min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,421
- 178,054
Mijadala inayohusisha habar za Mungu ni mijadala ya ovyo sana .NDOA ni suala la makubaliano na ''hiari'' kati ya watu wazima wawili wa jinsia tofauti.
- Hakuna haja ya kukushawishi ama kukukataza, kuoa ni hiyari yako.
- NDOA ni zawadi kutoka kwa Mungu, kutaka kuoa sio kuoa ... unaweza kutaka na usioe.
Be you and enjoy your life