Kwanini ni lazima nioe?

Kwanini ni lazima nioe?

Although pia sio lazima ila nimegundua housewives wengi huwa wanadumu kwnye ndoa.

Ukiangalia ndoa nyingi za Waislamu na Wakristo waliooa wanawake ambao ni submissive anayejua anatakiwa kufanya nini, ndoa zinadumu Hadi uzeeni na kuna baadhi ya Waislamu nimeshuhudia wamebaki na mke mmoja tu muda mrefu sana.
Kudumu ni maturity ya mtu na sio housewives tu
 
Nafikiri ni rahisi ikiwa mwanamke akiwa submissive. Yaani marriage ibase kwenye equity na sio equality. Usioe mwanamke anayekuzidi akili, bora akuzidi pesa ila sio akili ya kutawala.

Tatizo la ndoa sikuhizi, ni kwamba wanawake wa Sasa wamevikwa ufeminism. Hii kitu kinachoitwa Haki za wanawake na financial independence ikitumika ndani ya ndoa , ni ushetani uliopitiliza.
Kwangu hakutokuwa na hicho kitu financial independence.
 
Life begins at 40. Mimi binafsi sioni sababu ya msingi ya kunifanya nioe. Kumbuka role model wangu ni hayati Le Mutuz, nilipendezwa na life style ya jamaa, najiona nikiishi maisha design hiyo ila sipendi mapicha picha ya kuweka social media
Ila jamaa si unakumbuka alivyodhalilika kwa kupigwa picha na yule malaya? Unafikiri angekuwa mkewe angethubutu kufanya upuuzi ule?
 
They have a dream ila wanawake siku zote wanataka mwanaume anayemzidi, wakiwakosa au wakawapata ila at the end of the day akawa playboy, wanaanza kutaka kuolewa na yeyote ndo maana fatilia hata humu wanasema " wanataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu".

Ila sasa ikitokea huyo mwenye hofu ya Mungu ana qualities chache kuliko ex wake, ndo anaamua kutoka nje. Ndo maana mwanaume ukioa na ukashindwa kuishi kama mwanaume , Hawa viumbe aisee hutaacha kuona kila rangi.
Acha uoga wewe. Hakuna cha rangi wala mavi ya rangi
 
Kabisa, na wako wachache sana. Ukitaka asiye bikra akuheshimu ni lazima umzidi ex wake kwa Kila kitu , Hawa ni emotional beings sio critical beings kama sisi. So ukimzidi ex wake anakuwa proud, anakuamini zaidi na anakuheshimu zaidi.

Yaani Hawa emotions ndogo wanabeen triggered.
Hata usipomzidi ex wake, akiamua kukuheshimu atakuheshimu tu. Ukiona hakuheshimu na umesimama kwenye nafasi yako, jua hakutaki unampotezea muda tu.
 
Uko sahihi. Miaka zaidi ya miwili mpaka mitano inabidi usome tabia zake, ujue weakness zake alafu uangalie unaweza kuzihandle.

Weakness pekee nayoona ambayo hakuna mwanaume anaweza kuihandle ni ile mwanamke anaforce aendelee kuwaweka marafiki zake wa kiume kwa ukaribu zaidi, yaani bff's. Ukiona demu unamuambia sasahivi punguza mawasiliano na bff's akagoma piga chini.
Hivi hao mademu mnawaokota wapi? I hope ni wa mazingira ya Mbagala, Mabibo, Mwananyamala nk, mbona huku Mbezi beach siwaoni?
 
Ukweli, aisee wanawake wa sasa usipokuwa na inchi fulani, wanakudharau, hii ni kwasababu picha walizokuwa nazo hazitoki kwenye ubongo.

Utafiti ulifanywa na wazungu ya kuwa mwanamke akifanya mapenzi na mwanaume Kuna namna DNA za mwanaume kupitia shahawa zinasafiri mpaka kwenye ubongo , so huyo mwanaume anakuwa part ya mwanamke.
Inchi fulani? Kam inchi ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom