GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu.
Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado hawajarudi na hatujawaona (hawajafa) tena hapa Kijijini kwetu ila hatuna wasiwasi nao kwani huenda Maji ya Mafuriko ya Mvua Kubwa hiyo yakikauka tu watarejea na kuendelea kuwa nao pamoja katika Ujenzi wa Taifa letu na kulinda vyema pia na mipaka yetu.
Otherwise kwa sasa GENTAMYCINE ngoja niangalie wa kumuazima nguo nyeusi ili nivae na kuanzia saa 6 kamili mchana nianze kuhudhuria misiba kama mitatu minne hivi hapa hapa kijijini Morogoro nilipo.
Rest In Peace marehemu wote. Tanzania nzima watafichwa watu wengi kwa yanayotokea au yaliyotokea, ila siyo kwa GENTAMYCINE.