yaelekea ni dem wake. Akichukua dola una talaka tatuwew na we umezidi ushamba,yaani unachojua kuibiwa ni mke tu!!!!!nyie ndio mnaonufaika na wizi na hamna uchungu na nchi hii.wakati wananchi wengi wanaumia kutokana na rushwa na wizi,ubadhirifu wa mali ya umma na ufisadi,nyie mnashangilia.ni ujinga huo.inaelekea una maslahi binafsi na el maana naona unashabikia sana.
mdini unamjua ww? Nenda shule na usome philosophy ya nyerere ulinganishe na utumbo wako unaouongea. Yaeleke ulikimbia umande hukwenda shule wwnyerere alikuwa ni mdini, alimkataa lowasa sababu ya udini wake.
mdini unamjua ww? Nenda shule na usome philosophy ya nyerere ulinganishe na utumbo wako unaouongea. Yaeleke ulikimbia umande hukwenda shule ww
hapana mkuu,unachosema si kweli na ndo watu wengi wanaamini hivyo. Katiba ya ccm iliyofanyiwa marekebisho mwaka 1994,ilikuwa na kipele kinachosema;ktk uchaguzi wa kupitisha jina moja,mgombea atakuwa ameshinda kwa kupata zaidi ya nusu ya kura za wajumbe wote. Isipokuwa uchaguzi wa kundi,washindi watashinda kwa wingi wa kura.mjinga huwa hatukanwi bali anafundishwa na kuelekezwa!!!! Mgombea wa CCM tangu enzi za TANU alikuwa anapatikana kwa kupata kura nyingi zaidi ya wengine ( simple majority of votes) lakini kwa kuwa Mzee haambiliki alikuwa hamtaki Kikwete, alibadili kanuni akaseme lazima kura zipigwe tena baada ya mapumziko!!! Nyerere alitumia kipindi cha mapumziko kumtisha Komandoo Salmin ili kura za wazanzibar zihamie kwa Mkapa! Hii ni fact wala siyo hearsay!
Mi sipiganii mgao wowote Mama, ili ni mawazo yangu tu
kweli usilolijua ni kama usiku wa kiza. Unahitaji maombi .hahahaha. Nyerere alimkata lowasa ni kweli kabisa, ila hiki kisa kinaanzia kwa baba yake lowasa ambaye aliuza kijiji na watu bila wao kujua huko umachameni. Sakata lilipo kuwa kubwa mwenye mali aliyeuziwa anadai ardhi wanakijiji wakastuka na kutaka kuwaua kuona hivyo baba na watoto wakakimbilia arusha ambapo walipata hifadhi ktk ukoo wa moringe sokoine na kubadilisha jina na kabila na kujiita wamasai otherwise lowasa ni mchaga wa machame pure. Nyerere akasema kama baba aliuza kijiji na wanakijiji hata mtoto atakuwa na tabia hiyo tu.
mbona nasikia laaziz wako ni mchaga, unataka kumwambia nn kuhusu wachaga hapo, kwamba unawakubali au ndo humpeni. Ww ni walewale, like fadha like son/doughterhahahaha. Nyerere alimkata lowasa ni kweli kabisa, ila hiki kisa kinaanzia kwa baba yake lowasa ambaye aliuza kijiji na watu bila wao kujua huko umachameni. Sakata lilipo kuwa kubwa mwenye mali aliyeuziwa anadai ardhi wanakijiji wakastuka na kutaka kuwaua kuona hivyo baba na watoto wakakimbilia arusha ambapo walipata hifadhi ktk ukoo wa moringe sokoine na kubadilisha jina na kabila na kujiita wamasai otherwise lowasa ni mchaga wa machame pure. Nyerere akasema kama baba aliuza kijiji na wanakijiji hata mtoto atakuwa na tabia hiyo tu.
unazungumzia shule gani?
we chizi nn? Shule nayozungumzia ni shule inayoeleweka, sio shule yako iliyoko kwenye tafsiri yako ww. What i mean is go to school to improve ya knowledge thats when u"ll understand what am talking man. I can help if you want.
futa kauli yakonyerere alikuwa na wivu na ndie alie fanya wa tz wasiende shule ili iwe kwake rahisi kutawala
i get it. The problem is u dont understand a single thing. When am talking about knowledge what i mean is,uongeze uelewa wako wa mambo especially kwenye siasa ili twende parallel. If ya read i can help you as i told u beforekuimprove knowledge ipi?
i get it. The problem is u dont understand a single thing. When am talking about knowledge what i mean is,uongeze uelewa wako wa mambo especially kwenye siasa ili twende parallel. If ya read i can help you as i told u before
Hakuna sababu ya kumnukuu Nyerere kwenye kizazi ambacho hatuwezi kupata viongozi was kaliba yake.