Kigonsera
Alitaifisha shule za misheni akaacha za seminari
Alitaifisha shule za misheni akaacha za seminari
tatizo la akili ndogo anafuata tu kile alichodanganywa anakurupukaKabla ya kuleta thread fanya tafiti za kutosha., sio kukurupuka. From what I know shule kama tosamaganga, songea boys and girls, iringa girls hizi ni baadhi tu, zilikuwa zinamilikiwa na wakatoliki zikataifishwa.
Jitahidi kuumiza kichwa kidogo kabla ya kuandika mkuu.
Aghakani ilikuwa ni ya muslim.
Tambaza, zote hizo zilikuwa za muslim.
Moja ya Nguzo za Azimio
la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo
Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba
kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu
kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
mie naomba nisaidiwe shule za kiislam zilizotaifishwa ukiacha shule kama TAMBAZA ambazo ni za agakan wahindu
Duh Nilikuwa Naamini Kuwa Waislam Walikuwa Na Shule Nyingi Zilizotaifishwa Kumbe Ni Unafiki Tuh! Kwenye Makongamano Yao Wanamtukana Sana Nyerere Kwa Hoja Ya Kutaifisha Mali Zao Alafu Mpaka Leo Wanataka Waludishiwe, Je Kama Serikali Ikiludisha Mali Hizo Kwa Kila Taasisi, Ni Nani Ata Athilika? Wenzetu Waache Kuwa Watu Wa Kulaumu, Jaribuni Kupima Mambo Kwanza Kabla Ya Kuyalopoka.
kwanini mkuu?..sema pesa zilitoka wapi kujenga mashule yote hayo?
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
kwahio ndio kusema alitaifisha madrasa za buguruni, kiwalani na nyingnezo.
Duh Nilikuwa Naamini Kuwa Waislam Walikuwa Na Shule Nyingi Zilizotaifishwa Kumbe Ni Unafiki Tuh! Kwenye Makongamano Yao Wanamtukana Sana Nyerere Kwa Hoja Ya Kutaifisha Mali Zao Alafu Mpaka Leo Wanataka Waludishiwe, Je Kama Serikali Ikiludisha Mali Hizo Kwa Kila Taasisi, Ni Nani Ata Athilika? Wenzetu Waache Kuwa Watu Wa Kulaumu, Jaribuni Kupima Mambo Kwanza Kabla Ya Kuyalopoka.
what really happened and why.
mwalimu nyerere - articles, transcripts and legacies | nyerere against islam in zanzibar and tanganyika
shule nyingi za mission zilichukuliwa mfano kigonsera,pugu,tosamaganga,kilakala,mkwawa,forodhani..n.k. Sasa kumsingizia mwl si vizuri na kama hujui kitu bora uulize mana hiyo itakusaidia usishushe heshima yako....narrow minded mxiuuuuuuuuuuuuuu