mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,411
- 7,016
Anyaashimika!
Kama kichwa kinavyoji express. Ipi sababu ya msingi ya kunilazimisha nioe kama kijana? Leo tuvunje ukimya tuongee kikubwa. Huu ubishi na utata wa kwa nini nioe au nisioe basi uishe leo.
Naweza kupata watoto hata nisipooa na wakakua na kuwa na maadili mema.
Naweza kuishi na mwanamke pasipo ndoa na tukazaa na tukakuza watoto kwenye maadili mema kabisa.
Ndoa ni pale mnapokubaliana kuishi pamoja. Na mkishafanya mapenzi basi tayari nyie ni wanandoa. Ndoa ni tendo lile la ndoa.
Hivyo basi, kwa nini ni lazima nioe?
Kwanza nisipooa nitakosa nini kwa mfano?
Binafsi naona ndoa ni kama security kwa mwanamke na si mwanaume.
Wanaume wengi waliooa wanawahi kufa kuliko wake zao. Wanaume wasiooa huchelewa kufa kuliko wale waliooa.
Sasa kama ndoa ni furaha, kupikiwa vinono nk, kwa nini wanaume wanakufa haraka?
Kwani Adamu alifunga ndoa na Hawa? Daudi na Abigail walifunga ndoa?
Naona kabisa ndoa hizi za kisasa ambazo ndizo janga kubwa kwa wanaume, kuwa ni utapeli kwa hoja tajwa hapo juu.
Niwe mkweli tu. Mimi "kuwagonga" "nawagonga" sana tu, na "nitawagonga" sana tu ila ndoa sidhani.
Watoto nitazaa wa kutosha ila ndoa nafikiri hapana.
Nitafanya hayo tajwa endapo nitakosa majibu ya kuridhisha kwa hoja yangu hii.
Kwa nini nioe? Kwa nini ni lazima nioe?
Kwa nini unanihimiza niingie ndoani kama wewe ilhali hunipi mchongo uliokufanya utoboe ili niwe angalau karibu na wewe???
Mjadala huru huu. Karibuni.!