Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

kuimprove knowledge ipi?
i get it. The problem is u dont understand a single thing. When am talking about knowledge what i mean is,uongeze uelewa wako wa mambo especially kwenye siasa ili twende parallel. If ya read i can help you as i told u before
 
sawa , sa ndo nikasome wapi?
kama uko tayari hata mi naweza kukusaidia kwan am a teacher by professional. Elimu ni popote na wakati wowote. Kama haupo comfortable kuimprove knowledge yako kwangu, kasome hata mmemkwa. Ila zaidi nenda ktk library iliyo karibu nawe umsome nyerere vizuri kwenye azimio la arusha mpaka kupata uhuru na ambition zake ndo utakapojua kuwa nyerere alitaka watanzania wote waende shule na walimu wengi waliajiriwa kwa ajili hiyo. Nyerere was a great leader in tanzanian history. Zidumu fikra za mwalimu
 
simple answer alikuwa na philosophy moja ambayo sio ukiwa na mali au utajiri umezipata wapi na huwezi kuwa kiongozi ambayo kiuhalisia sio kabisa ndio aliyoitumia kumneglect lowasa that it
 
Is it fair to say Mwalimu was right about Lowassa being power hungry and corrupt?

who is nyerere ameua wazalendo wangapi...hana jipya nyerere alkua dkikteta na mnafki alkua hataki kukosolewa bt lowasa alikua anamchana live..nyerere si Mungu ata ujamaa wake ulishndwa..
 
Is it fair to say Mwalimu was right about Lowassa being power hungry and corrupt?

who is nyerere ameua wazalendo wangapi...hana jipya nyerere alkua dkikteta na mnafki alkua hataki kukosolewa bt lowasa alikua anamchana live..nyerere si Mungu ata ujamaa wake ulishndwa..lowasa ndiye rais wetu 2015 ata arud nan
 
kama uko tayari hata mi naweza kukusaidia kwan am a teacher by professional. Elimu ni popote na wakati wowote. Kama haupo comfortable kuimprove knowledge yako kwangu, kasome hata mmemkwa. Ila zaidi nenda ktk library iliyo karibu nawe umsome nyerere vizuri kwenye azimio la arusha mpaka kupata uhuru na ambition zake ndo utakapojua kuwa nyerere alitaka watanzania wote waende shule na walimu wengi waliajiriwa kwa ajili hiyo. Nyerere was a great leader in tanzanian history. Zidumu fikra za mwalimu

Nyerere alijenga vyo vikuu vingapi?
 
Lowassa macho mbele piga mzigo... Usimjibu mtu bali mpende kwa dhati kila apuuzae ukweli usiopuuzika.we see,we know and we decide.
 
Nyerere kwa alivyomfanya Sokoine asingemkubali mridhi wake alieletwa na Sokoine mwenyewe kwenye Siasa.
 
i get it. The problem is u dont understand a single thing. When am talking about knowledge what i mean is,uongeze uelewa wako wa mambo especially kwenye siasa ili twende parallel. If ya read i can help you as i told u before

"Parallel" unakotaka kumpeleka mwenzako ndio wapi huko?Jibu hoja!Jf tuzione!wapi tupate uthibitisho huo wakutokubalika kwake?ilete hapa na isiwe propaganda tu.
 
alishindwa kumjibu Nyerere akikoupata utajiri wake, sisi tuliobaki je? wacha tujikwae kwenye visiki vingine vipya lakini visiwe vile tulivyokwishaonyeshwa na Nyerere
 
Kiukweli hapa sijaelewa hii comparison..huyu ni lowassa 2015 sasa Nyerere anaingia vipi tena hapa au ndio adabracadabra
 
Uwe unajipanga kimantiki.lowasa 2015 na nyerere uhusiano mbona hujaonesha.usikurupuke.hata hvyo nani kakwambia watz watamchagua lowasa wakati yupo kipenzi wao
 
Lowasa uraisi ni hukohuko MONDULI kuliko na watanzania wengi wanaomtaka awe raisi siyo Dodoma wala Dar es salaam wanakomhitaji awe raisi wao. sema ndo ivo mkishakunywa gongo na mihadharati yenu ndo huwa mnafikiria anakubalika Tanzania nzima.
 
Namheshimi Nyerere kwa nafasi yake na kwa yale aliyoyatenda ktk Taifa hili.

Ila ni hatari kuliko maelezo kutaka kumgeuza JK Nyerere kuwa Mungu mtu.

Acheni kumpa Hayati Jukumu asilo liweza kwa Majira na Nyakati tulizo nazo

Nyerere sio kuzuizi cha Lowassa kuwa Rais hata kama angekuwa amemlaani bado Lowassa aweza kuwa Mkuu wa Kaya na mambo yakaenda vizuri.

Mnamtumia Nyerere kwa tamaa zenu ili kumchafua Lowassa ukweli kama ni uroho na wivu wa madaraka ninyi ndio mnamzidi Lowassa.
 
mimi ni rafiki wa lowasa ila siyo gamba.kila mtu anaweza kuwa na maono yake kwa mimi naona lowasa atakuwa rais na atakuwa kiongozi shupavu na ambaye hajawahi kutokea tanzania na ataleta mabadiliko makubwa.
 
Nyerere mungu au?Are we Greeks to idolize our famous people to be gods?Wake up
 
Personal attacks are cheap politics!If you think lowasa will never be a president why bother to attack his character?Advertise Your own candidates with their policies?Learn from Dr Slaa and Lowassa You will never hear them throwing tantras on other politicians!Acheni siasa za kiswahili!Attack their policies not their not-so proved rumours!Thank God I take my major in Canada and not tanzania!Guilty until proven
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom