Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
wakatoliki wamechukua nafasi kubwa sana kwenye huduma za jamii, ikumbukwe kwamba mpaka sasa kwenye shule za seminary zao tunasoma na wakina muhamadi, omary na wakina juma lakini ukubali sheria zao
 
Yaani ukiishaolewa na muhamadi unaobdokewa uwezo wa kufikiri. We endelea kushinda kwenye bao na kutafuna kashata........pengine hapo ulipo uko tayari kwa kujulipua ili uende peponi.

1IMG_8295.JPG

6a00d834522fa869e20120a8b9f362970b-800wi
 
Nilivyomuelewa anauliza zaidi ya dhehebu la katoliki,je hakuna dhehebu nyingine zilitoa taasisi zao kama shule na hospitali kwa serikali? Jibu langu ni zipo ingawa sizikumbuki vizuri. Azania,Tambaza,Zanaki,Kisutu,Jangwani nasikia zilikua zikimilikiwa na madhehebu ya kihindi enzi za ukoloni!

Mtoa mada ni chizi kwan nahisi anatumia ma------ aina
 
moja ya nguzo za azimio la arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya uchumi ikiwamo mabenki, mashirika ya bima, vyuo & shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha shule za seminari za kanisa katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa katoliki? Tafakari

nyerere alikuwa mdini aliyepindukia na kalisababishia taifa kuwa katika umaskini huu tulionao leo.wakati wa harakati za ukombozi wenzake walikuwa wameongozwa na nyoyo za uzalendo wakati yeye moyoni ana mipango yake ya siri ya kuwapendelea wakristo akitekeleza maaagizo ya wazungu ambao ndio waliotoa uhuru. Leo hii waislamu wanasemwa na kusimangwa eti hawakuwa wamewekeza katika elimu na wenzao wakristo waliwekeza katika elimu kumbe ni kinyume kwakuwa shue zote walizokuwa wanamiliki wakristo zilijengwa na wakoloni tena kupitia mali zilizochumwa na wakoloni hao kinyonyaji. Walivyoondoka wakaacha shule zile kwenye taasisi za kikristo na waislamu wakaanza kutengwa na kudharauliwa eti wao hawakuweka kipaumbele katika elimu na walikuwa wakipeleka watoto madrasa badala ya shule. Uongo huu umeendelezwa kitambo nkirefu hata nyerere mdini mkuu baaadae alivyosoma alama za nyakati akaamua kuzirudisha shule zote za dini kuendeshwa na serikali lakini akacheza trick kwa wasilamu kwani shule zao zote zilirudishwa serikalini bila kuwa docomented lakini wenzao wakristo wakaambiwa n nyerere waandikiane ili baadae zirudishwe na ndivyo ilivyofanyikawaka wakati za waislamu zikiendelea kushikiliwa na serikali kwani hawakuwa na ushahidi wowote wa kimaandishi w akudai shule zao wakati wenzao wamewekewa mikataba na mlaaniwa nyerere. Kama si vuguvugu ya waislamu kipindi kile huenda hati zile chache zilizorudishwa zisingepatikana. Shule kama agkhagani mpaka leo ipo mikononi mwa taasisi nyingine wakati ilikuwa mali ya waislamu.
 
...naomba utaje shule tano zilizokuwa zinamilikiwa na waislam, Aghakhan si kweli.
 
Kama mashekhe waliogopa kudai uhuru UN sasa kelele za nini.. wewe ni sawa na LE MUTUZ hamjui historia ya nchi yenu.. watoto mneoogezeka JF kwa kasi na mko bize kuuliza maswali ya kihuni
 
Mi nilitegemea ndani ya hii thread unazungumzia mbona hakutaifisha seminari za kiislamu kama zilikuwepo basi hata magofu tu.
 
Hata Umbwe, Ndanda zilikuwa za Kanisa. Mtoa mada ufanye utafiti la sivyo tutakuwa na haki ya kuamini kuwa unataka kuleta uchochezi!

Forodhani ilikuwa ya kanisa...St Joseph. Mtoa mada ana hang over ya pombe ya bei rahisi I guess.
 
Dada wewe hapo fara hujaitwa unashoboka, we ni shoga?

Pita pembeni kama jambo halikuhusu
 
Nsumba boys, Sumve high school na Nganza girls pia zilikuwa za wakatoliki
 
Nawashukuru wote kwa kumsaidia huyu jamaa.Nami namwomba aachane na fikra za udini ambazo amepandikiziwa!
 
...naomba utaje shule tano zilizokuwa zinamilikiwa na waislam, Aghakhan si kweli.
kabla ya Bakwata kulikua na EAST AFRICA MUSLIM WELFARE nadhani sijakosea maana naandika from memory.hilo shirika mdhamini wake alikua ni aghakhan sasa sijui kwanini jk akaamua kulipiga marufuku.hivyo jumuia ya agakhan ilikua sehemu ya east africa muslim welfare .
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Mkuu inaelekea hukuwepo. Nilikuwepo, nikiwa mwanafunzi kwenye seminary ambayo ilitaifishwa... Pamoja na shule yangu shule nyingine nyingi za Katoliki zilitaifishwa. Kwa Dar kulikuwa na St. Joseph's primary and secondary schools, St. Xavier's primary and secondary schools, Pugu Secondary school n.k. St. Joseph ikaitwa Forodhani na St. Xavier ikaitwa Kibasila. Tafuta ukweli, soma historia kabla hujaweka uzi unaopotosha.
 
Mimi Ninataka Kujua List Ya Shule Za Kiislam Zilizo Taifishwa, Maana Za Kikatoliki Zimetajwa Kama Ishilini
 
Na huyo ndiye mwenye busara waliyemchagua aandike kuwawakilisha wenzao!!!! Kazi kulalamika tuu kwa mambo ya kipuuzi. Wenzako wanakuchora hivyo waliosoma hizo shule zilizotaifishwa. Ni tabia ya kurithi kwa kiongozi wenu au nini ?maana hata huko Misri Muslim brotherhood wanawatuhumu minority Christians Coptic sect( less than 20% of total population) for ousted Mohamed Morsi
 
Kabla ya kuleta thread fanya tafiti za kutosha., sio kukurupuka. From what I know shule kama tosamaganga, songea boys and girls, iringa girls hizi ni baadhi tu, zilikuwa zinamilikiwa na wakatoliki zikataifishwa.
Jitahidi kuumiza kichwa kidogo kabla ya kuandika mkuu.
ongeza milambo, rugambwa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom