Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Namheshimi Nyerere kwa nafasi yake na kwa yale aliyoyatenda ktk Taifa hili.

Ila ni hatari kuliko maelezo kutaka kumgeuza JK Nyerere kuwa Mungu mtu.

Acheni kumpa Hayati Jukumu asilo liweza kwa Majira na Nyakati tulizo nazo

Nyerere sio kuzuizi cha Lowassa kuwa Rais hata kama angekuwa amemlaani bado Lowassa aweza kuwa Mkuu wa Kaya na mambo yakaenda vizuri.

Mnamtumia Nyerere kwa tamaa zenu ili kumchafua Lowassa ukweli kama ni uroho na wivu wa madaraka ninyi ndio mnamzidi Lowassa.

hawa vijana wa ufipa nadhan washapiga gongo
 
Uko sahihi mkuu.............Nyota njema huonekana tangu asubuhi....Hata kikwete mwalimu alimkataa kabisa ila sasa baaday ya kuwa rais yeye mwenyewe anakili kuwa kumbe nyerere aliniona mi KIAZI......Imagine mzee wa kampuni za mifukoni ndo anakuwa rais!
 
Please! Makada wa CCM na Vijana wa Lumumba kwa Ujumla,Msimtumie tena wala Msimgeuze JK Nyerere kuwa kama Kighost Cha kuongoza Nchi-Wakati ni Hayati.
 
Nyerere ndo kaitia tz katka umaskin wa hali ya juuu sana kwa siasa zake za kuiga za ujmaaa afu leo waleta mambo yako hapa,mfufue bas agombeee,na kwa taarifa yako akija akagombea ma lowasa atapigwa chin kwa tofauti ya kura nying sana
 
Tumeambiwa siku zote akili ya kuambiwa changanya na yako, sio kila alichokisema Nyerere wakati wake kilikua ni sahihi, siku hizi maskini ndio kwanza wamekua wagonjwa wakubwa wa rushwa. Kama watu wote wa nchi hii wangekua na akili na mawazo kama yangu, kitamboooooooooooooo Lowassa angekua amesha apishwa kuwa rais kabla hata ya uchaguzi mkuu wa mwakani
 
EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN ameonyesha nia kubwa sana ya kutaka kwenda ikulu ili kuwakomboa watanzania na matatizo yao lukuki ambayo yanaongezeka kila uchao. LOWASSA amewatumia FRIENDS OF LOWASSA ambao wamemchangia mamilioni ya fedha ambazo katika kuonyesha yeye hana tama hakuzitumia yeye binafsi fedha hizo kama ambavyo wangefanya wengine bali bila kishadushadu wala hiana akazigawa kama alivyopewa kwa vikundi mbalimbali. Kwa kuonyesha yeye ni kiongozi bora na wakupigiwa mfano hakuzigawa kwa wakristo wenzake tu bali pia kwa waislam ab

Ambapo shule kibao za waislam na misikiti vimefaidika kwamisaada hiyo.Hakuishia hapo bali alitoa kwa vikoba na hakujali vikoba ni vyaArusha au lindi au kagera yeye alimwaga pesa. Alipoulizwa maswali ya kizushikuwa huenda fedha hizo zimetokana na money laundering akasema waulizwe FRIENDSOF LOWASSA na sio yeye na pia alipoulizwa je wamelipa kodi jibu lake likawa nihilohilo.

Juzi nilikutana na Mzee KONTWINYE MWAKIFUNGUTE ambae ni mzeewa miaka 81 na alikuwa mwanachama hai wa TANU na sasa CCM na anajuana sana naviongozi wote wa juu wa CCM. Mzee huyu alisema wote wanaodai nyerere hakumpendaLOWASSA na kuwa 1995 alikata jina lake ni waongo wakubwa. Anasema nyerereALIMPENDA SANA, SANA LOWASSA KWANI ALIMKUMBUSHA SOKOINE ambae nyerere alimgroomaje kuwa Rais but akafa. Anasema nyerere hakumtaka Malecela na akatishiakurudisha kadi sio lowassa.

MZEE AMESEMA TUMUENZI NYERERE KWA KUMPA LOWASSA URAIS
 
Hivi kwa mfano nikikutukana tusi la nguoni utasema nakuonea?leo hii nyerere angefufuka mtu wa kwanza kuchapwa angekuwa ni lowasa,sitta,wassira na aliyeandika uzi huu
 
Hivi kwa mfano nikikutukana tusi la nguoni utasema nakuonea?leo hii mwalimu nyerere angefufuka mafisadi wote wa ccm wangechezea fimbo na akiwemo lowasa
 
Hivi kwa mfano nikikutukana tusi la nguoni utasema nakuonea?leo hii nyerere angefufuka mtu wa kwanza kuchapwa angekuwa ni lowasa,sitta,wassira na aliyeandika uzi huu

Hatutashangaa wewe kutoa matusi tunajuwa vijana wa WAMA mmeshazoeya kutukana watu hoja mmeishiwa
 
Tumuenzi Nyerere kwa kufanyaje?
Huyo ni Nyerere yupi,yule teacher ama?
 
Ccm haiwezi kumuenzi mwalimu nyerere,maana hata nyerere day imebaki kuwa siku ya mapumziko tu na si kuyaenzi yale aliyokuwa anayapinga kama ufisadi,rushwa,ujinga na maradhi
 
Hivi kwa mfano nikikutukana tusi la nguoni utasema nakuonea?leo hii nyerere angefufuka mtu wa kwanza kuchapwa angekuwa ni lowasa,sitta,wassira na aliyeandika uzi huu
Wewe ni rahisi kumungunya kama pipi. Mtafute mwalimu mkuu wa watu anawezakukujuza kuhusu uhusiano wa Nyerere na Edward. Hizi za-kutungwa na Wama group achana nazo.
 
Sera za Lowasa na Nyerere zinafanana kwa kiasi kikubwa.. Lowasa alikuwa kipenzi cha Nyerere
 
hivi nyerere ni kama nani? nyerere ni mtu kama wengine kwangu mm sioni kua kila kitu tuseme angekua nyerere, upuuzi tu
 
EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN ameonyesha nia kubwa sana ya kutaka kwenda ikulu ili kuwakomboa watanzania na matatizo yao lukuki ambayo yanaongezeka kila uchao. LOWASSA amewatumia FRIENDS OF LOWASSA ambao wamemchangia mamilioni ya fedha ambazo katika kuonyesha yeye hana tama hakuzitumia yeye binafsi fedha hizo kama ambavyo wangefanya wengine bali bila kishadushadu wala hiana akazigawa kama alivyopewa kwa vikundi mbalimbali. Kwa kuonyesha yeye ni kiongozi bora na wakupigiwa mfano hakuzigawa kwa wakristo wenzake tu bali pia kwa waislam ab

Ambapo shule kibao za waislam na misikiti vimefaidika kwamisaada hiyo.Hakuishia hapo bali alitoa kwa vikoba na hakujali vikoba ni vyaArusha au lindi au kagera yeye alimwaga pesa. Alipoulizwa maswali ya kizushikuwa huenda fedha hizo zimetokana na money laundering akasema waulizwe FRIENDSOF LOWASSA na sio yeye na pia alipoulizwa je wamelipa kodi jibu lake likawa nihilohilo.

Juzi nilikutana na Mzee KONTWINYE MWAKIFUNGUTE ambae ni mzeewa miaka 81 na alikuwa mwanachama hai wa TANU na sasa CCM na anajuana sana naviongozi wote wa juu wa CCM. Mzee huyu alisema wote wanaodai nyerere hakumpendaLOWASSA na kuwa 1995 alikata jina lake ni waongo wakubwa. Anasema nyerereALIMPENDA SANA, SANA LOWASSA KWANI ALIMKUMBUSHA SOKOINE ambae nyerere alimgroomaje kuwa Rais but akafa. Anasema nyerere hakumtaka Malecela na akatishiakurudisha kadi sio lowassa.

MZEE AMESEMA TUMUENZI NYERERE KWA KUMPA LOWASSA URAIS

Ndugu, uongo ni dhambi. Tafuta namna nyingine ya kumremba huyo mtu wako lakini si kwa kusema uongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom