Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
mm ninafikiri mtu hapa hangaliii historia jinsi ilivyo na jinsi ilivyokuwa.mf km wangekuwa warabu wasingesaidia shule za watu wake?----- je mbona qatar ni nchi inayofadhili waasi kule sirya ambao wanawaua wakristo kule homs!!!!!!! wao walitoa pesa za biashara na kujenga madrasa lkn waingereza walitoa msaada kwenye mashuleeee. km wangekuwa waaarabu wangefanya hivyo lkn kwasababu hawana akili mijinga mpka mwisho wa dunia? walieneza uvundo wao na kuacha kizazi chenye laaana huku watu walalamikaji tuuuuuu muda wote!!! pumbafu!!! waislamu wanajionaga wao safiiiiiiiiiiii hawana dosariiii kumbe mishetani tu. kenge.
hahahaha,ndugu yako kamanda alikua anakataa kwamba wakoloni hawajatoa pesa,ikanibidi nizame mtandaoni kutafuta evidence.
 
Mbona Waarabu walikuwa hapa kabla ya wazungu name hawakujenga hayo mashule?
 
miaka ya 1966 east africa muslim welfare society kwa Tanzania walipata ofa ya kujengewa chuo kikuu na serikali ya misri.kipindi hicho Tewa ndo alikua kiongozi wa jumuia kwa Tanzania.na alikua anafaatilia kwa karibu michakato,Nyerere hajampa transfer akawa balozi wa china ili kudiscourage.bibi Titi akakamata madaraka lakini vikwazo vikawa vingi ili kukwamisha ofa hiyo.isitoshe kipindi hicho viöngozi wa kiislamu walikua wanahusishwa na maasi ya jeshi ya mwaka 64 kwahiyo kamatakamata ilikua inaendelea.ilibidi Tewa na Titi wamuone Nyerere na kumlalamikia kwa mambo yalivyokua yanaenda.

Nyerere akawa mkali akawambia,''nyinyi si mmeamua kutangaza vita na mimi,basi kaeni tayari''.
Toka hapo,zikaanza juhudi za kuivunja jumuia ya kiislamu,ukawepo mgogoro hadi ikavunjwa na kuundwa Bakwata 1968.

Source Please
 
Anyway nimezama sana tena nimeanza na history ya education in Tanganyika tangu wakati wa mjerumani hadi mwingereza yaani kuanzia mwaka 1885-1961.nimegundua kua hadi anakuja mwingereza shule za mission zilikua zikipewa grant(GIA) na serikali za kikoloni ili kuendesha shule hizo.pia kulikua na shule za wazungu watupu(watoto wa wale wakoloni),shule za waasia(hasahasa zile za agakhan)na za weusi,ni mpaka uhuru ndo mwaka 1962 wakaambiwa waintergrate,yaani wachanganye bila kujali rangi.wazungu wakaanza kuhama na kuhamishia watoto wao kenya na hatimae kurudi kwao europe.kulikua na shule za wazungu dar,arusha,kongwa,mbeya,iringa,lushoto etc.zikabaki tupu,kulikuwa na bishop anaitwa alexandra chamble ndo akazirudisha mikononi mwa kanisa.kwahiyo shule tunazotambishiwa leo nyingi kumbe zilikuwa ni zile wanasomea watoto wa wakoloni na uhuru ulipopatikana wakaondoka.na ndizo nyingi nyerere alizitaifisha.shule kama za agakhani wenyewe hawakuondoka na walikubali kuintergrate sina hakika kama nazo zilitaifishwa.
Shule zilizojengwa ajili ya weusi wakati wa mkoloni,automatically zikawa za serikali.
Lakini kwa ubora zisingeweza kulingana na zile walizokuwa wakisomea wazungu.ambazo mfano kama weruweru yaweza kua ni miongoni mwa zilizokua European schools.
 
Hawa wakoloni walikua noumer,wanajenga shule wanakabidhi mashirika ya kikristo wakati pesa zilikua ni za walipakodi..maana kwa jinsi maisha yalivyokua bado ni ya hali duni sioni wapi haya mashirika ya kidini yakipata wapi pesa za kujenga shule zote hizo.
Na wakati waislamu wakianza nao kujitutumua kujenga nyerere akafuta east africa muslim na kuanzisha bakwata na ikawa monitored na serikali.

Shule zote zilizo jengwa na Kanisa ilikuwa ni misaada ya waumini na majimbo husika ya kanisa huko ulaya na America pamoja na mashirika makubwa ya kitawa kama Augustinians (OSA), Franciscans(OFM) na Benedictines (OSB) hakuna hela ya mkoloni hapo! Mapato ya ukoloni yalikuwa ni kuendesha serikali yao, ulinzi wao, kuboresha miundombinu ya kutunyonya ambapo hata siku moja hawakufikiria kumsomesha muafrika eti apate elimu na pia mapato yao yalikuwa kujilipa mishahara yao katika utumishi katika serikali yao ya kikoloni!!! we endelea kuota na kuangalia nyuma eti shule zao hazikutaifishwa!? Pu.mbavu utakapo amka na kukuta wenzako wote wanaendesha MaEvoque na ww unang'aa sharubu na kahawa mkononi! Fanya kazi serikali yako ni wewe mkeo na watoto wako haya ya kuambiwa hayakulishi wala hayakusomeshei watoto; chakarika fanya kazi mwanao asome au apate ujuzi kwani kesho akija na Ferarri utasema ni sheikh au padri kampa hakuna ush.enzi kama huo!!! bali ni kufanya kazi kwa bidii kupitia mfano anao ona kwako mzazi wake "like a father like a son" ww endekeza udini wenzako wanabanjuka na kazi unafikiri utaendelea; Ny.ooooo!!!! Labda sijui kinyesi kiishi!!! Usiku Mwma aisee ingawa umenisikitisha kwa uweza wako wa kufikiri! Slp tight!!!
 
Zingine ni Kwiro secondary (Ifakara), Matogoro TTC (Songea), Kigonsesa secondary (Songea), Ngaza Secondary (Mwanza), Nsumba Secondary (Mwanza), Tosamaganga, Kigurunyembe TTC, na shule nyingi sana za msingi. Wakatoliki wakiamua kudai shule na vyuo vyao, serikali haitabaki na kitu zaidi ya shule za kata.
 
wakatoliki wamechukua nafasi kubwa sana kwenye huduma za jamii, ikumbukwe kwamba mpaka sasa kwenye shule za seminary zao tunasoma na wakina muhamadi, omary na wakina juma lakini ukubali sheria zao
Kwa sababu yeye alikuwa mkatoliki na alikuwa anatumikia ukatoliki na sasa wakatoliki hao hao wapo katika mchakato wa kumpa daraja la utakatifu...mchakato unaofanywa nchini Uganda baada ya kushindikana Tanzania. Pia hakuna asiye mkatoliki aliye/anayeruhusiwa kusoma shule za seminari.
 
Shule zote zilizo jengwa na Kanisa ilikuwa ni misaada ya waumini na majimbo husika ya kanisa huko ulaya na America pamoja na mashirika makubwa ya kitawa kama Augustinians (OSA), Franciscans(OFM) na Benedictines (OSB) hakuna hela ya mkoloni hapo! Mapato ya ukoloni yalikuwa ni kuendesha serikali yao, ulinzi wao, kuboresha miundombinu ya kutunyonya ambapo hata siku moja hawakufikiria kumsomesha muafrika eti apate elimu na pia mapato yao yalikuwa kujilipa mishahara yao katika utumishi katika serikali yao ya kikoloni!!! we endelea kuota na kuangalia nyuma eti shule zao hazikutaifishwa!? Pu.mbavu utakapo amka na kukuta wenzako wote wanaendesha MaEvoque na ww unang'aa sharubu na kahawa mkononi! Fanya kazi serikali yako ni wewe mkeo na watoto wako haya ya kuambiwa hayakulishi wala hayakusomeshei watoto; chakarika fanya kazi mwanao asome au apate ujuzi kwani kesho akija na Ferarri utasema ni sheikh au padri kampa hakuna ush.enzi kama huo!!! bali ni kufanya kazi kwa bidii kupitia mfano anao ona kwako mzazi wake "like a father like a son" ww endekeza udini wenzako wanabanjuka na kazi unafikiri utaendelea; Ny.ooooo!!!! Labda sijui kinyesi kiishi!!! Usiku Mwma aisee ingawa umenisikitisha kwa uweza wako wa kufikiri! Slp tight!!!
either wewe ni kati ya ile mitoto isiyo na akili yaani div 5 ama umelewa viroba,manake huwezi kuanza kuropoka udivi wakati nimekuwekea hadi quote tena za haohao wamisheneri waliokuwa wanazijenga hizo shule,usichokielewa hapo ni nini kama sio utahira wa akili.

Wewe unaweza kunizidi nini kimaisha,wakati hata andika yako inaonyesha uko stressed?...shut yere mouth unless you want me to shut it for you.
 
Zingine ni Kwiro secondary (Ifakara), Matogoro TTC (Songea), Kigonsesa secondary (Songea), Ngaza Secondary (Mwanza), Nsumba Secondary (Mwanza), Tosamaganga, Kigurunyembe TTC, na shule nyingi sana za msingi. Wakatoliki wakiamua kudai shule na vyuo vyao, serikali haitabaki na kitu zaidi ya shule za kata.
wewe hizo hazikuwa shule za kanisa hata kidogo,shule zote zilizotaifishwa ni zile wakoloni waliziacha,zile za firs class walizokua wanasomea wazungu,baadae ndo ulifanyika ufisadi ili ionekane kama shule hizo zilijengwa na mashirika ya kidini.
 
Shule zote za serikali zenye hadhi ya kuitwa shule walinyang'anywa wakristo na Nyerere
 
Alitaifisha shule za misheni akaacha za seminari

Sasa hili Jukwaa linabadilika - linaacha kuwa Jukwaa la Great Thinkers na kuwa la Majuha! Angetaifishaje Seminari? Seminari ni shule za kuandaa mapadri sasa angetaifisha na kuzifanya za taifa ili watanzania wafunzwe wawe mapadri?

Seminari sio shule kama sekondari! Hizi ni sehemu za mafunzo ya kiroho na kimwili kwa maana ya kazi (kazi za mkono, kazi za kuweza kulenga uvumilivu wa mwanafunzi katika shida na taabu, kazi za kumwezesha mwanafunzi kuhudumia wagonjwa, wenye taabu) na elimu dunia ili kijana aweze kuwa na uwelewa anayofanya. Shida wengine baada ya kugundua seminari zinafanya vizuri hako kasehemu ka elimu dunia nao wamekimbilia kubatiza shule zao seminari- shule ambazo kwa kila hali ni sekondari na wala hakuna mafunzo yeyote mengine! Acheni kuiga!
 
Hats pale Same kuna shule ya kiislam iko polini hakuna dini nyingine anaingia pale mbona hatusemi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom