Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,933
- 1,179
kha...!!agakhan iko chini ya ismailia muslim it doesnt matter wawe ni wamasai ama wahindi.
....ilikuwa inaitwaje???? Mbona hunijibu hilo?
kha...!!agakhan iko chini ya ismailia muslim it doesnt matter wawe ni wamasai ama wahindi.
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
agakhani haikuwa moja,kwaharaka zanzibar,dar,mwanza zilikuwepo.zikiitwa hivyohivyo.shule za taasisi zingine za kiislamu pia zilikuwepo sema nadhani bakwata ya nyerere ilichoma document ndo maana list inatoka kwa tabu.....ilikuwa inaitwaje???? Mbona hunijibu hilo?
Zipo zilizokua za makanisa mengine kama Njombe Secondary (NJOSS) ilikua ya LutheranHakuna taasisi ya dini ilitoa shule kwa Serikali wakati wa Azimio la Arusha kama Katoliki haipo kama ipo naomba nielimishwe.
mkuu mimi nimekuwekea hadi speech ya mwaka 57 ya mipango na michakato ya waislamu kujenga mashule japo hawakufika mbali ajili ya mizengwe hadi wakavunjiwa jumuia yao .sasa hebu nawe tuwekee japo mchakato wa kujenga shule mbili tu za mission kabla ya uhuru kama hatujakuta funding ya serikali ya kikoloni.
MULUGO,MULUGO Umetuachia majanga,ona sasa,sijui alisomea KENYA huyu?Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
sidhani kuwa mwaka 57 zanzibar hakukua na maendeleo hata kwa kulinganisha tu na dar.anyway nitafanya research.Hapa kuna tatizo la ule ugonjwa wa Afrika: "Mbaazi zikikosa mazao ..." Nchini, kanda ya kusini na magharibi wamejenga dhana kuwa kaskazini inapendelewa katika maendeleo, ila hawalalamiki kuwa Dsm inakula kuliko kanda hii mara 10.
Niambieni maendeleo ya Znz ambako 1957 Nyerere na "wakristu" hawaku na dola, je UMMA ulipiga hatua ngapi kuelekea huduma bora za jamii? Hospitali, skuli na Vyuo vya elimu dunia?
"Mtizamo!"
Kaskazini wamewekeza ktk mtizamo wa maendeleo, wanakuja Dsm na kwingine kujua lipi jipya wakafanye.
Wakristu wamejenga mtizamo hivyo, mie siyo nabii ila miaka 20 ijayo Tz best versity, hospital, hotel, bank zitakuwa ni zao.
mkuu mimi nimekuwekea hadi speech ya mwaka 57 ya mipango na michakato ya waislamu kujenga mashule japo hawakufika mbali ajili ya mizengwe hadi wakavunjiwa jumuia yao .sasa hebu nawe tuwekee japo mchakato wa kujenga shule mbili tu za mission kabla ya uhuru kama hatujakuta funding ya serikali ya kikoloni.
Alie mteuwa dr salim kuwa waziri mkuu ni nani? Pia alie mpa kawawa uwaziri mkuu ni nani? Kama alikuwa mdini hao walitoka wapi? Pia alie mpisha kiti mwinyi akae ni nani pale ikulu? Nyerere alikuwa na uwezo wa kumrithisha urais mkiristo mwenzie, ila alitaka fair ndio maana akampa alhaji. Tuwe na kauli nzuri,mbona mkapa anatajwa kwa mafisadi? Ni muislam? Mbona lowassa alisakamwa hadi akatoka ni muislam? Acheni kumnanga nyerere alikuwa bora kuliko wote watatu walio mfuatia, hakuuza nchi kama wanavyo fanya hawa viongozi wetu. Unahakika kuwa hakuzitaifisha shule za katoriki? Ihungo sekondari na Rugambwa zilikuwa za kwenu? Fanya utafiti sio kukaririshwa huko unakuja kuropoka. Tabora boys ilikuwa yako? Pugu je?
ok mkuu,nami sichoki kukuhakikishia na kwa bahati nimeinasa history ya tanganyika kama from A to Z kama walivyoandika waingereza wenyewe.hakuna longolongo wala nini.wewe nimekueleza fundings za kujenga shule za mission na makanisa hazikutoka kwa serikali ya kikoloni! lakini naona hutaki kuelewa! feza hizo zilikuwa zinatoka Italy na nchi nyingine za ulaya through shirika husika la dini either ni Benedicts, holy father's, Franciscan, convert za masister nk! but hutaki kuelewa! hayo mambo yenu ya 57 sio tunayoyajadili kwa hii thread, kama unataka tujadili hilo fungua thread yako, tutachangua humo na kukujibu hoja kwa hoja!
nikuulize suali mkuu,hivi unajua wayahudi wanasema nabii wako yuko wapi saa hii?kama hujui kasome Talmud.mm ninaona mtoa mada ni alkaida au talebani au muslim brotherhood au seleka pumbafu sanaaa mjinga kweli mtoa mada nenda fanya kazi yako ya kishuuzi ya kumsaliia limtume lako.lkn liko motoni linachomwa huko kwa kuanzisha janga hili la kimataifa (uislamu)duniani hapa. i hate you.
miaka ya 1966 east africa muslim welfare society kwa Tanzania walipata ofa ya kujengewa chuo kikuu na serikali ya misri.kipindi hicho Tewa ndo alikua kiongozi wa jumuia kwa Tanzania.na alikua anafaatilia kwa karibu michakato,Nyerere hajampa transfer akawa balozi wa china ili kudiscourage.bibi Titi akakamata madaraka lakini vikwazo vikawa vingi ili kukwamisha ofa hiyo.isitoshe kipindi hicho viöngozi wa kiislamu walikua wanahusishwa na maasi ya jeshi ya mwaka 64 kwahiyo kamatakamata ilikua inaendelea.ilibidi Tewa na Titi wamuone Nyerere na kumlalamikia kwa mambo yalivyokua yanaenda.pesa zilitoka ulaya kwenye parish/convert/shirika husika .kama wewe ni mkatoliki au wajua kidogo kuhusu ukatoliki shule kama pugu was under Franciscan kwa hivo pesa zilitoka ulaya Itali kwa waumini wa huko!
mfano mkuu sasa hivi kuna Compassion Africa ambao wanajenga shule na kusomesha poor children mpaka chuo kikuu, hawa wanakutafutia mfadhili ulaya na America wanakusomesha je utasema ni serikali yako inalipa? na hawa compassion wapo hata leo! swali lingine mkuu?