Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
WanaJF, nachelea kusema, waTZ tunasahau mapema, mtu mwenye maono ya mbali alishatwambia na kututahadharisha juu ya viongozi hawa wawili, lakini baada miaka kumi ya utawala wa Mkapa tumeangukia pua,
kwa aliye kataliwa moja kwa moja ndo anapigiwa chepuo kukamata kijiti cha urais, je WaTz tumejifunza nini?,,,h
Kama mtu una umri kuanzia age ya 40 alafu ukaambiwa wewe bado mdogo kupewa nafasi fulani basi ujue huyo kakudharau. A fool at 40 is a fool fotever.