi tu unamiss
1. Bandwidth ya bluetooth ni ndogo sana hata kusikiliza lossless audio ni tabu,bluetooth 5 inajitahidi ila still haifikii waya. Wewe kwako mziki ni mp3 ila kwa watu wanaopenda miziki wanatumia format zenye studio quality aka lossless audio, nyimbo moja ya dakika 3 ina mamia ya mb.
2. Kunapokuwa na muingiliano wa signal wireless reliability yake inashuka. Mfano upo bandari unasubiria boti ya kwenda zanzibar na mpo watu 50 wote mna bluetooth headphone ujue haitafanya kazi kama inavyotarajiwa
3. Wireless siku zote bei ghali.
Sikandii wireless isiwepo ila wireless iende sambamba na wired, kama wanataka simu nyembamba watumie earphone zenye pin ndogo, mfano kipindi cha zamani nokia walitumia hizi earphone.
Pia usb type c ni better kuhandle audio ila nayo port hio hio inatumika kuchajia hivyo nayo ina mapungufu yake.
Mtu anaenunua s9 ama note 9 hawezi afford iphone?Hata sisi tunaokaa uswahilini huku keko, tandale nk huwa tunasema wanaoishi masaki au oysterbay hawaenjoy kama sisi kwa vile hakuna vigodoro wala maskani za kuwapigia psii psii wadada wanaopita, ila bado ukweli upo palepale, hakuna asiyetamani kuishi masaki..... Wanaopnda iphone aslimia 99 wanatamani kumiliki iphone, sema tu kale kamsemo ka wahenga kuwa ni MANENO YA MKOSAJI ndio kanawapa maneno lukuki against iphone....
We are speaking about Software optimization in General, it doesnt matter when, IOS has been leading in this section and still leading. Wewe unadai kuwa eti imeshindwa kwenye their own game. Halafu iphone X imetoka September while S9 imetoka February, nikuulize Chief, miezi mitano sio mingi kwa Sam kuimprove their chip over the A11? Huu mjadala umeanzishwa Sept 9 2018 na mtoa mada amezungumzia inakuaje Apple anaweka spec ndogo. Tena vipi unasema kuwa hatuwezi kuzungumzia A12? linapokuja suala la Apple hutaki tuzungumzie latest device, ila kwenye Samsung ndio unataka tuongelee latest device?hebu tuwekane sawa mkuu,
-wapi tumeogelea A12? huu uzi umeanzishwa tarehe 9 september 2018 na A12 na iphone mpya zimetoka tarehe 12 mwezi wa 9 2018, siku 3 baadae na mijadala yetu yote ya nyuma haina mahusiano yoyote na simu mpya za iphone ilihusisha iphone X na s9, naona umeshindwa kujadili simu husika unahamisha magoli kwenye A12?
Mkuu, naamini umeelewa nlipo size, sijazungumzia Screen size, naongelea Storage size. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini mzazi anaenda kumtoa kafara mwanawae> au hata wengine kuwatoa kafara mama zao?na size ya video kitaalamu inajulikana ukishasema 4k tayari hio ni size unless imekuwa compressed. 4k inamaanisha hio video kiupana itakuwa na pixel 4000 au approximately hio value. wakichukua clip ya 4k kwenye simu zote mbili hio ni fair comparison, na aliefanya ni fan mkubwa wa apple duniani why aweke bias kwenye brand yake anayoipenda.
Kwaio, ukiwa na 1 GB of ram wakati unafanya video editing itakuwa sawa na ukiwa na 4gb of rams? utapata same perfomance?as i told you before, soc ya apple ina nguvu sana tena sana kushinda exynos, ndio maana ukaona hata huyo fan wa Apple alikuwa suprised sana kuona simu yenye nguvu ndogo ikiishinda yenye nguvu kubwa, kwenye kurender hio video ni custom chip ndio zinasaidi, ram inakuja kusaidia kwenye multitasking na mambo mengine kama emulation.
Just accept it, IOS is way better optimized than Android... this is well known Fact. And i am speaking about any version of ios!out of topic, nimeshakujibu juu.
Yanini maneno mengi? Lete wewe basi tuone hio video yenye fair comparison. Naona hujaleta bado video.wapi nimesema watu hawapigi hela youtube ama chanell zote za youtube ni ndogo? nitakuelezea mara ya mwisho kiurefu, pengine sitazungumzia tena suala la games maana unaonekana hujikiti kwenye technical badala yake unataka tubishane kwenye vitu visivyo na maana.
vioo vyote duniani vimetengenezwa na pixel, kuna pixel za upana na urefu.
1. kioo cha s9 kina resolution ya QHD
1440 x 2960 hivyo hapo unapata jumla ya pixel 4262400
2. kioo cha iphone x kina resolution ya
1125 x 2436 hivyo hapa unapata jumla ya pixel 2740500
unapolaunch application ama game kwa native resolution lina scale kwenye hizo pixel,
ukifanya simple math 4.2m pixel kutoa 2.7m pixel utapata utofauti wa kama 1.5m pixel
hivyo ninavyofungua game kwenye s9 automatic gpu yake inaprocess more pixel kuliko ya iphone, hivyo same gpu inakuwa slow kwenye s9 kuliko iphone x hivyo ndio hapo unapokuja umuhimu wa game setting kwenye comparison
ukikuta proffesional yoyote yule anaereview games kitu cha kwanza ni kukuonyesha setting gani zimetumika, sababu ni rahisi mtu akaset game lirun kwa resolution ya 800x480 na kisha kujisifu kifaa fulani kinarun games faster.
hivyo huwezi niletea video za uchochoroni hizo hazioneshi chochote nikakuamini.
Hata Samsung inakulazimisha ama uchague ya 6GB au 8Gb, kupewa maamuzi ni kuachiliwa ukawa na uwezo mwenyewe kuongeza ama kupunguza ram. Kwa mfano, MAJORITY OF USERS wa Smartphone, they dont even need 4GB of rams. Wao ni social media tu, nothing productive, atleast kwa most of people ninaowaona, utawakuta Whatsapp, insta, snapchat... If they wanted to give a choice, give the users capability of adding or removing them. Kwenye hili Suala kampuni zote they choose what they want you to have.choice kwa maana amepewa mteja, sokoni, unaamua mwenyewe ununue ya 8gb ama 6gb, as long as ipo ya 8gb mtu akinunua ya 6gb ametaka mwenyewe.
ila kwa iphone choice inafanywa na wao Apple, mteja huna maamuzi ya kununua iphone ya 8gb, unanunua ile iliyopo ya 4gb.
i sheep haina mahusiano yoyote na simu unazomiliki, kuna isheep hata uwezo wa kumiliki simu hawana, isheep ni ile hali ya kuamini kila anachofanya Apple ni sahihi kiwe kibaya ama kizuri, kifupi watu wanaoswagwa.
Thibitisha kama kisa bei ndio ugomvi wao.... usitudangnaye.... Vita ya Apple na Qualcomm, sio suala la bei, ivi mi nkuulize Chief, yaani sometime inabidi nicheke. Yaani niende dukani kununua kitu najua kabisa kama anauza $2 wakati kuna mwenzake anauza $1 halafu eti nigombane nae? Why fight while you can simply just go and buy the other one? You are driven with hatred on Apple products maskini. Watu wana ugomvi mwengine wewe unajidai wamegombana kisa bei 😀.hapo unadandia katikati chanzo cha ugomvi ni nini? Apple alisema Qualcomm anamcharge hela nyingi, hapo ndio walipokosana, hivyo kusave dola 1 ama 2 akaachana na Qualcomm na kwenda intel, na effect yake ndio hio simu za Iphone kupitwa vibaya vibaya na Android kwenye speed.
nikuulize wewe sababu ya dola 1 ama 2 iphone ana sacrifice speed ya lte kwa simu ambazo anauza dola 1000 ni sawa? si ndo anawaona nyie kama kondoo tu ikiwa na speed mtanunua ikiwa haina speed mtanunua?
so unakiri ni mjini? ukiwa katikati ya mji kila simu ni kiboko ya kushika network, ila unapopata challenge za uswahilini, nje ya mji, ukisafiri, mahala penye msongamano etc ndio unafahamu uwezo wa simu kuhandle signal
issue hapa ni kuwa cheap, samsung alikubali na fidia akalipa ila Apple mpaka leo hajakubali jibu lao siku zote ni moja you are using it wrong
mkuu mbona ushahidi nimeshakupa? kai os imekuja exactly purpose yake ni kama symbian na tayari imeshauzika sana Android si ipo? Ios si ipo inakuwaje still kai os inauzika? wote Jio na Nokia wameshaingia kwenye top 10 ya kampuni zinazouza simu nyingi zaidi.
Ivi Nokia atatengeza simu yenye production cost ya $400 halafu aje auze $450? Unaongea Nonsense kabisa ndugu yangu.na ndio exactly purpose ya Nokia, wanachofikiria wa Finland si wanachofikiria Mabepari, Nokia alijikita kutengeneza simu kwa next billions people ambao hawana hata uwezo wa ku afford simu, watu wengi sana duniani simu zao za kwanza ni Nokia Tochi,
And what OS is it using?samsung bado ni big player kwenye feature phone, kila kukicha anatoa simu mpya na samsung guru ni maarufu sana
SHouldnt HMD use KAI OS instead of Android in their phones? Why keep using Android wakati unaweza kutumia Kai au sio?pia hii kai os tayari ina big players wanashiriki kama vile
-HMD (Nokia)
-JIO
-Alcatel (TCL)
touch screen technology Apple ameikuta kwenye simu, vitu kama kuscroll, multitouch etc nokia alishavigundua kabla na Apple kuja kucopy, Nokia ana simu za touch miaka kibao kabla ya hapo soma zaidi hapa kuhusu hio kesi.
Apple to pay Nokia big settlement plus royalties in patent dispute
kwa lugha yetu forecast ni utabiri, hilo ni graph mwaka 2008 mtu alitabiri mauzo ya feature phone yatakuwaje hadi 2020, sasa unatuwekea utabiri wa kazi gani? tena wa 2008, data za sasa hakuna hadi ueke utabiri?
Mkuu hii ni reply yangu ya mwisho sidhani kama nitakujibu tena kwenye huu uzi maana umeshapoteza muelekeo. naiweka tena video yangu ya mwanzo baina ya iphone x na s9 mjadala wangu wote ulianzia hapa na wewe ulikuwa unaijibu hii video. kama unataka benchmark na optimization za A12 tafadhali fungua uzi mpya nitakujaWe are speaking about Software optimization in General, it doesnt matter when, IOS has been leading in this section and still leading. Wewe unadai kuwa eti imeshindwa kwenye their own game. Halafu iphone X imetoka September while S9 imetoka February, nikuulize Chief, miezi mitano sio mingi kwa Sam kuimprove their chip over the A11? Huu mjadala umeanzishwa Sept 9 2018 na mtoa mada amezungumzia inakuaje Apple anaweka spec ndogo. Tena vipi unasema kuwa hatuwezi kuzungumzia A12? linapokuja suala la Apple hutaki tuzungumzie latest device, ila kwenye Samsung ndio unataka tuongelee latest device?
kama kitu hujui uliza usikurupuke kujibu, mtu akisema 4k video hamaanishi size ya display za simu bali anamaanisha ukubwa wa video, zote samsung galaxies na iphone hakuna hata moja yenye kioo cha 4k, bali camera zake zinachukua video za 4k,Mkuu, naamini umeelewa nlipo size, sijazungumzia Screen size, naongelea Storage size. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini mzazi anaenda kumtoa kafara mwanawae> au hata wengine kuwatoa kafara mama zao?
kati ya hiyo iphone na samsung ipi yenye 1gb ram?Kwaio, ukiwa na 1 GB of ram wakati unafanya video editing itakuwa sawa na ukiwa na 4gb of rams? utapata same perfomance?
in your dreams ndio ios ni more optimised, ila kwenye hio video ya ushahidi niliyoleta ambayo inatoka kwa fans mwenzako wa Apple s9 ipo more optimized kuliko ios.Just accept it, IOS is way better optimized than Android... this is well known Fact. And i am speaking about any version of ios!
kwa youtube sijaiona, yenye hilo game, ningeiona ningeshaieka hapa,Yanini maneno mengi? Lete wewe basi tuone hio video yenye fair comparison. Naona hujaleta bado video.
ndio samsung kakuchagulia option 2 uchague moja ila Apple anakupa option moja tu.Hata Samsung inakulazimisha ama uchague ya 6GB au 8Gb, kupewa maamuzi ni kuachiliwa ukawa na uwezo mwenyewe kuongeza ama kupunguza ram. Kwa mfano, MAJORITY OF USERS wa Smartphone, they dont even need 4GB of rams. Wao ni social media tu, nothing productive, atleast kwa most of people ninaowaona, utawakuta Whatsapp, insta, snapchat... If they wanted to give a choice, give the users capability of adding or removing them. Kwenye hili Suala kampuni zote they choose what they want you to have.
iphone 4 inarun nini? safari? maana whatsapp, insta, fb na app karibia zote ninazozijua hazifanyi kazi kwenye iphone 4For an Apple device, you dont need 8GB of rams, the OS works just fine with what it partnered with. When you need 8GB of rams, they will give it to you. Unajua kama iphone 4 with 512mb of rams ina run much smoother than most modern Android phones with 1GB of ram
mkuu nimeshakupa definition ya isheep, unabisha nini sasa? sijatunga mimi hio definition wala hujatunga wewe ni neno lipo duniani unachobisha sijui ni niniYou can buy iphone 4 kwa around laki unusu, then are you going to call an android user with a phone of 200,000 an isheep?
Mtu hujawahi kumiliki iphone, you dont know how it feels and you have never experienced it, how can you be an isheep?
ushahidi huu hapa hii ni part ya article toka bloombergThibitisha kama kisa bei ndio ugomvi wao.... usitudangnaye.... Vita ya Apple na Qualcomm, sio suala la bei, ivi mi nkuulize Chief, yaani sometime inabidi nicheke. Yaani niende dukani kununua kitu najua kabisa kama anauza $2 wakati kuna mwenzake anauza $1 halafu eti nigombane nae? Why fight while you can simply just go and buy the other one? You are driven with hatred on Apple products maskini. Watu wana ugomvi mwengine wewe unajidai wamegombana kisa bei 😀.
display? hicho ni kitu ambacho mteja wa kawaida anakiona kwa macho hata Ntundufye kule mbeya anajua display hii nzuri na hii sio nzuri akiangalia kwa macho, what about modem? very few wanajua modem, wachache watatofautisha lte advance na gigabit lte etc. unajua kama Apple anazifungia kampuni zinazotaja specs zake za ndani? mfano ifixitSasa kama ni hivo, Apple kwanini asiwaambie Mediatek wamtengezee tu chips badala yake anakwenda kwa ARM? Apple kwanini asitafute another cheap Display manufacturer lakini amekaa na za Samsung? Kwanini Apple afikirie Intel chips na Samsung chips if Apple is going for cheap and low quality products? Usidanganye umma kwa story zako....
yani kampuni inajua kabisa simu zetu zinajikunja na kuharibika badala ya kuzifix wanazitoa hivyo hivyo unawatetea na kusema ni design flaw kweli? na inafanana vipi na dstv? mfano wake ni kama dstv watengeneze madishi katika kiungio waweke material laini ukifunga dishi linakatika, pamoja na dstv kujua hilo ila still wanatengeneza hayo madishi na kuyauza. iphone 6 kwenye mfuko wa suruali ilikuwa inapindaHow is it cheap and not design flaw? apa ndipo unaponishangaza hasa. Hebu tueleweshe how is it cheap ikiwa ukiiziba antenna hupati network? kwa mfano kama DSTV dish, ikikaa upande unakosa signal, sasa ikitokea hilo utasema ni cheap product au utasema ni setup error?
you dont get the point, kumiliki feature phone ni kwamba huna uwezo wa kumiliki smartphone? mimi nina Nokia 8110 banana phone na smartphone kibao, ila still hio ni simu yangu almost kila sehemu ninayoMy GOSH!!! Ios ipo kwenye Feature phones? Kai OS ipo kwenye smartphones? Usifananishe mauzo ya simu ya milioni 2 na ile ya elfu 70, wengi wanaweza kumiliki ya elfu 70 lakini wengi hawawezi kumiliki ya milioni 2. Ningekuwa na uwezo, ningenunua aidha iphone X au S9 na hio jio phone, halafu twende mbali tumpe mtu choice ya kumiliki simu bure, wachague ipi ya kutumia ndio utaelewa labda.
its not about faida ama simu ya elfu 30, hio ni mifano tu, hebu fikiria hivi,Ivi Nokia atatengeza simu yenye production cost ya $400 halafu aje auze $450? Unaongea Nonsense kabisa ndugu yangu.
Eti kwa sababu nokia katengeza simu ya elfu 30 kina sam na apple wanatengeza za milioni imekuwa wenzao mabepari nokia wanaojali watu. Duh! we sijui ni mtu wa aina gani kwenye mausala ya Tech na Biashara. Yaani Mercedez benz anaitwa bepari kwa sababu toyota anatengeza IST ya milioni 7? Jaribu kujua Market ipi Nokia ana target na hao unaowaitia mabepari wanatarget ipi. Nionesshe High end phone with high price production cost halafu Nokia wakaeka faida dola 50.
kwanini zitumie os moja? na kila moja imelenga soko lake?And what OS is it using?
SHouldnt HMD use KAI OS instead of Android in their phones? Why keep using Android wakati unaweza kutumia Kai au sio?
si maneno yangu ni ya judge koh mahakamani unajua hio kesi ilienda mahakama kibao na zote Nokia alimshinda Apple? so kama mahakama za ulaya na marekani zote ziliona kwamba Apple alimcopy Nokia na akaambiwa alipe $8 kwa kila iphone pamoja na 1 time payment ya zaidi ya trilioni moja, na Apple wenyewe wakakubali wewe ni nani kukataa uamuzi wa mahakama?Kama kawaida yako trying to depict Nokia as the Mother of all phones 😀
Touchscreen Technology - HP-150 IBM simon Au manufacturer alikuwa Nokia kwanza Apple akaiga kwa Nokia?
Multi touch - InventHelp News - Who Invented Multitouch?
Unaambiwa Apple ilikuwa ina prototype ya touchscreen landline phone mwaka 1983, Chief Mkwawa anasema Apple amecopy kwa Nokia kuwa na touch screen baada ya kuiona Nokia 7710 ya 2004 😀😀 Anasema Nokia alikuwa na simu za touchscreen long way before Apple. Pamoja na kuonesha kuwa Nokia isnt the mother of mobile phones as chief wants us to believe, ni kwamba hizo tech anazoongelea Chief zilikuwepo way before Nokia. So huwezi kusema kuwa Apple copied Nokia kuwa na touchscreen, ama multi touch ama scroll. Hizo vitu vilikuwepo kabla ya nokia kuwa navyo, na Apple amecheza navyo zamani.
By the way, first iPhone came out 2007.....
again data zako outdated, huna source ya 2018? ngoja nikusaidie
Asee nimefuatilia hii debate yenu na Chilubi et al., nimejifunza sana. Nilichopenda zaidi ni kuwa, wote wawili mna ufahamu wa kina katika smartphone industry na its "nuts and bolts". Hamjibizani ile "kiswazi". Hiyo ndo inavyotakiwa sasa, hata kwa mtu ambaye alikuwa hajui sasa ataondoka katika uzi huu akijua hata 4k Res ni nini, vihistoria vya hapa na pale, na zaidi ya yote mnapeana vyanzo vya taarifa zenu/point zenu katika majibizano.Mkuu hii ni reply yangu ya mwisho sidhani kama nitakujibu tena kwenye huu uzi maana umeshapoteza muelekeo. naiweka tena video yangu ya mwanzo baina ya iphone x na s9 mjadala wangu wote ulianzia hapa na wewe ulikuwa unaijibu hii video. kama unataka benchmark na optimization za A12 tafadhali fungua uzi mpya nitakuja
huyo ni fan wa Apple mkubwa tu amekiri mwenyewe on day to day s9 ilikuwa ni faster kuliko iphone x
kama kitu hujui uliza usikurupuke kujibu, mtu akisema 4k video hamaanishi size ya display za simu bali anamaanisha ukubwa wa video, zote samsung galaxies na iphone hakuna hata moja yenye kioo cha 4k, bali camera zake zinachukua video za 4k,
hivyo mtu akisema anaconvert 4k video anamaanisha anaconvert video yenye 4096x2160 pixels, unless hio video ipo compressed kwa codecs fulani tunategemea hata size iwe sawa kwa mazingira na muda mmoja.
kati ya hiyo iphone na samsung ipi yenye 1gb ram?
in your dreams ndio ios ni more optimised, ila kwenye hio video ya ushahidi niliyoleta ambayo inatoka kwa fans mwenzako wa Apple s9 ipo more optimized kuliko ios.
kwa youtube sijaiona, yenye hilo game, ningeiona ningeshaieka hapa,
ndio samsung kakuchagulia option 2 uchague moja ila Apple anakupa option moja tu.
kipindi cha iphone 5s mulitumabia mtu hahitaji zaidi ya 1gb ya ram, leo hii iphone 5s si kichaka tu cha lags?
why ios 11.1 make my iphone 5s become lag… - Apple Community
Heating/Lagging issue in iPhone 5S after … - Apple Community
ios 11 update lags iphone 5s - Apple Community
ingekuwa na ram 2gb ama 3gb kama simu za kipindi hicho then leo ingekuwa atleast usable,
sasa hivi jipe moyo na 4gb yako ios 16 ikitoka linakuwa kopo,
iphone 4 inarun nini? safari? maana whatsapp, insta, fb na app karibia zote ninazozijua hazifanyi kazi kwenye iphone 4
mkuu nimeshakupa definition ya isheep, unabisha nini sasa? sijatunga mimi hio definition wala hujatunga wewe ni neno lipo duniani unachobisha sijui ni nini
A follower of the Apple cult regardless of the usefulness or real worth of the product. Believes with without question the cult propaganda which installs the almost mythological belief that what they have just bought is the fastest or most user friendly product ever, only to be re-sold the same product, with a few minor tweaks, a few months later with the same rhetoric and complete disregard for reality. Easily mislead by their own egos and think they are being unique and innovative. Often wrong but convinced they are correct.
hio ndio definition ya isheep, unahitaji tu kuwa follower, huhitaji kumiliki. kuna wahindi maskini kibao nenda gsmarena kule utawakuta hawajawahi hata kumiliki hizo iphone ila huwaambii kitu kuhusu Apple.
ushahidi huu hapa hii ni part ya article toka bloomberg
Sewell, who spoke to Bloomberg Businessweek in August, two weeks before the big iPhone launch, was able to lay out the company’s thinking. As Apple sees it, a cell phone modem is one of many components—and of no special significance. Sewell points out that if your cellular network is down, it’s possible to get online using Wi-Fi, which uses a different chip. Moreover, phones aren’t just phones anymore; they’re also navigational tools, digital wallets, health monitors, cameras, and more. All of those functions work with or without cell service. “Cellular connectivity is important,” he says, “but it’s not as important as it used to be.” On another table behind Sewell, an Apple representative has laid out two versions of the iPhone 7: One model, which has 128 gigabytes of memory was sold by Apple for $750. The other, which has 256 GB, sold for $100 more. How is it fair, Apple asks, for Qualcomm to charge as much as $5 more for the technology in the more expensive phone, given that the two devices are otherwise identical?
Starting in 2015, Apple argued that it should pay patent royalties to Qualcomm based on the price of the modem rather than the price of the phone, which would imply a much lower figure. Sewell says Apple believes it shouldn’t have to pay more than $4 or so per device, 60 percent less than what it was paying Qualcomm after rebates, according to analyst estimates. Qualcomm, not surprisingly, refused.
soma full article hapa
Bloomberg - Are you a robot?
huyo ni mfanyakazi wa Apple anawaambia bloomberg, endelea kubishana na kulitukuza jina lako la isheep
display? hicho ni kitu ambacho mteja wa kawaida anakiona kwa macho hata Ntundufye kule mbeya anajua display hii nzuri na hii sio nzuri akiangalia kwa macho, what about modem? very few wanajua modem, wachache watatofautisha lte advance na gigabit lte etc. unajua kama Apple anazifungia kampuni zinazotaja specs zake za ndani? mfano ifixit
yani kampuni inajua kabisa simu zetu zinajikunja na kuharibika badala ya kuzifix wanazitoa hivyo hivyo unawatetea na kusema ni design flaw kweli? na inafanana vipi na dstv? mfano wake ni kama dstv watengeneze madishi katika kiungio waweke material laini ukifunga dishi linakatika, pamoja na dstv kujua hilo ila still wanatengeneza hayo madishi na kuyauza. iphone 6 kwenye mfuko wa suruali ilikuwa inapinda
![]()
you dont get the point, kumiliki feature phone ni kwamba huna uwezo wa kumiliki smartphone? mimi nina Nokia 8110 banana phone na smartphone kibao, ila still hio ni simu yangu almost kila sehemu ninayo
- matumizi yote ya kitochi nafanya humo kama kupiga simu, sms etc chaji siku kadhaa inakaa tofauti na smartphone
-ndio router yangu maana in 4g
-hot swapable sim, muda wote, sina haja kuweka line hadi nitafute pini.
-durable, sina haja ya kuogopa kioo kuvunjika ama kudondoka etc
watu wengi wanamiliki smartphone na feature phone kwa pembeni
its not about faida ama simu ya elfu 30, hio ni mifano tu, hebu fikiria hivi,
kati ya Apple, Nokia na Samsung nani ana hela zaidi? si Apple na Samsung? kwanini kila siku wana licence technology za Nokia? utaona hawa ni mabepari tu they only care about profit na hawana passion ya kitu wanachofanya nitakupa mifano kadhaa.
-kipindi Nokia ni top, iligundulika kwamba almost simu zote zinatumia colbat toka congo na Nokia akaandamwa sana yeye kama top manufacture, kurespond Nokia akaacha kutumia hayo material, akaunda na foundation za kusaidia waathirika, mpaka simu za mwisho za Nokia kama lumia series zilikuwa ni free from congo, zimetengenezwa na recycled material na pia zilishinda tuzo nyingi sana za mazingira,
sasa hivi wanaouza simu nyingi si Apple na Samsung? wanajua fika simu zao zimejaa damu za wacongo, ila they dont care, sana sana watakujibu tunafuatilia,
Apple unable to confirm if products contain 'conflict minerals' produced at facilities linked to armed groups | Metro News
http://www.latimes.com/opinion/op-ed/la-oe-merchant-iphone-supplychain-20170723-story.html
-mfano wa pili NFC, kipindi Kina Nokia wanahangaika kutafuta alternative ya bluetooth kwa technology isiyohitaji kupair wao walikuwa pembeni tu ila baada ya technology kukamilika wao ni vimbele mbele wa kutangaza Apple pay na samsung pay
- same kwa technology kama HEVC
-kwenye wireless charging walikuwa wanamuwekea mizengwe ya kila aina Nokia hadi lumia zilizokuwa zinauzwa AT&T ziliambuiwa siziwe na wireless charging kupunguza umaarufu wake sababu Apple alikuwa na mpango na yeye kuanzisha standard yake,
mifano ipo mingi sana ya hao jamaa,
kwanini zitumie os moja? na kila moja imelenga soko lake?
si maneno yangu ni ya judge koh mahakamani unajua hio kesi ilienda mahakama kibao na zote Nokia alimshinda Apple? so kama mahakama za ulaya na marekani zote ziliona kwamba Apple alimcopy Nokia na akaambiwa alipe $8 kwa kila iphone pamoja na 1 time payment ya zaidi ya trilioni moja, na Apple wenyewe wakakubali wewe ni nani kukataa uamuzi wa mahakama?
ili nisikuite tena isheep, naomba upeleke huo ushahidi mahakamani kamwambie judge Koh hajui kitu wewe unafahamu zaidi Apple haku copy.
again data zako outdated, huna source ya 2018? ngoja nikusaidie
http://fortune.com
Why Feature Phone Sales Are Suddenly Growing Faster Than Smartphones
Hizo benchmarks zina mapungufu mengi sana mkuu hasa huu ulimwengu wetu wa sasa, kama unazitumia zikupe tu rough idea ya perfomance,Asee nimefuatilia hii debate yenu na Chilubi et al., nimejifunza sana. Nilichopenda zaidi ni kuwa, wote wawili mna ufahamu wa kina katika smartphone industry na its "nuts and bolts". Hamjibizani ile "kiswazi". Hiyo ndo inavyotakiwa sasa, hata kwa mtu ambaye alikuwa hajui sasa ataondoka katika uzi huu akijua hata 4k Res ni nini, vihistoria vya hapa na pale, na zaidi ya yote mnapeana vyanzo vya taarifa zenu/point zenu katika majibizano.
To that point,... Chief Mkwawa and Chilubi... Hats off to you, fellas!
Knowing the tech geeks and buffs you 2 are, I can vouchsafe that you know what you speak and you have faith in the device you own!
Bros, not to get you outta the topic, but I'd like for any of you 2...
to tell me the validity or accuracy of using benchmarks such as Antutu, Geekbench, etc. in comparing the efficiency (or speeds, as most of us like to call it so) between iOS-ran iPhones and Android-powered devices (even when we all know they are 2 different OS's).
How much does the results of these benchmarks reflect the reality between these two worlds?
Thanks.