Umalaya ni tabia ya mtu na pia umalaya kuna vitu tunafunzwa ili kufanya uwe mdogo ila ndo vile tunapuuza...
Mfano tabia nyingi kama ulevi , kuvuta sigara au bangi hizi hakuna mtu anazaliwa nazo ila anakuwa addicted taratibu baada ya kujizoea mpaka anakuwa mraibu kabisa na akikosa anapagawa kabisa.
Concept walikuja nao wakubwa wetu (wau wa zamani) ni kwamba kutokufanya mapenzi kama ya ndoa ili usiwe addicted mapema mpaka uwe katika mfumi rasmi wa kujihakikishia unapata wa kukidhi haja zako(Ndoa) la sivyo kila siku utakuwa na mtu mpya (umalaya)..je utalala na wangapi katika hii dunia ?
Wazee wetu walikuw wanaoana mapema na wanaanza kuexperience mambo ya ndoa ndani ya ndoa sio kama vijana wa sasa ,ndo maanq enzi zile mwanamke anamuona mumewe ndo kila kitu kweny mambo ya ndani.
Siku za sasa , Mwanamke kashatembea na wanaume kibao na kila size ya uume kaonja ,hizo experience zinabaki kichwani mwake milele hapo anaanza kubagua wanaume kwa maumbile.