Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
Hizo shule walizojenga wazungu na kuzikabidhi kwa kanisa walijenga kwa pesa yao au mali zetu walizokuwa wanatuibia? Kwanini mali zetu watanganyika zitumike kuwajengea wakristo shule na si kuwajengea watanganyika?

Nao waarabu walioiba kabla ya kuja wazungu walifanya nini???kazi yao ilikuwa ni kujenga misikiti kila km moja na kuua tembo wetu. Shule zilijengwa kwa sadaka za mababu zetu;walipigwa injili wakamubali Yesu; wakawa wanatoa sadaka na utamaduni huo tunao mpaka leo hii... period!
 
waarabu hawakuja kuiba,walikua ni wachuuzi tu,hawakuwa na mitambo ya kuexploit hata hayo madini yetu,wao wakinunua na kuuza.kipindi hicho walikua hata hawajagundua mafuta hivyo hawakua njema financialy kama wayurope.
 
mkuu na hapo zimetajwa za sekondari bado za primary kibao.....
ukweli ni kua takribani shule 1000 zilijulikana kama za mission,hapo ni karibu zote zilizokuwepo.baada ya mkoloni kuondoka nyingi walizidump wakabaki na zile zilizonona,hapa na maana kimiundo mbinu.zile walizobaki nazo zilipokua mzigo kuziendesha wakazidump baadhi katika kile kilichoitwa kutaifishwa,then baada ya serikali kuzimaintain zikawa zinafaa wakazidai tena toka serikalini huku wakilobby serikali ichangie gharama za kuziendesha,ndo ikaja ikazaa hii memorundum of understanding ya miaka ya 90.

Cha kujiuliza hapa ni kua,kama shule 1000 zote zilikua za mission,kwanini hawakuzidai zote?
 
jiulize wewe?
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Mkuu.
nyerere alikuwa mbinafsi sana na alikuwa mnafiki mkubwa.

Alikuwa akijifanya yeye ni good actor! Anadanganya wananchi kuwa ni mtenda haki. Wakati huohuo analiinua kanisa lake kwa nguvu zote!

Mungu amuadhibu sana huko aliko!
Amen.
 
Kwa sababu yeye alikuwa mkatoliki na alikuwa anatumikia ukatoliki na sasa wakatoliki hao hao wapo katika mchakato wa kumpa daraja la utakatifu...mchakato unaofanywa nchini Uganda baada ya kushindikana Tanzania. Pia hakuna asiye mkatoliki aliye/anayeruhusiwa kusoma shule za seminari.

Tumeambiwa hapa juzi 'eti' Samwel Luhanga aka J.Kikwete alisoma seminari ya wakatoliki!
 
Mbona Waarabu walikuwa hapa kabla ya wazungu name hawakujenga hayo mashule?

Hilo jina lako umenkumbusha mbali sana! Kuna mzee alikua akiitwa hvyo miaka ya 80, alikua kipofu ila akisafikiri kwa basi anajua vituo vyote kuliko hata konda!
 
Kabla ya kuleta thread fanya tafiti za kutosha., sio kukurupuka. From what I know shule kama tosamaganga, songea boys and girls, iringa girls hizi ni baadhi tu, zilikuwa zinamilikiwa na wakatoliki zikataifishwa.
Jitahidi kuumiza kichwa kidogo kabla ya kuandika mkuu.

Namuogezea tena Nsumba na Nganza za jijini Mwanza.
 
waarabu hawakuja kuiba,walikua ni wachuuzi tu,hawakuwa na mitambo ya kuexploit hata hayo madini yetu,wao wakinunua na kuuza.kipindi hicho walikua hata hawajagundua mafuta hivyo hawakua njema financialy kama wayurope.

Ungeniambia kuwa waarabu nao kichwani hawakuwa na shule zaidi ya elimu ya dini na arthmetics tu nigekuelewa; kwa hiyo hawakuona umuhimu wa kuanzisha shule.....waliwezaje kujenga misikiti na makasri vile kule Zenj kama walikuwa hawana hela??? Mji mkongwe livyojengwa vile kwa mtizamo wa karne ile huwezi sema hawakuwa njema financially.....
 
nani kakuambia zanzibar hakukua na shule?shule iko hapo tangu 1905. Kabla hata wamisheni hawajaanza kujenga.
 
----- mwingine huyu hapa cjui kutolea wapi eti Agakhan ilikuwa ya waislamu, baba zenu wanawalisha ujinga na nyie kwa kuwa ni wavivu wa kufikiri mnaamua kuja huku kujiaibisha
 
Mkuu.
nyerere alikuwa mbinafsi sana na alikuwa mnafiki mkubwa.

Alikuwa akijifanya yeye ni good actor! Anadanganya wananchi kuwa ni mtenda haki. Wakati huohuo analiinua kanisa lake kwa nguvu zote!

Mungu amuadhibu sana huko aliko!
Amen.

Actually mungu anawaadhibu baba mama babu na bibi zako kama wameshakufa na walikuwa wajinga kama wewe
 
Sijawahi kuona thread ya kipumbavu, kijinga na kitoto kama hii, alafu GT wanachangia mpaka 10 pages???vizazi vya MUNGAI na KAWAMBWA hivi...sitashangaa siku moja RIDHIWANI akawa RAIS nchi hii
 
Kamanda moshi.
Huu ni ulaghai wa wazi kabisa kwakuwa kila mwenye kufuatilia kwa makini historia ya nchi yetu anafahamu kuwa mali zetu kama watanganyika ndio zilikuwa zatumika na wakoloni kujenga shule na makanisa. Ikumbukwe kwamba wazungu through their agents wamissionery walikuwa wakiwafund ili kujenga makanisa kuwacalm na kupunguza hostility ya waafrika kwa kuwatangazia neno na kuwaambia sisi wote ni binadamu na kadharika lengo nikuwapumbaza ili wasifanye resistance. Sasa unaposema ati pesa ilitoka Vatican kwa hisani ya wanajukwaa tunaomba mkataba wowote uliosainiwa kati ya wakristo wa tanganyika na Vatican kuhusu kuwapa misaada ya kujenga hayo makanisa kabla ya uhuru.
Twafahamu pia kuwa baada ya uhuru Nyerere alikuwa akitoa maliasili zetu na kuwapa Vatican inturn ndio hayo mashule na makanisa ndio yakawa yajengwa. Sasa mtihani mdogo tu nionyeshe mkataba mmoja tu uliosainiwa kati ya kanisa na Vatican kabla ya 1961.
Tumefundishwa katika historia ya elimu Afrika mashariki pia kuwa wamissionery walikuwa wakipewa support na wakoloni waliokuwa wakitawala Tanganyika sasa pia utuambie vipi Vatican itoe misaada wakati wao walikuwa hawana koloni?

nasema nachokifahamu maana nilisoma St Francis (Pugu Secondary ya siku hizi) ukitaka documents naweza fuatilia pale na nitazipata. labda pia na wewe utuwekee documents hapa zinazoonyesha serikali ya kikoloni ilipeleka kodi zetu waafrika kujenga seminary za kanisa.. tuanzie hapo mkuu...
 
Zilitaifishwa nyingi tu. Zile zilizoachwa zilikuwa ni maalumu kwa ajili ya kanisa kuzalisha mapadri.

Pasco njoo ufundishe historia hapa, je ni kweli shule za kiislam zilikuwa 37 tu?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom