Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
Moshi sekondari a.k.a Old Moshi, ilikuwa madrasa.. Ishu ya msingi hapa ni kuwa mpaka Azimio la Arusha hatukuwa na Shule hata mbili za Waislamu, wakati sisi waislamu tunapiga push-up msikitini wenzetu wanajenga shule, halafu leo tunauliza kwanin hazikutaifishwa zote?Tunazidi kujidhalilisha waislamu wenzangu. Tuwe na hoja hata tuheshimiwe kidogo.
 
kwasababu alikuwa kiongozi mbovu na mdini alepindukia. Nyerere alikuwa dikteta, asie na ubinadamu wala utu. Kagame wa rwanda ni bora mara 100 ya nyerere.

ficha uji.nga wako kwani pugu secondary ilikuwa nini? sio st Francis? magamba sec, minaki nk nk! chuki zimewajaa tu!
 
Hapa in utoto unatusumbua. Issue ya umasikini kila Siku mnaileta hapa na haina mashiko kwa namna yoyote. Kama Nyerere alileta umasikini hapa nchini jiulize aliondoka madarakani lini? Na tangu kipindi hicho ni miaka mingapi imepita?

Mnapata dhambi bureau. Nyerere alitawala miaka 23, Mwinyi 10, Mkapa 10, Kikwete 8. Hapa kuna ziada ya miaka Kitano kutoka kwenye utawala WA Mwalimu. Mmeuondoa umasikini? Waislam wanayanyaswa name nani? In wangapi we ye bidii Zao ni matajiri wakubwa tu?

Fanyeni kazi name muache bla bla!
 
Muslims hamna shukran kwa Nyerere yote aliyowafanyia bado mnaona m.a.v.i wakatoliki wamejenga shule zao nyie mkajenga madrassa mnatamani shule za wakatoliki ujinga jengeni shule zenu vyuo vyenu hatutaki usumbufu na mali zetu
 
Mazengo High School pale Dodoma ilikuwa inamilikiwa na Anglicana Church, na ndiyo maana hata chuo kikuu cha St.John ni mali ya Waanglikana.
Sasa huyu Mbulumundu nadhani yuko na ndizi na pilipili mfukoni anazunguka kutafuta mahala penye hitima ili akapate ubwabwa.
Kweli adui muombee njaa.
 
Nami ngoja nishushe mistari. St. Andrew( now minaki ), St. Francis (now pugu) na Umbwe. Mi nadhani ili watu tuheshimiane kila dini irudishiwe vyake tuone nani mbabe, maana wenzetu full lawama.
 
Si kweli shule nyingi kama Umbwe, Ilboru na Mkwawa zilikuwa seminari
 
nyerere alikuwa mdini aliyepindukia na kalisababishia taifa kuwa katika umaskini huu tulionao leo.wakati wa harakati za ukombozi wenzake walikuwa wameongozwa na nyoyo za uzalendo wakati yeye moyoni ana mipango yake ya siri ya kuwapendelea wakristo akitekeleza maaagizo ya wazungu ambao ndio waliotoa uhuru. Leo hii waislamu wanasemwa na kusimangwa eti hawakuwa wamewekeza katika elimu na wenzao wakristo waliwekeza katika elimu kumbe ni kinyume kwakuwa shue zote walizokuwa wanamiliki wakristo zilijengwa na wakoloni tena kupitia mali zilizochumwa na wakoloni hao kinyonyaji. Walivyoondoka wakaacha shule zile kwenye taasisi za kikristo na waislamu wakaanza kutengwa na kudharauliwa eti wao hawakuweka kipaumbele katika elimu na walikuwa wakipeleka watoto madrasa badala ya shule. Uongo huu umeendelezwa kitambo nkirefu hata nyerere mdini mkuu baaadae alivyosoma alama za nyakati akaamua kuzirudisha shule zote za dini kuendeshwa na serikali lakini akacheza trick kwa wasilamu kwani shule zao zote zilirudishwa serikalini bila kuwa docomented lakini wenzao wakristo wakaambiwa n nyerere waandikiane ili baadae zirudishwe na ndivyo ilivyofanyikawaka wakati za waislamu zikiendelea kushikiliwa na serikali kwani hawakuwa na ushahidi wowote wa kimaandishi w akudai shule zao wakati wenzao wamewekewa mikataba na mlaaniwa nyerere. Kama si vuguvugu ya waislamu kipindi kile huenda hati zile chache zilizorudishwa zisingepatikana. Shule kama agkhagani mpaka leo ipo mikononi mwa taasisi nyingine wakati ilikuwa mali ya waislamu.
Mkuu, naheshimu sana michango yako humu ila wewe ni division five.. Kubalini kuwa bila Nyerere hata wewe ungeishia kucheza bao tu. Hebu angalieni shule zenu, full zero eti mnahujumiwa! Nonsense!!
 
kweli kabsaaa nyerere alitaifisha shule za wapenda wali wa hitma madrasatul a al qaeda
 
Hawa wakoloni walikua noumer,wanajenga shule wanakabidhi mashirika ya kikristo wakati pesa zilikua ni za walipakodi..maana kwa jinsi maisha yalivyokua bado ni ya hali duni sioni wapi haya mashirika ya kidini yakipata wapi pesa za kujenga shule zote hizo.
Na wakati waislamu wakianza nao kujitutumua kujenga nyerere akafuta east africa muslim na kuanzisha bakwata na ikawa monitored na serikali.
 
Unaonekana una ubongo mdogo kuliko mbegu ya haradali
 
nyerere alikuwa mdini aliyepindukia na kalisababishia taifa kuwa katika umaskini huu tulionao leo.wakati wa harakati za ukombozi wenzake walikuwa wameongozwa na nyoyo za uzalendo wakati yeye moyoni ana mipango yake ya siri ya kuwapendelea wakristo akitekeleza maaagizo ya wazungu ambao ndio waliotoa uhuru. Leo hii waislamu wanasemwa na kusimangwa eti hawakuwa wamewekeza katika elimu na wenzao wakristo waliwekeza katika elimu kumbe ni kinyume kwakuwa shue zote walizokuwa wanamiliki wakristo zilijengwa na wakoloni tena kupitia mali zilizochumwa na wakoloni hao kinyonyaji. Walivyoondoka wakaacha shule zile kwenye taasisi za kikristo na waislamu wakaanza kutengwa na kudharauliwa eti wao hawakuweka kipaumbele katika elimu na walikuwa wakipeleka watoto madrasa badala ya shule. Uongo huu umeendelezwa kitambo nkirefu hata nyerere mdini mkuu baaadae alivyosoma alama za nyakati akaamua kuzirudisha shule zote za dini kuendeshwa na serikali lakini akacheza trick kwa wasilamu kwani shule zao zote zilirudishwa serikalini bila kuwa docomented lakini wenzao wakristo wakaambiwa n nyerere waandikiane ili baadae zirudishwe na ndivyo ilivyofanyikawaka wakati za waislamu zikiendelea kushikiliwa na serikali kwani hawakuwa na ushahidi wowote wa kimaandishi w akudai shule zao wakati wenzao wamewekewa mikataba na mlaaniwa nyerere. Kama si vuguvugu ya waislamu kipindi kile huenda hati zile chache zilizorudishwa zisingepatikana. Shule kama agkhagani mpaka leo ipo mikononi mwa taasisi nyingine wakati ilikuwa mali ya waislamu.

Waarabu walikuwa watu wa kwanza kufika pwani ya afrika mashariki hawakujihangaisha na kujenga shule,wazungu walikuja baadae wakajenga makanisa na shule,sasa ulitaka nini kama mabwana zenu waliishia kuwaoa na kuwasilimisha bila kuwapa elimu wala kuwajengea shule?Tatizo mmelishwa sumu na mashehe wenu makanjanja kwa hiyo mnaongea kwa hisia tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Maneno ya kijiweni usipende kuyachukua kama yalivyo.Hiyo ni dalili ya uvivu wa kutokushughulisha akili yako,baada ya watu kuchangia umejifunza wanavyokufundisha takwimu ambazo hukujua hapo mwanzo.sasa kiri ukweli mpendwa bila kuwa na jazba.
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

shule nyingi za mission zilichukuliwa mfano kigonsera,pugu,tosamaganga,kilakala,mkwawa,forodhani..n.k. Sasa kumsingizia mwl si vizuri na kama hujui kitu bora uulize mana hiyo itakusaidia usishushe heshima yako....narrow minded mxiuuuuuuuuuuuuuu
 
Waarabu walikuwa watu wa kwanza kufika pwani ya afrika mashariki hawakujihangaisha na kujenga shule,wazungu walikuja baadae wakajenga makanisa na shule,sasa ulitaka nini kama mabwana zenu waliishia kuwaoa na kuwasilimisha bila kuwapa elimu wala kuwajengea shule?Tatizo mmelishwa sumu na mashehe wenu makanjanja kwa hiyo mnaongea kwa hisia tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
hao waarabu hawakuwa na koloni hapa zaidi ya zanzibar na wala hawakuwa wanashughulika na kilimo .hao wakoloni wa kijeruman na kiingereza walikua wanatumia pesa zipi kujengea makanisa na mashule kama sio zilezile za kutokana na rasirimali za hapahapa?.

Baada ya uhuru bado waislamu walikua suppressed kujiletea maendeleo yao.wakati nchi kama kenya ambayo christians population iko juu lakini waislamu wako na mashule mengi kuliko hapa.na Mou ya kenya inahusisha dini zote na sio christian pekee.
Mwaka 1960 agakhan foundation pekee walikua na shule 65 africa mashariki,lakini ni wazi kuwa kuna kitu kiliwafanya agakhan wawekeze zaidi kenya kuliko Tanzania,WHY?
 
Serikali ikisema imrudishie shule kila aliyenyang'anywa, waisilamu watapata ngapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom