CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Waarabu walikuwa watu wa kwanza kufika pwani ya afrika mashariki hawakujihangaisha na kujenga shule,wazungu walikuja baadae wakajenga makanisa na shule,sasa ulitaka nini kama mabwana zenu waliishia kuwaoa na kuwasilimisha bila kuwapa elimu wala kuwajengea shule?Tatizo mmelishwa sumu na mashehe wenu makanjanja kwa hiyo mnaongea kwa hisia tu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hizo shule walizojenga wazungu na kuzikabidhi kwa kanisa walijenga kwa pesa yao au mali zetu walizokuwa wanatuibia? Kwanini mali zetu watanganyika zitumike kuwajengea wakristo shule na si kuwajengea watanganyika?