Kwanini ni lazima nioe?

Kwanini ni lazima nioe?

Ukimaliza nitajie Rais wa Marekani ambaye ni bachelor! Au hapa kwetu Tz.

Iko hivi, kuna watu wana akili za kujiongoza wenyewe, hawawezi kuongoza mwanamke /familia hivyo ni vyema Kama uko kundi hilo ukabaki single usisumbue watu.
 
ukishakuwa hiv utaishia kuwa malaya ,Vijana wote wanaosupport kutokuoa Hawajitambui wanataka kulala na kila mwanamke , Ndoa ni Baraka !Funga Ndoa Focus na maisha pamoja na mwenza wako, Unasema utawagonga? Hizo gharama utakazotumia Ni bora utulie na Mmoja Mfanye vitu vya maana ,Ukishakuwa na akili hii Mwanamke anayejitambua hawez kuwa na Wewe .
Mkuu
Nitakwenda na wewe toe to toe tuone vijana gani ambao hawajitambui

Mimi ni mkataa ndoa
Ninajitambua

Upo tayar mkuu?
 
Ukimaliza nitajie Rais wa Marekani ambaye ni bachelor! Au hapa kwetu Tz.

Iko hivi, kuna watu wana akili za kujiongoza wenyewe, hawawezi kuongoza mwanamke /familia hivyo ni vyema Kama uko kundi hilo ukabaki single usisumbue watu.
Ni sheria na mpangilio tu , wakiweka ruksa Rais bachelor hutakosa kuwaona watakuja kuomba urais na watapata kwasababu Urais ni taasisi , haiangalii marital status, maana marital status haiongozi nchi Bali ni IQ.

Mbona MA-CEO ni single na wanaongoza makampuni vizuri na hawajaoa? Elon musk
 
The thing hujui ni kuwa mungu ndiye perfection ,the completion of your existence .
Ukimtoa kwa equation tu life looses its meaning , fanya yoooote maisha haya ,anasa ,chuki ,furaha ,hela ,ila kwa yooote kwa raha za kishenz maisha haya usiwai msahau muumba wako na kumtambua kuwa mwanzo na mwisho wako .
 
Kwani Paulo hakufika uzeeni?
Hoja ya ajabu hii, Paulo na Petro walifika uzeeni wakauwawa na hawakuwa na wake.

Maisha anayapanga Mungu, hujui nani Kati ya mwanamke na mwanaume nanu atatangulia
Sasa unajifananisha na watakatifu...

Wao walimchagua Mungu, hawakutaka kuoa...

Sasa vijana wa Sasa wapenza kusex wanaweza...

Sijasema nani anakufa hapo...
 
Ni sheria na mpangilio tu , wakiweka ruksa Rais bachelor hutakosa kuwaona watakuja kuomba urais na watapata kwasababu Urais ni taasisi , haiangalii marital status, maana marital status haiongozi nchi Bali ni IQ.

Mbona MA-CEO ni single na wanaongoza makampuni vizuri na hawajaoa? Elon musk
Huyo unayemsema, aliachana na mkewe!
Kama umeshindwa kumuongoza mwanamke mmoja utawezaje kuliongoza taifa zima?
 
20230906_183814.jpg
 
Sasa unajifananisha na watakatifu...

Wao walimchagua Mungu, hawakutaka kuoa...

Sasa vijana wa Sasa wapenza kusex wanaweza...

Sijasema nani anakufa hapo...
Kwanini nisijifananishe na watakatifu?
Walikuwa binadamu kama Mimi, wale sio Mungu Wala hawana Uungu ndani Yao.

Hii unayoitaka kuleta wewe ni ibada ya sanamu kwamba tuwafanye Petro na Paulo kuwa walikuwa watu special sana wakati walikula kama sisi, walivaa kama sisi, ila wao waliamua kuishi maisha ya NIDHAMU, Hali wakiwa wamejazwa na Roho Mtakatifu. Hata sasa wapo Wakristo waliojazwa na Roho Mtakatifu.

Mungu peke yake ndo hafananishwi na wengine.
 
They have a dream ila wanawake siku zote wanataka mwanaume anayemzidi, wakiwakosa au wakawapata ila at the end of the day akawa playboy, wanaanza kutaka kuolewa na yeyote ndo maana fatilia hata humu wanasema " wanataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu".

Ila sasa ikitokea huyo mwenye hofu ya Mungu ana qualities chache kuliko ex wake, ndo anaamua kutoka nje. Ndo maana mwanaume ukioa na ukashindwa kuishi kama mwanaume , Hawa viumbe aisee hutaacha kuona kila rangi.
Sijui lakini

Ila kwa research yangu juu ya threads za wanawake wanaotafuta wanaume wa kuwaoa.

Nimeona top priority zao sio hofu ya Mungu.

Hii ni kama kiegesho tu na ni neno ambalo bado ni subjective.

Kuna hii kitu huwa inaandikwa kama ziada lakini ukifanya deep observation utaona ndio main reason "awe mwajiriwa, amejiajiri au anajishighulisha na kazi yeyote ya kuingiza kipato"
 
Sasa unajifananisha na watakatifu...

Wao walimchagua Mungu, hawakutaka kuoa...

Sasa vijana wa Sasa wapenza kusex wanaweza...

Sijasema nani anakufa hapo...
Huyo Paulo unayesema nisijifananishe naye asema hivi:
Warumi 3:9-10
[9]Ni nini basi? Tu bora kuliko wengine? La! Hata kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba pia wamekuwa chini ya dhambi;
What then? are we better than they? No, in no wise: for we have before proved both Jews and Gentiles, that they are all under sin;
[10]kama ilivyoandikwa, ya kwamba,
Hakuna mwenye haki hata mmoja.
As it is written, There is none righteous, no, not one:
 
Sawa Mtumishi...

Kila mtu anajua uhusiano wake na Mungu...
 
Sijui lakini

Ila kwa research yangu juu ya threads za wanawake wanaotafuta wanaume wa kuwaoa.

Nimeona top priority zao sio hofu ya Mungu.

Hii ni kama kiegesho tu na ni neno ambalo bado ni subjective.

Kuna hii kitu huwa inaandikwa kama ziada lakini ukifanya deep observation utaona ndio main reason "awe mwajiriwa, amejiajiri au anajishighulisha na kazi yeyote ya kuingiza kipato"
Ni kweli mkuu.Hela ndo wanalenga sio wanatafuta hofu ya Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom