Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Ndio kundi la LOWASA mlivyokubaliana kuupotosha ukweli ili kuchanganya facts. Bahati mbaya facts are very stuborn things, they will remain facts, whether you like them or not. Na watu wanaomatter wote wanaujua huo ukweli, so keep on kujipa moyo huku kwenye keyboard.
Mi binafsi sijakubaliana na kundi lolote kupotosha ukweli au kumuunga mkono yeyote lakini ni lazima nisema ukweli ninao ujua hata kama wewe hautaniunga mkono. Sioni kosa alilofanya Edo mpaka asulubiwe kiasi hiki!! Makosa mengi mnayomtwisha Edo binafsi ni makosa ya kimfumo yanayo paswa kubebwa na chama cha Magamba kama taasisi. Ujanja wao wa kutaka kujivua gamba hauwezekaniki wala kukubalika, hawawezi kumgeuzia kibao mtu mmoja au wawili kwa kusingizia kuwa Nyerere alimkataa. Chama chao kinaweza kujitakasa (kujivua gamba) kwa kuachia madaraka na kuitisha uchaguzi huru chini ya tume huru ya uchaguzi, vinginevyo ni heri ya huyu huyu Lowasa kuliko hawa waliopo wanao onekana kupwaya kila idara.

Wakitaka kushikiria hoja ya waliokataliwa na Nyerere, watakuwa wanajivua nguo hadharani maana waliokataliwaa kwenye chama chao ni wengi akiwemo Kikwete, Lowasa, Sitta, Msekwa, Malecela nk. Hivyo kwa hoja ya kukataliwa na Nyerere, basi hata CCM ya sasa ilikataliwa na Nyerere kwa kuwa imeisha toka kwenye misingi yake ya kuchukia Ufisadi na kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi.
 
Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu na sasa amekuwa muuaji. Anaua maadui zake kisiasa kwa kuwalisha sumu, sijui hizi mbinu za kigaidi kajifunzia Nigeria ama Israel alikoenda kuhiji?

Du! Basi hii ni hatari!
 
Mi binafsi sijakubaliana na kundi lolote kupotosha ukweli au kumuunga mkono yeyote lakini ni lazima nisema ukweli ninao ujua hata kama wewe hautaniunga mkono. Sioni kosa alilofanya Edo mpaka asulubiwe kiasi hiki!! Makosa mengi mnayomtwisha Edo binafsi ni makosa ya kimfumo yanayo paswa kubebwa na chama cha Magamba kama taasisi. Ujanja wao wa kutaka kujivua gamba hauwezekaniki wala kukubalika, hawawezi kumgeuzia kibao mtu mmoja au wawili kwa kusingizia kuwa Nyerere alimkataa. Chama chao kinaweza kujitakasa (kujivua gamba) kwa kuachia madaraka na kuitisha uchaguzi huru chini ya tume huru ya uchaguzi, vinginevyo ni heri ya huyu huyu Lowasa kuliko hawa waliopo wanao onekana kupwaya kila idara.

Wakitaka kushikiria hoja ya waliokataliwa na Nyerere, watakuwa wanajivua nguo hadharani maana waliokataliwaa kwenye chama chao ni wengi akiwemo Kikwete, Lowasa, Sitta, Msekwa, Malecela nk. Hivyo kwa hoja ya kukataliwa na Nyerere, basi hata CCM ya sasa ilikataliwa na Nyerere kwa kuwa imeisha toka kwenye misingi yake ya kuchukia Ufisadi na kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi.

Tupe source ya uvumi wako huu!
 
Lowassa hatakuwa Rais wa Nchi hii hata mfanyeje.
Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu.

Acheni kuogopa kivuli cha Lowada, wapi kasema anataka uraisi, Lowasa ni mzalendo pekee aliyebaki Tanzania! Aliyewajibika, nani mwingine mwenye guts?
 
wew na we umezidi ushamba,yaani unachojua kuibiwa ni mke tu!!!!!nyie ndio mnaonufaika na wizi na hamna uchungu na nchi hii.Wakati wananchi wengi wanaumia kutokana na rushwa na wizi,ubadhirifu wa mali ya umma na ufisadi,nyie mnashangilia.Ni ujinga huo.Inaelekea una maslahi binafsi na EL maana naona unashabikia sana.
 
Kikwete, Lowasa wote hawa walitemwa na Nyerere! "Kama Ana sura Nzuri Nendeni Mkanywe naye Chai" Ujumbe wa Mwalimu kwa Mashabiki wa Kikwete
 
mimi naona mwalimu alikuwa sio chaguo lake Lowasa ndio maana akumkubali Mwalimu alimpenda sana Mkapa kwa sababu alikuwa mwanafunzi wake.
 
Ikitokea lowassa akawa raisi my frendo ohh we gona see the hot of the stone kwa kulipa visasi kwa wabaya wake.hiyo ndio itakuwa kazi yake ya kwanza.
 
Hajamuibia mtu wala kumuua yeyote ila yuko kwenye chama kilicho choka na kinachoendeshwa kwa ufisadi na ubazazi![/QUC atoke? Anangangania anafanya nn huko kama c sehemu ya huo ubazazi. Any way tunamkaribisha CDM milango iko wazi.
 
Ikitokea lowassa akawa raisi my frendo ohh we gona see the hot of the stone kwa kulipa visasi kwa wabaya wake.hiyo ndio itakuwa kazi yake ya kwanza.
he he he sasa kazi ya kwanza asije huyu akajikuta anakua mtu wa visasi utawala wake wote mkubwa wetu huyu, kumbuka visasi vinatumia muda mwingi akilini na eneji kweli kweli..nway kila la heri Tanzania yetu
 
Kikwete, Lowasa wote hawa walitemwa na Nyerere! "Kama Ana sura Nzuri Nendeni Mkanywe naye Chai" Ujumbe wa Mwalimu kwa Mashabiki wa Kikwete
Sio kweli sana. Jina la Lowasa liliishia kwenye CC ya CCM mapema tu. JK alikwenda hadi raundi ya mwisho kabisa na akashika namba 2 kama SAS alivyoshika namba 2 mwaka 2005. Kwa kweli aliyemkataa JK mwaka 1995 ni Komandoo Salimini na ushawishi wake kwa kura za Wazanzibari.
 
Kama Lowassa mzalendo basi na Yusuf Manji,Jittu Patel,Rostam n.k nao pia wanastahili kuitwa wazalendo kwa tafsiri yako mkuu.
Acheni kuogopa kivuli cha Lowada, wapi kasema anataka uraisi, Lowasa ni mzalendo pekee aliyebaki Tanzania! Aliyewajibika, nani mwingine mwenye guts?
 
Kikwete, Lowasa wote hawa walitemwa na Nyerere! "Kama Ana sura Nzuri Nendeni Mkanywe naye Chai" Ujumbe wa Mwalimu kwa Mashabiki wa Kikwete
Lowasa amechomeka watu wake wengi sana humu, lakini pamoja na hayo Lowasa ndiye RICHMOND,DOWANS ametufikisha pabaya nchi imefilisika sababu ya Lowasa huyo!!!!!!!!!!!!
 
natamani ningekuwa hakimu wa kesi yako ya ubakaji!!!!!!ningekuhukumu hukumu ya ajabu ndo ungejua Lowassa anafaa kuwa rais au hafai!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom