SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,814
- 2,056
ngano hizo
hapo ndipo tunapokosea badala ya kuzingatia tunapuuza
ngano hizo
ukisoma how europe underdevelop africa utajua nina maana gani nikisema hayo mashule yalijengwa kwa rasilimali zetu.na ukisoma link hapo juu inakueleza wazi kuwa nyerere banned muslim education union.pengine ndo maana alipiga marufuku east africa muslim welfare society ambayo ilianzishwa na agakhan na ilikua na mpango wa kujenga mashule.ntakuwekea speech ya agakhan ya mwaka 1957 katika mkutano wa east africa muslim welfare society kama ushahidi wa malengo yao kielimu.pesa zilitoka ulaya kwenye parish/convert/shirika husika .kama wewe ni mkatoliki au wajua kidogo kuhusu ukatoliki shule kama pugu was under Franciscan kwa hivo pesa zilitoka ulaya Itali kwa waumini wa huko!
mfano mkuu sasa hivi kuna Compassion Africa ambao wanajenga shule na kusomesha poor children mpaka chuo kikuu, hawa wanakutafutia mfadhili ulaya na America wanakusomesha je utasema ni serikali yako inalipa? na hawa compassion wapo hata leo! swali lingine mkuu?
hapo ndipo tunapokosea badala ya kuzingatia tunapuuza
Sasa ngoja tufanye favor kwenu, tokea mwaka lets say 1980 hadi leo nini mmefanya, na hao mnaowaita Wakatoliki nini wamefanya tokea kipindi hicho.ukisoma how europe underdevelop africa utajua nina maana gani nikisema hayo mashule yalijengwa kwa rasilimali zetu.na ukisoma link hapo juu inakueleza wazi kuwa nyerere banned muslim education union.pengine ndo maana alipiga marufuku east africa muslim welfare society ambayo ilianzishwa na agakhan na ilikua na mpango wa kujenga mashule.ntakuwekea speech ya agakhan ya mwaka 1957 katika mkutano wa east africa muslim welfare society kama ushahidi wa malengo yao kielimu.
Umeambiwa taja shule 5 na si 2 kama ulivyotaja.
ukisoma how europe underdevelop africa utajua nina maana gani nikisema hayo mashule yalijengwa kwa rasilimali zetu.na ukisoma link hapo juu inakueleza wazi kuwa nyerere banned muslim education union.pengine ndo maana alipiga marufuku east africa muslim welfare society ambayo ilianzishwa na agakhan na ilikua na mpango wa kujenga mashule.ntakuwekea speech ya agakhan ya mwaka 1957 katika mkutano wa east africa muslim welfare society kama ushahidi wa malengo yao kielimu.
at least favor ilianza wakati wa miaka ya 90 siyo 80,na kuna improvement sana,mashule yamejengwa na yanaendelea kujengwa.Sasa ngoja tufanye favor kwenu, tokea mwaka lets say 1980 hadi leo nini mmefanya, na hao mnaowaita Wakatoliki nini wamefanya tokea kipindi hicho.
kha...!!agakhan iko chini ya ismailia muslim it doesnt matter wawe ni wamasai ama wahindi....mwambie hiyo aghakhan anavyodai ilikuwa ni ya waislam, then wakapewa wahindi, ilikuwa inaitwaje hapo mwanzo?...kama sio story za vijiweni kwenye kahawa anazileta huku
lakini naona kama mleta uzi ameulizia shule za seminari ila wewe umetaja za misheni.
Nadhani hizi (misheni na seminari) ni shule za namna tofauti.
Vinginevyo naomba unijuze mkuu.
mkuu mimi nimekuwekea hadi speech ya mwaka 57 ya mipango na michakato ya waislamu kujenga mashule japo hawakufika mbali ajili ya mizengwe hadi wakavunjiwa jumuia yao .sasa hebu nawe tuwekee japo mchakato wa kujenga shule mbili tu za mission kabla ya uhuru kama hatujakuta funding ya serikali ya kikoloni.mkuu unataka kuniambia Africa ndo imeijenga ulaya? hivi ukoloni umefika Africa mwaka gani vile? na kabla ya hapo ulaya haikuwepo hivi? je wewe unajua history ya church? hadi utake kutuaminisha kuwa ilisubiria kodi yako wewe muafrica ili ijenge makanisa na shule na hospitals? hebu amka acha kujilaza wakati wenzio wanachangamka! trust me, kwa hivi unavyofikiri miaka 20 ijayo wanao watadai pia Compassion ni kodi zenu ndo zinatumika!
kama ww unamuda was kuzingatiA upuuzi zingatia
Naongezea tu...Kilakala Girls enzi hizo St. Margareth!
...shule za seminar ndio hizo hizo za misheni, mission ni taasisi za kikristu inayomiliki shule za seminary, seminary ni aina ya shule.
Mods toa huu uzi, hatuna muda wa kujadili past tense tunajadili present and future tense. Mbona karume hamja weka madhaifu yake humu? Au yeye alikuwa perfect kama malaika?
huenda ikawa lakini kwa information zilizopo unaweza kuconfirm.ngano hizo
kwasababu alikuwa kiongozi mbovu na mdini alepindukia. Nyerere alikuwa dikteta, asie na ubinadamu wala utu. Kagame wa rwanda ni bora mara 100 ya nyerere.
Shule ya Mkwakwani sec.ilikuwa ya jumuia ya waislam,shule ya Muslim school,ambayo ni jumuia sasa,shule Bombo primary,shule ya Darajani,shule ya Usagara Sec,zote ziko Tanga,zilikuwa za waislam